Mtu mbalimbali
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,126
- 2,306
Ninachomkubali shetani, toka nianze kusikia story zake hajawahi kutoa neno.
Mungu wapo zaidi ya million ila shetani ni mmoja tu 😅, anaonekana anajimudu ndio maana sio mropokajiNinachomkubali shetani, toka nianze kusikia story zake hajawahi kutoa neno.
Mwamba hajawahi hata kutuma nabii, ila anazungumzwa dunia nzimaMungu wapo zaidi ya million ila shetani ni mmoja tu 😅, anaonekana anajimudu ndio maana sio mropokaji
Peleka usenge huko...huyo ni ***** tu..muoga na mdhaifu...muambia avae mwili aje Duniani.Sasa mkuu hivi unamjua shetani au unamsikia tu, Hilo dude hata Mungu mwenyewe anamuheshimu/ wanaheshimiana (maana Wana nguvu Sawa) hadi huwa wanapiga story kabisa kuhusu binadamu (soma kitabu cha Ayubu). Lakini wewe mlokole wa Tandale huko kiiiila siku unaomba tu shetani toooooka, toooka. Aise hilo dude huliwezi mkuu akiamua kuja kweli duniani kama unavyotaka hamna mtu yeyote atakayemfanya chochote.
Acha maneno mengi...muambia kama ni dude avae mwili aje kama Yesu kama hajajuta kuumbwa...hizi story tumezichoka na hazina ukwli wowote...avae mwili aje Duniani ajitangaze kama Yesu alafu aanze usenge wake.Anajificha Vipi Wakati Alipewa Hadi Nafasi Ya Kumjaribu Mwana Wa Mungu Unadhani Hilo Dude Ni Dogo,,Na Bwana Yesu Wala Hakumjibu Kwa Jeuri,Alijibu Kiistaarabu Mnoo Kwa Kuwa Anajua Mabalaa Ya Mwamba Kwa Mshua,,,Embu Nitajie Kiumbe Yoyote Yule Aliyepata Nafasi Ya Kumjaribu Mwana Wa Mungu..??Mwana Mungu Alikuja Kwa Umbo La Kibanaadamu,,Mwamba Yeye Alikuja Kwa Umbo La Nyoka...
Alafu Pia Bwana Yesu Amemkuta Mwamba Kitambo Yumo Na Anatamba Na Ndio Maana Si Yeye,,Wala Waliomtangulia Hadi Waliopo Sasa,,Hakuna Wa Kumshinda Sir Shetani Hata Wewe Pia Na Kizazi Chako Sahau Kuhusu Hilo Na Mtamuacha Anaendeleza Pilika Zake Ulimwenguni....
Muambie huyo mnaemsifia avae mwili aje afanye harakati zake kama Yesu,kama hajajuta kuumbwaNinachomkubali shetani, toka nianze kusikia story zake hajawahi kutoa neno.
Muambie huyo mnaemsifia avae mwili aje afanye harakati zake kama Yesu,kama hajajuta kuumbNinachomkubali shetani, toka nianze kusikia story zake hajawahi kutoa neno.
"Muambia"Acha maneno mengi...muambia kama ni dude avae mwili aje kama Yesu kama hajajuta kuumbwa...hizi story tumezichoka na hazina ukwli wowote...avae mwili aje Duniani ajitangaze kama Yesu alafu aanze usenge wake.
The point is very brief,muambie huyo takataka avae mwili aje Duniani afanye huo usenge wake kama hajajuta kuubwa."Muambia"
Umeanza Kuandika Kwa Kunena Kwa Lugha Mwanakondoo...?
Nakuona uko na huku kibaraka wa kuzimu.Huyo Mwamba Hata Baba Yake Yesu Anaujua Mtiti Wake Ndio Maana,Kwanza Akatutupia Huku Ulimwenguni Na Wote Aliowatuma Kupambana Nae,,,Sir SHETANI Anapita Nao Tu...Wametumwa Manabii Na Mitume Wangapi Hadi Sasa Lakini Mwamba Anawakong'ota Vibaya Mnoo...
ALafu Kwanza Huu Ugomvi Wao,,,Sisi Wanatushirikisha Vipi Hatuelewi Waligombania Nini Tumeuvaa Tuu,Kwa Kusikiilza Upande Mmoja TUNAHITAJI Kusikia Na Ushahidi Wa Shetani Maana Anaandamwa Sana,,Anatukanwa,,Anasemwa Vibaya,,Lakini Mwamba Wala Hana Tu Shaka Anadunda Zake Na Wala Hajibu Kwa Maneno,,Bali Ni Vitendo Tu..
"kuubwa"The point is very brief,muambie huyo takataka avae mwili aje Duniani afanye huo usenge wake kama hajajuta kuubwa.
Kwanini unamchukia shetani? Alikukosea nini?Muambie huyo mnaemsifia avae mwili aje afanye harakati zake kama Yesu,kama hajajuta kuumb
Acha maneno mengi,muambie huyo shoga avae mwili aje Duniani...mbona Mwamba Yesu kristo alikuja...yeye kwanini ajifiche?"kuubwa"
Mwamba Kakuvuruga Umepaniki, Umepandisha Kihoro Na Roho Mtakatifu,,Kwa Pamoja Naona Unanena Kwa Lugha Ya Kimaandishi...
Pole Sana Dogo Huyo Huna La Kumfanya Wewe Na Uzao Wako Wote,,,Huyo Aning'inzwi Kwenye Mbao,,Mwamba Anapambana Na Muumba Wako Wewe Ni Kadude Kaduchu Sana....
Kwani Wewe Mungu Uliwahi Muona Wapi...,??Ukiachana Na Kutuma Wawakilishi...Alafu Bishana Kwa Hoja,Na Sio Lugha Chafu Za Kiuandishi,,Huwaga HatuEntertained Dats Sh***tss,,Dogo...!!Acha maneno mengi,muambie huyo shoga avae mwili aje Duniani...mbona Mwamba Yesu kristo alikuja...yeye kwanini ajifiche?
💯.Yesu hajawahi kuja duniani,usiamini stori za kusimuliwa unapotea...