“Yeye ni Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu ila Yeye, Mfalme, Mtakatifu, Mwenye amani, Mwenye kulinda, Mwenye nguvu, Mwenye kushinda, Mwenye kujikweza. Ametakasika Mwenyezi Mungu na yale wanayomshirikisha nayo.”
— Qur'an 59:23
Utukufu wote ni wa Mwenyezi Mungu, Mola wa mbingu na ardhi. Yeye ndiye mwenye nguvu ya kweli, na mbele yake kila kiumbe ni dhaifu.
Subhanahu wa Ta'ala.