Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Story na ImaniHapo vip!
Nimetafakari sana juu ya Shetani anavyojificha katika ulimwengu wa roho na kuwatenda watu kwa hila kwa maarifa na kujificha...hii ni ishara ya uwoga,udhaifu,unafiki na uwongo.
Sidhani kama akija Duniani na kwa wanadamu walivyokuwa na hasira naye kama watamuacha ata akae kwa amani kwa sekunde moja,yaani mimi mwenyewe ningemfanyia umafia na kumpa mapigo ambayao angejuta kuumbwa.
Mwanaume ni Yesu kristo tu..amekuja amevaa mwili na akajidhihirisha kwetu na akafanya yake huku Duniani kisha akaondoka.
Huyu shetani vip mbona anajificha?
Eti mwambaš,kuna mwamba anayejificha...?muambie avae mwili aaje tuone huo umwamba wake...Huyo Mwamba Hata Baba Yake Yesu Anaujua Mtiti Wake Ndio Maana,Kwanza Akatutupia Huku Ulimwenguni Na Wote Aliowatuma Kupambana Nae,,,Sir SHETANI Anapita Nao Tu...Wametumwa Manabii Na Mitume Wangapi Hadi Sasa Lakini Mwamba Anawakong'ota Vibaya Mnoo...
ALafu Kwanza Huu Ugomvi Wao,,,Sisi Wanatushirikisha Vipi Hatuelewi Waligombania Nini Tumeuvaa Tuu,Kwa Kusikiilza Upande Mmoja TUNAHITAJI Kusikia Na Ushahidi Wa Shetani Maana Anaandamwa Sana,,Anatukanwa,,Anasemwa Vibaya,,Lakini Mwamba Wala Hana Tu Shaka Anadunda Zake Na Wala Hajibu Kwa Maneno,,Bali Ni Vitendo Tu..
Mimi ni mbatizwa wa kanisa katoliki la mitume. Izo sijui shetani ni story za kutunga. mungu na Shetani ni wewe mwenyewe. Apo ni sawa sawa unajisubiri wewe mwenyewe.Hapo vip!
Nimetafakari sana juu ya Shetani anavyojificha katika ulimwengu wa roho na kuwatenda watu kwa hila kwa maarifa na kujificha...hii ni ishara ya uwoga,udhaifu,unafiki na uwongo.
Sidhani kama akija Duniani na kwa wanadamu walivyokuwa na hasira naye kama watamuacha ata akae kwa amani kwa sekunde moja,yaani mimi mwenyewe ningemfanyia umafia na kumpa mapigo ambayao angejuta kuumbwa.
Mwanaume ni Yesu kristo tu..amekuja amevaa mwili na akajidhihirisha kwetu na akafanya yake huku Duniani kisha akaondoka.
Huyu shetani vip mbona anajificha?
Anajificha Vipi Wakati Alipewa Hadi Nafasi Ya Kumjaribu Mwana Wa Mungu Unadhani Hilo Dude Ni Dogo,,Na Bwana Yesu Wala Hakumjibu Kwa Jeuri,Alijibu Kiistaarabu Mnoo Kwa Kuwa Anajua Mabalaa Ya Mwamba Kwa Mshua,,,Embu Nitajie Kiumbe Yoyote Yule Aliyepata Nafasi Ya Kumjaribu Mwana Wa Mungu..??Mwana Mungu Alikuja Kwa Umbo La Kibanaadamu,,Mwamba Yeye Alikuja Kwa Umbo La Nyoka...Eti mwambaš,kuna mwamba anayejificha...?muambie avae mwili aaje tuone huo umwamba wake...
Hata mtoto mdogo wa darasa la kwanza akijificha nakufanya anayofanya shetani ataweza kufanya na watu kama nyie mtamuita mwamba.
Sasa mkuu hivi unamjua shetani au unamsikia tu, Hilo dude hata Mungu mwenyewe anamuheshimu/ wanaheshimiana (maana Wana nguvu Sawa) hadi huwa wanapiga story kabisa kuhusu binadamu (soma kitabu cha Ayubu). Lakini wewe mlokole wa Tandale huko kiiiila siku unaomba tu shetani toooooka, toooka. Aise hilo dude huliwezi mkuu akiamua kuja kweli duniani kama unavyotaka hamna mtu yeyote atakayemfanya chochote.
jesus is king all the time ,our GOATHapo vip!
Nimetafakari sana juu ya Shetani anavyojificha katika ulimwengu wa roho na kuwatenda watu kwa hila kwa maarifa na kujificha...hii ni ishara ya uwoga,udhaifu,unafiki na uwongo.
Sidhani kama akija Duniani na kwa wanadamu walivyokuwa na hasira naye kama watamuacha ata akae kwa amani kwa sekunde moja,yaani mimi mwenyewe ningemfanyia umafia na kumpa mapigo ambayao angejuta kuumbwa.
Mwanaume ni Yesu kristo tu..amekuja amevaa mwili na akajidhihirisha kwetu na akafanya yake huku Duniani kisha akaondoka.
Huyu shetani vip mbona anajificha?
wanaomungolea vibaya mwanakondoo yesu Kristo na kudhihaki kazi ya Mungu muumba wa hii dunia wanakula kichapo kimyakimya ni vile hawarudi mtandaoni na kukiri wakikosea kumdhihaki Mungu,lakini wakimrudia na kutubu atawasamehe maana yeye ni mwingi wa rehema ,anza siku yako japo kwa kusema ahsante Mungu baba kwa kunipa afya njema na mapito ya dunia yasiwe fungu langu hakika atatendaBaba mtumishi Iceberg9 toa neno kidogo hapa, naona binadamu wa sikuhizi tumekuwa na uhuru sana wa kusemaš„²
Ila jf....š«”Huna haja ya kumtusi shetani, unatakiwa tu uuseme uzuri wa Yesu wako, ndivyo Yesu alivyoagiza, hii ndo shida ya kuwa mfuasi wa Mwamposa!
mimi na nyumba yangu itamtumikia Mungu mileleNeno: Luka 10:19 Nimewapa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na kushinda nguvu zote za yule adui; wala hakuna kitu cho chote kitakachoweza kuwadhuru
Waefeso 6:12
Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
Kila mtu anachagua hatma yake! Kachagua kumsifia baba yake, haina budi kumuacha aende zake..wanaomungolea vibaya mwanakondoo yesu Kristo na kudhihaki kazi ya Mungu muumba wa hii dunia wanakula kichapo kimyakimya ni vile hawarudi mtandaoni na kukiri wakikosea kumdhihaki Mungu,lakini wakimrudia na kutubu atawasamehe maana yeye ni mwingi wa rehema ,anza siku yako japo kwa kusema ahsante Mungu baba kwa kunipa afya njema na mapito ya dunia yasiwe fungu langu hakika atatenda
kwa maana nyingine roho mtakatifu naye miyeyusho tu maana naye kajificha na si wa dhahiriHapo vip!
Nimetafakari sana juu ya Shetani anavyojificha katika ulimwengu wa roho na kuwatenda watu kwa hila kwa maarifa na kujificha...hii ni ishara ya uwoga,udhaifu,unafiki na uwongo.
Sidhani kama akija Duniani na kwa wanadamu walivyokuwa na hasira naye kama watamuacha ata akae kwa amani kwa sekunde moja,yaani mimi mwenyewe ningemfanyia umafia na kumpa mapigo ambayao angejuta kuumbwa.
Mwanaume ni Yesu kristo tu..amekuja amevaa mwili na akajidhihirisha kwetu na akafanya yake huku Duniani kisha akaondoka.
Huyu shetani vip mbona anajificha?
Alikuwepo ila alikua kama kiboko ya wachawi tu wakamtegenezea hadithi za wahindu wagiriki na misri ya kaleYesu hajawahi kuja duniani,usiamini stori za kusimuliwa unapotea...