Shetani kama ni kidume avae mwili kama Yesu kristo aje Duniani alete hizi tabia zake za kipumbavu

Peleka usenge huko...huyo ni ***** tu..muoga na mdhaifu...muambia avae mwili aje Duniani.
 
Acha maneno mengi...muambia kama ni dude avae mwili aje kama Yesu kama hajajuta kuumbwa...hizi story tumezichoka na hazina ukwli wowote...avae mwili aje Duniani ajitangaze kama Yesu alafu aanze usenge wake.
 
Acha maneno mengi...muambia kama ni dude avae mwili aje kama Yesu kama hajajuta kuumbwa...hizi story tumezichoka na hazina ukwli wowote...avae mwili aje Duniani ajitangaze kama Yesu alafu aanze usenge wake.
"Muambia"
Umeanza Kuandika Kwa Kunena Kwa Lugha Mwanakondoo...?​
 
Hahaaaaa

Weuweeee

PRAISE THE LORD JESUS!

THE KING IS MAKING A COMEBACK!

What a time to be alive !
 
Nakuona uko na huku kibaraka wa kuzimu.

Shetani ni Loser wa maLoser, the Grand master loser!

Shetani ni kama mlinzi wa nyumba ya watu, anajikuta yeye ndiye bosi, anapangua makochi, anatupa vitu alivyovikuta, anafungua friji anakula alivyovikuta akiwa miguu juu kwenye stuli, kama bosi alituma fundi anamgombezagombeza fundi for no reason, tena ukute ni mchafu hasafishi nyumba ya watu. Sio kuwa hajui sio nyumba yake. Siku ndinga ya mwenye nyumba inafika getini ndo mamlaka yake inaishaia hapo.

Shetani ni kama housegirl anayewaonea watoto wazazi wakiwa kazini. Anawafokea, anawapiga etc yani anajifanya ndiye mwenye nyumba. Ikifika jioni ujasiri wake unaisha hapo, anarudi kuwa kondoo, mamlaka yake yameishia hapo.

Shetani ni kama mpangaji ambaye hajalipa kodi miezi, huku ndani kwake hakosi shuguli kila siku tena kwa makelele akisumbua majirani. Anajikuta jasiri lakini kila saa anaangalia dirishani kwa sababu anajua faza house anakuja muda wowote kutoa mafurushi yake nje.

Ni kama mwizi aliyeiba gari / bodaoda, anajikuta mwamba barabarani tena anakanyaga mafuta hatari, lakini akisikia hata King'ora cha ambulance tu anaishiwa pawa, polisi alimsimamisha anajua mwisho wake ndo umeishia hapo.

Shetani ana muda mfupi sana, tena mwisho wake umekaribia!

JESUS IS LORD!

MAKE WAY FOR THE KING OF KINGS!


Post in thread 'Ukitaka kujua shetani alipo ni kwenye Betting' Ukitaka kujua shetani alipo ni kwenye Betting
 
The point is very brief,muambie huyo takataka avae mwili aje Duniani afanye huo usenge wake kama hajajuta kuubwa.
"kuubwa"
Mwamba Kakuvuruga Umepaniki, Umepandisha Kihoro Na Roho Mtakatifu,,Kwa Pamoja Naona Unanena Kwa Lugha Ya Kimaandishi...
Pole Sana Dogo Huyo Huna La Kumfanya Wewe Na Uzao Wako Wote,,,Huyo Aning'inzwi Kwenye Mbao,,Mwamba Anapambana Na Muumba Wako Wewe Ni Kadude Kaduchu Sana....
​
 
Acha maneno mengi,muambie huyo shoga avae mwili aje Duniani...mbona Mwamba Yesu kristo alikuja...yeye kwanini ajifiche?
 
Acha maneno mengi,muambie huyo shoga avae mwili aje Duniani...mbona Mwamba Yesu kristo alikuja...yeye kwanini ajifiche?
Kwani Wewe Mungu Uliwahi Muona Wapi...,??Ukiachana Na Kutuma Wawakilishi...Alafu Bishana Kwa Hoja,Na Sio Lugha Chafu Za Kiuandishi,,Huwaga HatuEntertained Dats Sh***tss,,Dogo...!!
 
Viumbe visivyo na mwili vinatutamani sana sisi wanadamu. Na ndiyo maana hata mapepo machafu unaweza kuyafuga na kuyatuma utakavyo.
 
Hutaniamini ila umechanganyikiwa mkuu.

Hata hivyo kwa sifa za "shetani" akija tutampenda kuliko Yesu na wala hakuna mwenye hasira nae.
Yesu is boring lucifa is cool.
Fikiria vizuri utanielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…