Shetani, kwa nini haukuomba msamaha yaishe? Ulipewa nafasi ya kujirudi au basi tu na wewe ulikuwa mhanga wa Matrix? Au ni kiburi chako tu?

Kabla hajatuchoma moto sisi inatakiwa ajichome yeye kwanza kwa kosa lake mwenyewe la kumuumba shetani wakati yeye anajua yote - Hata anapomuumba shetani alikua anajua Shetani ataasi.

Na kama huyo Muumba ana uwezo wote, basi alitengeneza kila kitu kwa makusudi, ikiwemo uwezo wa kuuliza maswali na kutafuta ukweli kama ninavyokuuliza.

Kwa maekezo yako si sawa na kusema hata hii akili ya kuuliza kanipa yeye au?

Kwanza huyo Mungu unayemtetea Chanzo chake ni nini? Alitokea wapi?
Mungu aliumba Majini na Wanadamu kwa lengo la kuwa wamwabudu yeye tu. Vilevile hakutaka kutufanya kuwa ni maroboti bali akatupa na utashi wa kujua mema na mabaya, kumuamini ama kutokumuamini.

Ukichagua kutokumuamini na kukufuru basi jua huna wa kumlaumu isipokuwa nafsi yako mwenyewe. Kwasababu Mungu alishakupa njia zote za kumjua na kumuamini ila ukachagua kinyume chake.
 
Mungu ndiye wa mwanzo na wa mwisho.
 
Mungu ndiye wa mwanzo na wa mwisho.
Umezunguka hujanijibu swali, Nauliza tena;

Huyo Mungu unayemtetea Chanzo chake ni nini?

Mfano mimi nimezaliwa na Baba na Mama, Je yeye katokea wapi?
 
Mungu aliumba Majini na Wanadamu kwa lengo la kuwa wamwabudu yeye tu. Vilevile hakutaka kutufanya kuwa ni maroboti bali akatupa na utashi wa kujua mema na mabaya, kumuamini ama kutokumuamini.

Ukichagua kutokumuamini na kukufuru basi jua huna wa kumlaumu isipokuwa nafsi yako mwenyewe. Kwasababu Mungu alishakupa njia zote za kumjua na kumuamini ila ukachagua kinyume chake.
Sijachagua kutokumuamini wala kumkufuru kwasababu kwanza simjui.

Unawezaje kusema unakikosea kiumbe fulani ambacho ni cha dhahania tu?

Na kama ni kiumbe cha kufikirika tu kitawezaje kuleta Impact kwenye maisha yangu?

Nani aliyekutana na huyo Mungu kisha akampa hizo njia unazosema ametupatia?

Walikutana wapi, Lini na muda gani?

Ushahidi uko wapi wa hayo makabidhiano ya hizo njia?
 
Back
Top Bottom