Shida haina hodi, mwenzenu nimefika mwisho, naombeni msaada

Kuna watu hawajawai ku husler KABISA..
"" Baba angu MZAZI hajawai ku husler KABISA alimaliza ELIMU yake akawa anabadilisha kazi kama nguo""

Wapo wengi TU hawajawai ku husler KABISA.."""Ila kwangu ilikua tofauti nili pita nyakati zoteee ngumu"" nili soma kitabu Cha zaburi kina sura 150 nilitumia miezi mitatu.

20 elfu unaiona Kama milioni mbili yaan unakonda sio kwamba hauli Ila kichwani umebeba mengi na muda unaenda wewe upo upo TU nguo zinakua busy mpaka zinapauka na kuchakaa ( nguo kua busy maana zipo chache na zinafuliwa Mara kwa Mara)

Niliwazaga Sana watu walio fail form four rafiki zangu wamejenga Wana magari..Mimi na ma vyeti yangu na maufaulu yangu sina chochote sina lolotee..mama alinambia mwanangu ipo siku yakooo..

Ndipo ZILE point πŸ‘‰ tulizo kua tunajibia shuleni nikaanza kuzitafakari 😊☺️

*Lack of Capital
*Poor power & energy supply
*Lack of market
*Low level of technology
*Poor system of transport
*Lack of government support
E.t.c

Kwa Sasa nimesha sahau husler KABISA Ila sitaki kurudi kwenye Ile dhiki hatareee

Note.
Kwa kua @bussiness intelligent ni mshikaji wangu na namwamini.. tuombe uzima ntafanya kitu ndugu yangu for you.
 
Simshaur kwenda huko machimboni ni Bora hata utafute kazi za ulinzi kwenye makampuni yanayo jielewa.
 
Bado haujafika mwisho mkuu, age ndio kwanza 30 years.

Nina shemeji yangu ametoboa akiwa na 45 years, kuna nyumba alikuwa anakaa yeye na sister angu.

Mwenye nyumba alikuwa ni mama mmoja mzee, yule mama alikuwa anafatilia mafao ya mumewe pamoja na mali mahakamani.

Sasa zile kurupushani za kule na zile calendar ikafika stage yule maza aka blow, ndio kipindi sasa shemeji anahamia pale.

Huku na kule yule maza ikabidi amshirikishe mwamu wangu, mwamu nae ni mtoto wa mjini basi bhana huyu bwana shemej akafanya anachokiweza na yule maza akapata haki zake zote.

Sijajua shemeji yangu alipatiwa kiasi gan na yule maza ila tuseme tu kuanzia pale maisha yake yalibadilika na mpaka sasa.

Moral of the story hatujui kwanini tupo hapa tulipo, ila naamini kama bado una pumua basi lengo la uwepo wako bado haujalitimiza.
 
Ntashukuru sana Kaka
 
Asanteee sana ndugu yangu Kwa kunitia moyo!

Asante kwa kunitia nguvu
 
Ntashukuru sana Kaka
Usiache kuomba pia Dua ni muhimu ikimpendeza Mungu Kuna sehemu ntaku connect..Kuna mambo yanakamilishwa najua hauta ni let down maana nimewai kupitia hizo hatua zako for sure siku moja zitabakia story.
Nimewai ku connect watu wakafanya ubadhilifu wa mamilioni ya shilingi nikapata hekaheka nikaacha kusaidia watu.
Naweka Imani Kwako kwa kuweka Imani ya maneno yako so tutachekiana.
 
πŸ™
πŸ™πŸ™
 
Siwezi kukuangusha mkuu ... naomba uniamini katika hili!

Mungu wangu anisemee na kwako pia, lakini Mkuu siwezi kusaidiwa Kisha nikafanya ubadhilifu hata siku moja mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…