makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,482
- 5,138
- Thread starter
-
- #121
Hapana mkuu! Ila naomba tu nisiongee sana nikaleta matabaka ya chama nikakosa msaadaMbaya zaidi utakuta wewe ni ccm dam dam vp mama anaupiga mwingi eeh!Weka namba yako apa usije ukafa njaa!!!
Nashukuru MkuuNoma Sanaa,mkendaa akiongeaa kwa nyodoo na yule Mbuzichawenee,vijanaa kama Hawa wangewazingatiaa ni maelfu wanatesekaa. Pole mkuu don't give up,mshukru Mungu kuumbwa mwanaume ni ushindii toshaa.
Boss nimekuelewa vizuriMkuu kuna mdau hapo juu ameshauri ungejaribu pia Zanzibar ikiwezekana, kule deals za ujenzi na ulinzi zinapatikana sana. Mkuu @kalaghabao nongwa ni mzoefu wa hizo mishe huko, naonaga anapost sana humu
Mkuu nimekuelewa vizuri, kumbuka Bado nakusanya shauri za watu kwa kupitia comments zote na Huko PMUnasema huchagui kazi lakini mimi nikitazama kwa jicho la uchunguzi naona unachagua kazi ndiyo maana unasema hata ukipata kazi ya kujitolea kwa kulipiwa nauli tu! Kazi ya saidia fundi unaweza? Hii kazi kwa siku hukosi 7500! Na chakula cha Dar kwa mama lishe unapata hadi chakula cha 1500, inayobaki unapeleka home kwa bi mkubwa hata kama itabaki 4000. Au hiyo inayobaki unaweza kuwa unaweka kwa miezi miwili utapata hata ya kutembezea vitu mtaani. Naona kuna watu wanauza mtaani hadi njegere, samaki wabichi n.k.
Pamoja mkuu karibu sanaBoss nashukuru
Nakufata PM tuongee kwa urefu
Sikuzote watu wa namna yako wanakuwa na huruma sana...Nikiona mwanaume kafikia hatua hii huwa napata uchungu sana kwani najua wanaume wengi ni wapambanaji.
Nakuombea kwa Mungu ufanikiwe na upate unachohitaji.
Tuko pamoja na wewe.
Amina kipenziSikuzote watu wa namna yako wanakuwa na huruma sana...
Mwenyezi Mungu aendelee kukubariki cute
Hakika atafanikiwaAmina kipenzi
Sina tu uwezo wa kumuajiri ila naumia mno.
Familia nyingi zinawaangalia sana watoto wa kiume na mategemeo yao ni kuona wanainua familia zao, ila mambo yanapokwenda kinyume ni lazima wajisikie vibaya.
Nina imani mtoa mada atabarikiwa kupata ajira au kujiajiri.
πHakika atafanikiwa
Asante sana sana kwa kunitia moyoAmina kipenzi
Sina tu uwezo wa kumuajiri ila naumia mno.
Familia nyingi zinawaangalia sana watoto wa kiume na mategemeo yao ni kuona wanainua familia zao, ila mambo yanapokwenda kinyume ni lazima wajisikie vibaya.
Nina imani mtoa mada atabarikiwa kupata ajira au kujiajiri.
Asanteee Mkuu ... Kwa ushauriPolee sana kwa changamoto. Watu wengi kwenye utafutaji tumepitia changamoto kama yako. Nikutie tu moyo hali hiyo haidumu milele. Binafsi baada ya kumaliza chuo ajira ngumu. Nilikuwa naenda boma,,nachagua nguo za mtumba nzuri naenda kuuza mtaani. Nikawa napata faida ndogo isiyotosheleza. Nikaacha nikatafuta kazi ya usafi kwenye kampuni moja na degree yangu na mshahara ulikuwa kama laki mbili na nusu. Nilifanya kwa uaminifu. Japo wengi walinibeza na kunicheka kuwa na elimu yote ya degree nafagia vyoo. Sikujali nilipambana lkn kupitia kazi ile baadhi walinitia moyo kuwa ni binti ninayejitambua. Hivyo kupitia kazi ile ikafungua milango nikapata kazi nyingine nzuri kulingana na elimu yangu ya chuo. Na wale waliokuwa wanaibeza leo hii wananipo geza.
Kwa sasa unaweza kutafuta bodaboda kwa mtu ukaifanya kwa mkataba . Kikubwa ni uaminifu. Binafsi nina kijana wangu wa boda ambaye nimempa kwa mkataba sasa hivi ana boda zake zaidi ya 5. Au pia unaweza kwenda kariakoo ukatafuta viongozi wa soko,,au wafanyabiashara ukamlilia hali akakuunganisha na wenye maduka ukaanza kufanya biashara kwa mali kauli. Unachukua mzigo unauza faida unatunza na gharama ya bidhaa unarudisha. Kikubwa ni uaminifu. Utatumia simu yako kutangaza biashara. Duniani watu wema bado wapo sema wengi wetu hatuna uaminifu. Ushauri wangu ni huo.
Kabisaa hakuna kazi m aya as long as unapata fedha ya halali sema changamoto kubwa ipo kwenye mtazamo wa kijamii na familia zetu. Kuwa kwa level ya elimu unastahili kazi kubwa. Wakati naomba kazi ya kufagia nilishirikisha baadhi ya marafiki lkn walichoniambia khaaa kutoka degree hadi kufagia hapana kwa kweli. Sikushauri. Kwenye familia ikawa vile vile. Lkn sikukata tamaa. Ba hata baada ya kupata hiyo kazi bado niliuzwa kwa mshahara huo utaweza kuishi. Lkn nilisimamia imani yangu. Ili ushinde hakikisha angalia nia yako ya moyoni.Asanteee Mkuu ... Kwa ushauri
Hakuna kazi mbaya ambayo ni halali
Nimechukua ushauri wako mkuu
Nafanya kama nipo kwenye conclave Mshangazi Fanya jambo!
Mimi sehemu ninayoiweza nimefanya, na wewe fanya basi. Kijana kaweka namba ya simu hapo juu, saidia kumuongezea kamtaji.Nafanya kama nipo kwenye conclave Mshangazi Fanya jambo!
Ngoja nimtumie chochote japo apate dinner!, Mshangazi Dah, yani kuna kitu kinanituma ndani ya moyo wangu, acha tu, na Sisi watu wa zamani tuna heshima zetu, huwa tunatuma barua hku tumechora picha za mioyo na mikuki πMimi sehemu ninayoiweza nimefanya, na wewe fanya basi. Kijana kaweka namba ya simu hapo juu, saidia kumuongezea kamtaji.
AminaAsante sana sana kwa kunitia moyo
Mungu apate kuona hili na kunibariki
Fanya hivyo utabarikiwa πNgoja nimtumie chochote japo apate dinner!, Mshangazi Dah, yani kuna kitu kinanituma ndani ya moyo wangu, acha tu, na Sisi watu wa zamani tuna heshima zetu, huwa tunatuma barua hku tumechora picha za mioyo na mikuki π