Shida haina hodi, mwenzenu nimefika mwisho, naombeni msaada

Shida haina hodi, mwenzenu nimefika mwisho, naombeni msaada

Kuna watu hawajawai ku husler KABISA..
"" Baba angu MZAZI hajawai ku husler KABISA alimaliza ELIMU yake akawa anabadilisha kazi kama nguo""

Wapo wengi TU hawajawai ku husler KABISA.."""Ila

Kwa Sasa nimesha sahau husler KABISA Ila sitaki kurudi kwenye Ile dhiki hatareee
Ku Hustle

Wengine wamejaaliwa bahati mkuu. Sisi wengine hakuna namna lazima ku hustle
 
makutupora ndugu yangu kwanza nikutie moyo amini ipo asubuhii njema yenye furaha, na baraka kwenye kazi unayoihitaji na kila jambo unalopitia itabaki historia,

Daudi akasema nilikuwa kijana na sasa ni mzee sijawahi ona mwenye haki ameachwa wala watoto wake kuomba mikate barabarani, hakika Mungu ni mwaminifu kwa ahadi zake sio km mwanadamu....

Mwenyezi Mungu akupe hitaji lako juu ya kazi unayoihitaji,

Mungu akupe kuvuka na kufaulu mitihani unayopitia,

Hakika sauti yako, maumivu yako, Tumaini lako kwake lisiende bure, kunena na kuomba, Sala na sadaka zako Mungu azikumbuke,

Mshukuru Mungu kwa kila jambo, utashukuru vipi na huna kazi, fedha, au chakula?

Mshukuru Mungu unafanya kazi nzuri, una kipato kuzuri, una shibe ndani yako weka imani kwenye kushukuru,


Ndani ya moyo wangu sauti imemtamka mzee wangu, baba na kiongozi na role model wangu naomba ufanye jambo juu ya kijana wako huyu, Dr am 4 real PhD

Mungu ni mwaminifu juu yako atakupa watu sahihi kwenye kila kusudio lako. Amen
 
Kweli mkuu
Mambo yanaweza kuwa magumu zaidi au yakawa nafuu ila mwisho wa siku yatakaa sawa KAMA UTAAMUA KUKAZA otherwise man, am telling the truth, no body cares and no one apart from you is going to save you. Huu ndio ukwel mchungu sana ambao nilikuja kujifunza kwenye maisha. NO MERCY. Mdogo angu, kaza, usitake kuonewa huruma hata kidogo. Najua kwenye hali ulionayo, kuonewa huruma na maneno ya faraja ndio kitu hasa unahitaji, but honestly, get off that shit thing na tafuta fursa madly, usichague chochote mbele yako fanya. Bahat na firsa bora zitakukuta mbele ya safar ukiwa unajipambania.

Kila lakheri
 
makutupora ndugu yangu kwanza nikutie moyo amini ipo asubuhii njema yenye furaha, na baraka kwenye kazi unayoihitaji na kila jambo unalopitia itabaki historia,

Daudi akasema nilikuwa kijana na sasa ni mzee sijawahi ona mwenye haki ameachwa wala watoto wake kuomba mikate barabarani, hakika Mungu ni mwaminifu kwa ahadi zake sio km mwanadamu....

Mwenyezi Mungu akupe hitaji lako juu ya kazi unayoihitaji,

Mungu akupe kuvuka na kufaulu mitihani unayopitia,

Hakika sauti yako, maumivu yako, Tumaini lako kwake lisiende bure, kunena na kuomba, Sala na sadaka zako Mungu azikumbuke,

Mshukuru Mungu kwa kila jambo, utashukuru vipi na huna kazi, fedha, au chakula?

Mshukuru Mungu unafanya kazi nzuri, una kipato kuzuri, una shibe ndani yako weka imani kwenye kushukuru,


Ndani ya moyo wangu sauti imemtamka mzee wangu, baba na kiongozi na role model wangu naomba ufanye jambo juu ya kijana wako huyu, Dr am 4 real PhD

Mungu ni mwaminifu juu yako atakupa watu sahihi kwenye kila kusudio lako. Amen
MUNGU ni mwema na nimuweza wa yote..
Nalifanyia kazi kwa uwezo wake yeye alie juu tutalifanikisha.
 
Nina mazingira magumu sana mbele naona giza tu mpaka sioni thamani ya haya maisha.
Miaka miwili natafuta kazi, naishi kwa ndugu kwenye mazingira magumu, mama yangu ni mgonjwa na namuangalia anavyoteseka kila siku nikiwa sina namna ya kumsaidia.

Yoyote ambaye ana ofisi, biashara, taasisi au shughuli yoyote, SICHAGUI, naomba kazi au hata nafasi ya kujitolea kwa malipo au bila malipo (hata nauli tu inatosha - ili niweze kutoka nyumbani na kushughulisha kichwa).

Mimi ni graduate mwenye shahada, niko tayari kufanya kazi yoyote, tafadhali naamanisha yoyote ile. Mimi ni mchapakazi, naweza kusocialize na watu, napenda kuandika, kusoma vitabu na kufanya shughuli za kijamii.


WASIFU WANGU KWA UFUPI:


Umri - Miaka 30
Jinsia - Mwanaume
Taaluma - Bachelor of Social Work
Makazi - Dar es Salaam



Tunaambiwa wanaume inabidi tujikaze, tuwe strong ila mimi nimefikia mwisho kabisa wa uwezo wangu. NAOMBENI MSAADA WAKUU!
Huwa naona kazi ya kwanza kwa vijana kwa ajili ya kujipanga angalau hata kupata hela ya vocha huwa ni ubodaboda au bajaji!
 
Pole sana ,sina connection kwasasa ila nakuomba na kukuplease mgande Intelligent businessman kwa namna yoyote nafsi inaniambia anayo njia yako
Kaka ni kweli Nina access ya namna hiyo, ila nili mwambia ndugu yangu makutupora kuwa nipo kwenye expansion ya kitu fulani.

Maana Kuna shughuli Zina paswa kuendelezwa na nyingine kusitishwa, within 2-3 month hizi kwangu ni Kama kaa la moto kooni.

Ila Baada ya hapo ndio kuna unafuu, ngoja tuone lakini.
 
Pole hazitamsaidia ndugu makutopora wenye fursa mumpe, ningekuwa nayo ningempa ila ndo hivo hapa nimetoka zangu kuvuna viazi vitamu nikauze nipate japo ten!

KIDUMU CHAMA CHA JOBLESS PROMAX
C.E.O Hon. Intelligent businessman fanya mchakato kijana asaidike

NB: Kama una eneo kijijini rudi kalime hautajutia mkuu hukosa hela ya mahitaji muhimu, chakula, mavazi, malazi, dawa...
Kuna mda natamani mtu angeona uhalisia wa hili ninalo kifanya, naweza ambiwa nabania michongo ila kiuhalisia nipo kwenye box kwa Sasa.

Huge responsibility ziko kwangu, nyingine zifungwe ili vitu viendelee ila ndio hivyo tena.

Hizi 2-3 months kwangu ni die or make it happen. so tusubiri tuone.
 
Kuna mda natamani mtu angeona uhalisia wa hili ninalo kifanya, naweza ambiwa nabania michongo ila kiuhalisia nipo kwenye box kwa Sasa.

Huge responsibility ziko kwangu, nyingine zifungwe ili vitu viendelee ila ndio hivyo tena.

Hizi 2-3 months kwangu ni die ormake it so tusubiri tuone.
Ikawe khery kwako ndugu yangu
 
my sister I'm just a young man, vi access vya hapa na pale vipo ila kwa Sasa nina mziki ambao napaswa kucheza either nitake au nisi take.

Kuanzia mwezi Jana mpaka Sasa niko bize mno, watu baadhi wanao nijua personal Wana elewa hilo.

tuombe uzima lakini, maybe wepesi uta kuja.
 
Tofauti na hapo kajiunge biashara za network marketing Kama eternal international.
(Ukienda waambie huna ela ya kiingilio) Maana Kuna kiingilio

Waambie wakupe mbinu ya kupata wateja kwa njian ya simu ama vipeperushi.

Ukienda hapo huwezi kosa ela ukiwa na bidii

Nyingine angalia hapa chini
👇👇
Utapeli huu
 
Back
Top Bottom