Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
kaka hata hio bahati bado Ina hitaji ukaze kudadadeki, lasivyo uta rudi mavumbini.Ku Hustle
Wengine wamejaaliwa bahati mkuu. Sisi wengine hakuna namna lazima ku hustle
Tena especially ukiwa kwenu wewe ndio kichwa au una access ya kujua Moja au mbili lipi ni bora lifanyike.