LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Mwisho 25 hapo napo tumekusamehe. Kuanzia 26 unatakiwa kuji manage na kuanza hata kutegemewa. Kweli nakuambia😂Utoto mwisho miaka 29 mkuu
Mwisho 25 hapo napo tumekusamehe. Kuanzia 26 unatakiwa kuji manage na kuanza hata kutegemewa. Kweli nakuambia😂Utoto mwisho miaka 29 mkuu
Asante kwa kuni weka kundi la watoto bro🙏😂Yan kuanzia 30 kiukwel ilipaswa mtu kuish your dream life ni vile tu afrika changamoto. Yan utoto tukikusamehe sana bas ni 25 yrs and below. Hapo tunaweza kuku consider kuwa bado.
Hivi dream life ndio likoje likoje shekhe?Yan kuanzia 30 kiukwel ilipaswa mtu kuish your dream life ni vile tu afrika changamoto. Yan utoto tukikusamehe sana bas ni 25 yrs and below. Hapo tunaweza kuku consider kuwa bado.
Jichanganye, ngoja siku nishibe msosi wa ki jobless pro max ndio uta jua hujui 😁Kwahiyo we ulivyosema 'my sister's ulimaanisha nn? Maana mi nili respond ulivyoniita Tena sikuona shida nilifurahia,🤣
Umri mdogo ndo unafanya maisha kuwa simple au.Pole saana bro lkn mbona unafika mwisho na bado umr wako mdogo saana
Kwani JKT umri mwisho ni upii?sema umri kidogo kipengele ningekuingiza JKT kijana. Ila never give up, Mungu ni mwema!
Ila waja jamanii, WoiiiihKama uko mjini nitafute kuna lishangazi lenyewe lina Hela nyingi (billionea)yeye anachotaka ni kazi Moja tu Ile unayoifahamu
Nasubiri majibu ngoja tuone.Nitashukuru mno
Njoo G4SNina mazingira magumu sana mbele naona giza tu mpaka sioni thamani ya haya maisha.
Miaka miwili natafuta kazi, naishi kwa ndugu kwenye mazingira magumu, mama yangu ni mgonjwa na namuangalia anavyoteseka kila siku nikiwa sina namna ya kumsaidia.
Yoyote ambaye ana ofisi, biashara, taasisi au shughuli yoyote, SICHAGUI, naomba kazi au hata nafasi ya kujitolea kwa malipo au bila malipo (hata nauli tu inatosha - ili niweze kutoka nyumbani na kushughulisha kichwa).
Mimi ni graduate mwenye shahada, niko tayari kufanya kazi yoyote, tafadhali naamanisha yoyote ile. Mimi ni mchapakazi, naweza kusocialize na watu, napenda kuandika, kusoma vitabu na kufanya shughuli za kijamii.
WASIFU WANGU KWA UFUPI:
Umri - Miaka 30
Jinsia - Mwanaume
Taaluma - Bachelor of Social Work
Makazi - Dar es Salaam
Tunaambiwa wanaume inabidi tujikaze, tuwe strong ila mimi nimefikia mwisho kabisa wa uwezo wangu. NAOMBENI MSAADA WAKUU!
Every one has dreams. So is as per your dreams. Thats allHivi dream life ndio likoje likoje shekhe?
It is just a transition stage, u dont have to be grateful to be a kid cz u just pass by , it is not where you are supposed to dwellAsante kwa kuni weka kundi la watoto bro🙏😂
Ule wa kukojoleshwa!!!Utatuma nauli au ndio utanikatia SGR online tickets?
Uzi upi?
Au ule uliofutwa?
Sawa sawa kakakaka rejea Maneno niliyo kuambia siku ile, Sasa hivi tupo kwenye reform nabadilisha na kuongeza baadhi ya vitu.
ndio maana nika kwambia subiri tuone, maana within 2-3 month naweza maliza hii set up.
Bado nasubiri jibu sehemu kaka, tuombeane kheriSawa sawa kaka
Asante sana brotherMkuu hii ndio inatakiwa hujajitilisha huruma, umekuja kuomba kazi kwa hekima na adabu. Mungu akupe hitaji la moyo wako mimi sina cha kukusaidia. Nimependa nikupe moyo tu usikate tamaa.
Wengi tuko na situation mbaya usijione uko peke yako lakini hiyo isikufanye ubweteke endelea kupigania kombe mkuu.
Sawa sawa MkuuUshauri wangu! Matatizo yoyote anayoapata mwanadamu Chanzo chake ni ROHONI! sasa tengeneza kwanza rohoni tafuta watumishi wa Mungu( Shekhe, wachungaji, Nabii ) uweze kupata uponyaji wa kiroho.
Alafu utaona mambo yanavyokwenda.
Nashukuru KakaBado nasubiri jibu sehemu kaka, tuombeane kheri