Shida haina hodi, mwenzenu nimefika mwisho, naombeni msaada

Shida haina hodi, mwenzenu nimefika mwisho, naombeni msaada

IMG_9464.jpeg
 
Ushauri wangu! Matatizo yoyote anayoapata mwanadamu Chanzo chake ni ROHONI! sasa tengeneza kwanza rohoni tafuta watumishi wa Mungu( Shekhe, wachungaji, Nabii ) uweze kupata uponyaji wa kiroho.
Alafu utaona mambo yanavyokwenda.
imani potofu, za kimaskini.
 
Pole kaka, ila kuna sehemu machimboni kuna kazi za day elfu 7 mpaka elfu 10..nilishawahi kufanya kama miezi 5 wakat mambo yangu yako vibaya, ila ni kazi ngumu.

Nenda kahama, sehemu panaitwa Mwakitoryo unapata kazi za chepe, kila siku, unaosha mchaga wa dhahabu..mishe ni nyingi kule.

Kwa dar, tafuta vibarua vya saidia fundi..etc,
Sasa kahama anaendaje wakati Hana nauli
 
Back
Top Bottom