The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
..serikali ya Muingereza ilikuwa inakusanya wanafunzi toka maeneo mbalimbali ya Tanganyika na kuwapeleka Government School Tabora.
..alichofanya Mwalimu Nyerere na kuongeza wigo wa jambo ambalo tayari lilikuwa linafanywa ama na serikali au makanisa.
..pia sio sahihi kusema alifanya Mwalimu Nyerere. Kauli sahihi ni SERIKALI ya Tanganyika au Tanzania ilifanya.
Kwa mujibu wa mwanahistoria Mzee Mohamed Said Udini ulijitokeza waziwazi ndani ya Tanu kuanzia uchaguzi wa kura tatu ambapo waislamu Wana Tanu ilibidi wawekwe kando Ili Wakristo wasomi wachukue nafasi zao.......hakukuwa na udini, wala ukabila.
..makabila na dini zote waliungana kudai kujitawala.
..Tanganyika hatukuwa koloni la Uingereza.
Hii inaenda kinyume kabisa na Sera yake ya self reliance. Mwenyewe alishasema nchi haiwezi kuendelea kwa kutegemea misaada.Nchi kuwa omba omba yeye chanzo
Kwa mujibu wa mwanahistoria Mzee Mohamed Said Udini ulijitokeza waziwazi ndani ya Tanu kuanzia uchaguzi wa kura tatu ambapo waislamu Wana Tanu ilibidi wawekwe kando Ili Wakristo wasomi wachukue nafasi zao.....
Kitabu nimekwisha kiona mkuu, nitakisoma.Kitabu hicho: Remembering Nyerere in Tanzania kimechapishwa na Mkuki na Nyota Publishers na kinapatikana online pia. Kina mkusanyiko wa maandiko kadhaa ya wadau mbalimbali kumhusu Nyerere tangu enzi za mkoloni hadi mwisho wake.
Wapo waliojitenga na Tanu na kuanzisha AMNUT...cha kidini..jamaa zake Mohamed walikuwa Nationalists, wangekuwa Islamists, wangeanzisha chama chao cha Kidini.
Hakukua na internet, lakini TV zilikuwrpo lakini hakuruhusu kwa kisingizio Cha Ujamaa. Eti watu watakaomudu kumiliki TV sets ni wachache.Sawa kabisa na jina lako. hao ulio kuwa unasikiliza simulizi toka kwao hawakukuambia kuhusu lawama hiyo kubwa ya Nyerere kutoleta internet?
Nilijua hili litakuja hapa.Hakukua na internet, lakini TV zilikuwrpo lakini hakuruhusu kwa kisingizio Cha Ujamaa. Eti watu watakaomudu kumiliki TV sets ni wachache.
Wapigania uhuru wengi wa africa walikuwa hawana maono ya mbali walijiona wao ndio wasomi na hakuna mwingine anaweza kutawalaYule mzee alikuwa mroho wa madaraka, miaka yote ile hakukuwa na mtu mwingine wa kuwa rais?
Wapo waliojitenga na Tanu na kuanzisha AMNUT...cha kidini
Hatari sana
Upo sahihi,alikuja na kitu kinaitwa kota system...ili kuketa usawa wa elimu. Tundu wakati mwingine ni mbinafsi sana.Ndg.Lissu ni mropokaji sana...
Mropokaji haswa......
Ingekuwa si Nyerere yeye angesomea wapi?!!!
Nyerere ndiye aliyeikomboa mikoa ya kanda ya kati.....
Lissu aache mambo yake ya ajabu....
#JMT for ever[emoji7]
Zamani mtu akinikosoa nilikuwa nachukia. Siku moja nilikuwa naongea na counsellor wangu kuhusiana na watu kunikosoa na huyu kiongozi ananiambia hivi: "mtu akikusoa anachosema ni kwamba katika eneo fulani hufanyi vizuri. Lakini hasemi kwamba kila eneo wewe ni hopeless hata unavyojisaidia chooni." Baada ya kutafakari vizuri niliona alinipa ushauri mzuri. Kwa hiyo, hata kwa Nyerere, Tundu Lissu hakusema kwamba Nyerere alikuwa mbaya katika kila kitu, isipokuwa katika ku'deal' na wakosoaji wake. Kwa upande wa Tundu Lissu, katika eneo hili Nyerere hakufanya vizuri. Lakini ni wazi katika maeneo mengine alifanya vizuri.Ndg.Lissu ni mropokaji sana...
Mropokaji haswa......
Ingekuwa si Nyerere yeye angesomea wapi?!!!
Nyerere ndiye aliyeikomboa mikoa ya kanda ya kati.....
Lissu aache mambo yake ya ajabu....
#JMT for ever[emoji7]
Upo sahihi,alikuja na kitu kinaitwa kota system...ili kuketa usawa wa elimu. Tundu wakati mwingine ni mbinafsi sana.
Unamaanisha dunia nzima Nyerere ndiye alisaidia watu kupata shahada za LLB?Sawa....
Utafiti bora ni kuja na majibu yanayoeleza kuwa UBAGUZI WA KIKABILA ,DINI NA KANDA una "sequela" mbaya zaidi.....
Ingekuwa si baba wa taifa Julius K.Nyerere sidhani leo hii ndg.Tundu Lissu kutoka kanda ya kati angepata hata shahada yake ya kwanza ya LLB....
Ndg.Tundu Lissu aache mambo ya kitoto......
#Nyerere ni baraka kubwa kwa taifa hili[emoji7][emoji7]