Shida ya Lissu na Nyerere ni nini hasa?

Shida ya Lissu na Nyerere ni nini hasa?

Ni ujinga kulaumu utawala ulioondoka miaka 40 iliyopita kwamba ndio chanzo cha matatizo, kwa hiyo miaka 40 tawala zilizofuata hayupo ambaye alitoka usingizini na kusahihisha makosa ya Nyerere?

..Lissu alikuwa akijibu swali la Chief Odemba.

..Na katika jibu lake alisema mabadiliko ya katiba ya mwaka 1962 ndio yaliyotuletea Raisi mwenye mabavu kupita kiasi, ya ki-mungu-mtu.

..sasa Raisi wa kwanza kuwa na madaraka yaliyopitiliza alikuwa Mwalimu Nyerere.

..Kwa msingi huo, hoja ya Lissu ina utetezi na ushahidi wa kihistoria.
 
Kwani anasema uongo yule babu alikuwa sio kiongozi mzuri
Ukimpatia Lissu saa moja atatumia dk 45 kumdiss Mwalimu Nyerere kwa maneno makali kadri atakavyoweza.

Alipoulizwa na Chief Odemba kwa maoni yake kuwa ipi ilikuwa awamu iliyoongoza kwa ukiukwaji wa haki za binadamu, bila kumumunya maneno alidai ni awamu ya kwanza.

Kwa mtazamo wa Lissu, Nyerere alikuwa katili kuliko Mwinyi, Mkapa, Kikwete na JPM wote kwa pamoja.

 
Mtu mpumbavu pekee ndie hatomuelewa Lisu, mana wajinga wanahisi wajibu na majukum ya viongoz ni zawadi kwetu wanasahau hizo ni haki zetu na tunawalipa ili wasimamie nguvu na kodi zetu kwa faida ya Taifa zima.

Mwl Nyerere, makubwa aliyoyatenda ulikua wajibu wake na haki zetu kwa maana aliwezeshwa na kodi za wananchi kwa kila tone la maisha yake haituzuii kumkosoa. hivyo hivyo kwa JPM na mwingine yeyote atakayewah kutawala.

#Viongozi wawajibishwa wakitukuzwa sana ni Wapumbavu haswa.
 
wako,huyo Mzee alikuwa nuksi sana kwa vile tu nyakati hizo habari hazikuwa zinavuma kama zama hizi. Magazet matatu tu,Uhuru,Dailly News na Mfanyakazi na yote ni ya Serikali na Chama. Na yeye alivuna roho kiasi chake.
Ujuaji huu haumsaidii yeyote na unamfanya anaye onyesha ujuaji kuwa kioja.
Tueleze "roho alizo vuna" ni ngapi na zipi, kwa mfano!

Hata hayo magazeti, kuna magazeti mangapi yaliyozuiwa kufanya kazi kwa sababu yalikuwa na msimamo usio shabikia serikali, unayajuwa utueleze?

Na hapo hapo, wewe, pamoja na Tundu Lissu mwenyewe, mlitegemea mazingira ya wakati huo yawe sawa na haya ya sasa. Ingewezekana vipi? kwa hiyo, mnapozungumzia maswala ya namna hii, yawekeni kwenye 'context' stahiki

Siyo maswala ya kubwatuka tu.
 
..harakati za kudai uhuru wa Tanganyika zilikuwa za kizalendo, na hakukuwa na mambo ya udini, ukabila, au ukanda. Sio sahihi kusema mambo hayo hayapo kwasababu ya Mwalimu Nyerere.
Hili ni jambo la kujadili kwa kina kwenye mada yake sahihi.
Natumaini siku moja utaitengeneza mada hiyo mkuu'JokaKuu'.
Mambo hayo hayakuwepo?/hayakujitokeza wakati huo kwa sababu maalum, siyo kwamba hayakuwepo.
 
Hili ni jambo la kujadili kwa kina kwenye mada yake sahihi.
Natumaini siku moja utaitengeneza mada hiyo mkuu'JokaKuu'.
Mambo hayo hayakuwepo?/hayakujitokeza wakati huo kwa sababu maalum, siyo kwamba hayakuwepo.

..kwa mtizamo wangu waliodai uhuru walisukumwa na uzalendo na sio dini, ukabila, au ukanda.

..vyama vya kikabila viliwahi kuanzishwa lakini vilijiunga chini ya mwamvuli wa Tanu, na kupigania uhuru wa Tanganyika yote.

Cc Nguruvi3
 
Kama huna “open” na “critical mind” na una hulka ya kushabikia na hata kuabudu watu, huwezi kuelewa anachosema Lissu.

Kasome kitabu cha: Remembering Nyerere in Tanzania, ed. Marie-Aude Fouéré 2015 utakutana na uchambuzi tunduizi kuhusu pande zote za Nyerere usioremba tu. Tatizo la Lissu ni kukosa lugha ya kufurahisha. Anaumwaga ukweli bila kunyunyizia “painkiller”! Nyerere was not a saint.
But I would say he was more close to a saint considering the epoch in which he ruled.Who expects any human being to be a saint; not even one's parents can qualify to sainthood. Again, look around in the neigborhood or around the world for that matter, at the time; where can one find a saint national leader?

It would have been more beneficial for those who have no access to the book if you had cited a few examples. to highlight what was happening during his time..
 
..kwa mtizamo wangu waliodai uhuru walisukumwa na uzalendo na sio dini, ukabila, au ukanda.

..vyama vya kikabila viliwahi kuanzishwa lakini vilijiunga chini ya mwamvuli wa Tanu, na kupigania uhuru wa Tanganyika yote.

Cc Nguruvi3
Huo mstari wa mwisho. Unadhani kazi hiyo ilijitokeza tu bila kufanyiwa juhudi?

Hata hivyo mkuu 'Joka', hapa kweli ndipo mahali sahihi pa mjadala huu?
 
Mimi sikuwepo enzi za mwalimu ila kwa simulizi mbalimbali zilizopo ni kwamba hiyo awamu yake ilikuwa sio poa. Ndo nyakati wananchi walikuwa wakisema "zidumu fikra za mwenyekiti".. kwangu mimi kikubwa alichofanya mwalimu ni kutokomeza ukabila. Ila mambo mengi yalikuwa hovyo.
 
Mimi sikuwepo enzi za mwalimu ila kwa simulizi mbalimbali zilizopo ni kwamba hiyo awamu yake ilikuwa sio poa. Ndo nyakati wananchi walikuwa wakisema "zidumu fikra za mwenyekiti".. kwangu mimi kikubwa alichofanya mwalimu ni kutokomeza ukabila. Ila mambo mengi yalikuwa hovyo.
Najuwa ulitaka pawepo na internet. Hata mimi namlaumu kwa kutokuwepo internet wakati huo Tanzania! EeeenHeeeee!
 
Tatizo mmelishwa matango pori..
Nyerere ndiye rais mbovu aliyejenga misingi mibovu sana ya nchi hii.
1. Ujinga mtopeo..ni yeye chanzo
2. Unafiki wa Tz ni yeye chanzo
3. Nidhamu ya uoga ni yeye chanzo
4. Nchi kuwa omba omba yeye chanzo
5. Umaskini ni yeye chanzo
vijana wa siku hizi tunaabudu wanasiasa wetu na sio kujua nini taifa linaihitaji wa wakati gani Nyerere alikuwa ni mzalendo na mpenda maendeleo lakini LISU ni mnafiki na msaliti ...kipindi cha Magufuli aliwahi saidia wazungu waifiri Tanzania kwa mgongo wa uwakili, lakini pia alikuwa anatoa siri za nchi nje.....LISU ni miongoni mwa watu wasio kuwa na utu na kiu ya kulinda taifa lake(anasapoiti ushoga ili hali akijua kufanya hivo ni kuvuruga nguvukazi ya Taifa kwani hakuna shoga ataweza kuzalisha au kufanya kazi za kuzalisha mali katika taifa lolote) Nyere atabaki kuwa mzalendo na katika nchi zote zenye marais wazalendo ni lazima kuwepo usimamizi wa hali ya juu rasilimali za nchi hali hii huonwa kama ukandamaizaji kwa watu wajinga kam LISU.
 
Naona mtu anaemuogopa ni Mwinyi na Kikwete tu. Bado haijamtokea kwao.

Alimshambulia sana Nyerere wakati wa mjadala wa bunge la Katiba.
 
Ndg.Lissu ni mropokaji sana...

Mropokaji haswa......

Ingekuwa si Nyerere yeye angesomea wapi?!!!

Nyerere ndiye aliyeikomboa mikoa ya kanda ya kati.....

Lissu aache mambo yake ya ajabu....

#JMT for ever[emoji7]
Akili zenu huko ccm ni kama za mamayenu wa kizimkazi, uwezo wa kufikir hamna Yani mko mijinga mijinga tu ndio maana toka uhuru Hadi sasa bado mnafikiria matundu ya choo tu.
 
Back
Top Bottom