DOKEZO Shida ya maji mkoani Morogoro

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Fanyeni haraka kuomba kampuni ya Waarabu ije isaidie
Kama mbeya wa denish walivyo supply mfumo wa,maji huko
Nchi hii ss hatuwezi kitu mpaka tufanyie,nchi ina balaa hii

Ova
 
Jamani Morogoro morogoro yeeee maji yatirirka milimani yooo! Inasikitisha Sana.
Nimekaa sana milima ya kizunguzi huko...lumbiji huko miaka ya 70 wacuba walitega maji na kuyaleta kizunguzi shule
Tatizo nchi hii wahusika hawafatili
Wao wanataka kila kitu waje wageni wWafanyie

Ova
 
Moro tyfod ndiyo nyumbani

Ova
Mwenyeji wangu bahati nzuri anajiweza, anao uwezo wa kuchemsha maji na kuyachuja Kwa kitambaa cheupe kisafi, Kwa sababu ananiambia Kuna sikua maji yanatoka ya kijani, Yana rangi ya ugoro , na siku nyingine Yana harufu ya mavi ya mbuzi au ng'ombe, Yan πŸ˜‚ ni balaa Mzee,
Na waza familia masikini Wana huo muda wa kusafisha maji ya kunywa
 
Morogoro kuna watu wanatumia maji kutoka sehemu mbili, kuna wale ya kutoka milimani na wengine wanatumia kutoka pale mindu,
Maji ya mindu ni magonjwa tupu

Ova
 
Cc Myangu Faana Robert Heriel Mtibeli
 
Uislamu ni vitendo si mashirika , hao wote watakuwa ni walafi , wangalianza kujipanga kuliondowa Tatizo la maji,

Huku ZnZ, hali ndio hiyo , Raisi haondoki misikitini ni unafiki mtupu , yeye ndiye mwizi mkubwa
Mwinyi na uchumi wake wa blue naye anakuibieni? Si anatajwa kuwa mwadilifu huyu? 😳😳😳😳
 
Mimi nilipewa chujio fulani na wale wazungu Irishaid wa berega,special kuchujia maji

Ova
 
"imangini"
Acha umbea, fata kilichokupeleka. Nyie ndo mnatembeleaga ndugu kuchunguza wanaishije.
 
Harufu ipo mazingira karibu na kiwandani lakini Sua haifiki
Acha kuongea Uongo Mzee, najua umekuja kuwatetea Kwa kuwa mnajua mmevunja Sheria za mazingira , na mnatakiwakupigwa fine Kwa kosa hili, Sema nchi yetu viongozi ni kama misikule vile
 
Kama mbeya wa denish walivyo supply mfumo wa,maji huko
Nchi hii ss hatuwezi kitu mpaka tufanyie,nchi ina balaa hii

Ova
Kila mradi tunataka kupiga zaidi,unategemea tutaweza kufanya project za maana kweli , ACHA wawe chawa wa mama ndio wanacho weza fanya Kwa ufasaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…