BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Bongo madhaifu yetu tunataka kuyaficha au kutupia vyama vya upinzani na viongozi wao kwamba ndio sababu ya upinzani kulegalega. Hii sio kweli hata siku 1.
Ukiiangalia Kenya utagundua mafanikio yao hayajatokana na upinzani bali spirti binafisi ya Wakenya. Wakenya wana personer spirt ya kupambana, sio tu kwenye siasa hata makazini, huwezu ajili Mkenya uka mburuza kama tunavyo buruzwa huku Tz
Loe hii mfano yule Mwana Dada raisi wa Chama cha Mawakili cha Kenya, Law society of Kenya(LSK) anao uwezo wa ku pool watu Barabarani peke yake, Kenya kuna watu wengi wana weza pool watu Barabarabu nje ya vyama vya siasa kitu ambacho Tanzania hakipo kabisa.
Natamani Lisu awe Mwenyekiti wa chama ili baadae tuje tu realiase kwamba shida sio kiongozi bali ni aina ya watu wanao tawaliwa.
Angalia Migomo ya Wafanya kazi Kenya haiishi wanafanya kupokezana, wakitoka Walimu, utasikia Madakitari, Wakitoka Madakaitari utasikia wafanya kazi wa Shirika la ndege la Kenya, wakitoka hao utasikia Madakitari wa intern, mara manesi, mara Ma lecture wa vyuo vikuu.
Sasa niambie Mara ya Mwisho kushuhudia migomo Tanzania hii ni lini? au huku wanalipwa vyema?;Walimu wa Tanzania wanalipwa vizuri sana ndio maana wako kimya? au wanataka wapinzania waandamanie?
Bongo hata aje Malaika kuwa kiongozi wa chama cha Upinzani hataweza faulu chochote kwa sababu ya aina ya watu.
Tunasahau kwamba Upinzani sio Chama bali ni Idelogy, Ideology ambayo inaonekana Wabongo hatuna au iko low sana.
Natamani Lisu ashike usikani tuone pool out ya watu Barabarani, make Barabarani ndio Lugha pekee watawala huielewa ukiachana na kugha ya Lisasi.
Kenya na nchi zingine wana enjoy kiwango cha juu cha Molari ya Raia wao. Kenya Wakina Raial odinga kinacho wabevmba ni Spirti binafisi ta Wakenya.
Sasa tunangoja tuone spirt ya Watanzania Barabarani, kumbuka bila Barabarani hawa CCM hakuna kitu wanaweza badilisha, Kenya wakina Raia ndio siasa wanafanyaga za Barabarani.
Watanzania hatuna Spirt ya kupambana tusidanganyane kabisa.