ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,451
- 2,348
mengine hayavumiliki hayaelezeki mkuu..mimi binafsi nilishawai kusema kwenye maisha yangu sitakuja niuze kitu changu .Tujifunze kuvumilia jmn..
Mungu atusaidieemengine hayavumiliki hayaelezeki mkuu..mimi binafsi nilishawai kusema kwenye maisha yangu sitakuja niuze kitu changu .
ila mwaka huu huu tu nilishataka kuuza pc yangu ya over 2m kwa ata laki tano tu nisolve mambo yalonitinga.
na hapo nilizunguka mnoo yan.
Unapatikana wapi mkuuNauza Iphone 13 pro, Mwenye laki2 aniguse PM... Nimetaitiwa
Haina tatizo wakuu
Uboho.Gari niliyonunua milioni 5 nikiwa nimeitumia miezi miwili tu niliiuza kwa milioni 1 na laki 3 kumaliza kesi flani isifike mbali tumalizane kimya kimya, pesa ilikuwa inahitajika fasta hivyo mteja ilibidi awe wa fasta, kuna watu wengi wameishia jela kwa kuchukulia vitu poa kwa jicho la mtaani kwamba ni kawaida, unapopata nafasi ya ku negotiate itumie!
Laptop nilinunua laki 8, niliuza kwa laki 2 na nusu ili nikamilishe ada.
Ulibaka??Gari niliyonunua milioni 5 nikiwa nimeitumia miezi miwili tu niliiuza kwa milioni 1 na laki 3 kumaliza kesi flani isifike mbali tumalizane kimya kimya, pesa ilikuwa inahitajika fasta hivyo mteja ilibidi awe wa fasta, kuna watu wengi wameishia jela kwa kuchukulia vitu poa kwa jicho la mtaani kwamba ni kawaida, unapopata nafasi ya ku negotiate itumie!
Laptop nilinunua laki 8, niliuza kwa laki 2 na nusu ili nikamilishe ada.
Sibora ungeiacha kwa stationerynilishauza laptop kwa elfu 10 ,,,,,,,,,,,,ndiyo wee hesabu elfu moja moja yaaani buku 1,000 ziwe kumi ,,,ila ilikuwa mbovu ,,,,,,,,sema nilikuwa nahitahi nipate hela ya kutuma maombi ya chuo kikuu ardhi way back 2019 deadline ilikuwa ni kesho yake ...japo nilipata chuo ila ilinibidi tuuu maana nilikuwa sina msaada wowote ulee
Huyo unayetaka kumlipia chuo akimaliza halafu akae miaka 10 bila ajira ya maana.PC niliuza.
Sasa hivi naweza kuuza nyumba kuna shida imekaba yani. Mtoto anatakiwa kwenda chuo mwezi wa tisa na mm sina pesa ajira na biashara zimekuwa. Hapa kichwa kinauma yan
Ndo nilichouza kwa loss 😂😂😂Unapatikana wapi mkuu
NILIKUWA SINA NAMNASibora ungeiacha kwa stationery
The bump ungefuatilia huyu mtuDah shida uzisikie tu Kwa wenzio tu ndugu, 2019 kibarua nimepoteza mtoto analia njaa mama ake mama wa nyumbani nikaanza kutoa kimoja kimoja tv, king'amuzi, Bomba la antenna ,showcase, na vingine kibao...afu hamna moment inauma unapoona uliyemuuzia Kwa bei kitonga anatumia mpaka kesho au Ile mtoto wako anauliza baba tv Iko wapi, baba blender tutengeneze juice, dah asee MUNGU atuepishe Kwa kweli . Tv Samsung Kwa laki??!! Blender 20, Jiko two plates kwenye box halijatumika Kwa 30???!!! Inauma sana mwisho nikaishia kuwa mdau wa double kick, cuca, robot na ma shit kama hayo yaani naomba isijirudie kamwe.
daaah sikuweza kuona mkuuu walahi vile ningeona hiii NisingemuaminiThe bump ungefuatilia huyu mtu