Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
US PAPER TIGER[emoji23][emoji3][emoji16][emoji4][emoji2]Ama kweli US ni noma, Venezuela anayeongoza kwa oil reserves sasa anaimport mafuta, inasikitisha sana. Atakayefanya biashara na Iran hashambuliwa kijesha bali atakosa fursa ya kufanya biashara na US, Sasa Venezuela tayari anavikwazo vya US tayari, kwa hiyo hana cha kupoteza.
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Tuko kwenye jukwaa la wenye akili, huu ujinga wako peleka chit chat.Njama na mikwara Huimarisha, natamani kesho JPM aanzishe plant ya kufua umeme wa nyuklia pale liganga
Mfumo wa kusafishia mafuta Venezuela haufanyikazi. Iran ndo amepeleka mafuta yaliyosafishwa na wataalamu wa kufufua mitamboKinachoendelea sijakielewa, kwani nijuavyo Venezuela ni wazalishaji wakubwa wa mafuta, wanazalisha mafuta zaidi ya mapipa million moja kqa siku.
Hayawatoshi au kunani?
Lete hoja taarab peleka MMUMbna umeongea kwaunyonge sana MKUU[emoji23][emoji23][emoji23]US PAPER TIGER[emoji23][emoji3][emoji16][emoji4][emoji2]View attachment 1458784
Sent using My COVID-19
Hoja hujaiona mleta mada aloileta ?!Lete hoja taarab peleka MMU
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Nami nimejibu hoja ya mleta mada, nawe kama ulikuwa una hoja kuunga mkono au kupinga hoja yangu ungeileta, lakin matokeo yake umeleta taarab za isha mashauzi. Kama una hoja leta basi tuendelee, nakusubiri...Hoja hujaiona mleta mada aloileta ?!
Kuhusiana na CCM CHADEMA sijui Nani Mtajuana wenyewe huko mimi hayanihusu
Sent using My COVID-19
Wana jeshi wa Venezuela nao walienda kuzipokea meli za iran yani apo ilikuwa sio mkwara nilikuwa Nina subiria kweli maana Iran walisema kama vip usa wamuulize UK kuhusu utekaji wao wameli!!!
Nadhani ile meli ya uk ilitekwa sio kibabe tu bali technology ilihusika!
Ni sawa na kusema kipindi hiki kingekuwa cha Urais wa Dwight D. Eisenhower. Hahaha!Hahahahaha
Tena Trump ana bahati sana ingekuwa hiki kipindi cha Rais Nejad sijui ingekuwaje...?
Maana akili zao hazitofautiani kabisa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja nikwamba Meli Yamafuta Ishafika VENEZUELA Ikumbukwe kwamba meli imetokea Ghuba Ya AJEMI ambayo wale waimba taarab walisema wataikamata wakati inapita hawakuiona ama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nami nimejibu hoja ya mleta mada, nawe kama ulikuwa una hoja kuunga mkono au kupinga hoja yangu ungeileta, lakin matokeo yake umeleta taarab za isha mashauzi. Kama una hoja leta basi tuendelee, nakusubiri...
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Mkuu, labda hawakuiona hiyo ya kwanza. Ngoja tusubiri zingine nne zipo njiani. Halafu Iran hadi Venezuela kwa meli mbali kweli.Hoja nikwamba Meli Yamafuta Ishafika VENEZUELA Ikumbukwe kwamba meli imetokea Ghuba Ya AJEMI ambayo wale waimba taarab walisema wataikamata wakati inapita hawakuiona ama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using My COVID-19
Pro US wanasema US wana deal na koronya kwanza [emoji23][emoji23]Mkuu, labda hawakuiona hiyo ya kwanza. Ngoja tusubiri zingine nne zipo njiani. Halafu Iran hadi Venezuela kwa meli mbali kweli.
Hawa Iran kwa kujiamini walituma meli zote 5. Wangekuwa hawajiamini wangetest kwanza upepo wa Trump kwa kutuma meli moja ili hata kama ikikamatwa wasiwe na hasara kubwa.
Nishakuambia hapa taarab haina nafasi lakini bado unaendelea nayo tu [emoji38][emoji38][emoji38], ebu Leta ushahidi wa US kusema wataikamata hiyo meli. Nakungoja.Hoja nikwamba Meli Yamafuta Ishafika VENEZUELA Ikumbukwe kwamba meli imetokea Ghuba Ya AJEMI ambayo wale waimba taarab walisema wataikamata wakati inapita hawakuiona ama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using My COVID-19
Iran alishawapa onyo, na wanavyotafta sababu tenaYani Iran yupo kwenye position ambayo ukimchokoza majini lazima adake meli yako tu!
Alafu huwa wana pandwaga na mzuka hawadaki moja!
Sasa bila kujali kama mzigo umefika au haujafika, hivi kati ya anayeweka vikwazo na anayewekewa vikwazo, ni nani mwenye ubabe kwa mwenzake? 😛Waliwekewa vikwazo na Marekani ktk uuzaji wa mafuta, na wametakiwa wasimuuzie mafuta Venezuela.
Ndo tatizo LA kutegemea mabeberu kila idara ktk uchumi wa taifa lako....Hongera kwake Iran...Mfumo wa kusafishia mafuta Venezuela haufanyikazi. Iran ndo amepeleka mafuta yaliyosafishwa na wataalamu wa kufufua mitambo
Sent using Jamii Forums mobile app