Shikamoo Iran: Licha ya mikwara ya Trump juu ya Iran kusafirisha mafuta kwenda Venezuela, mzigo wa kwanza umeshafika Venezuela

kwako wewe rais anayesikiliza kila linalosemwa na US ndio rais mzuri na mwenye akili. hata akiambiwa aruhusu ushoga akikataa basi pia anakuwa mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna hoja zaidi ya mahaba Kama alivyotoa amri kwamahkama ya Gibralter kukamata meli ya IRAN kwakuona haipitii ukanda wake wakati wakupeleka Mafuta SYRIA ndio alivypiga mkwara kama huo kwakuona Meli za IRAN zinaelekea Kwa MADURO ila wanaume washoka wamefika mpaka VENEZULA PAPER Tiger US anahangaika Tu

Kukamata Amakuitishia Meli ya IRAN nikujitishia Mwenyewe Maana Hatishiki


Kuhusiana Kufanya Biashara Na US tayari VENEZUELA alishakataa Huo Upuuzi Baafa Yakuona Beberu Anajifanya ndio kila kitu


IRAN IRAN IRAN Kiboko Yamabeberu.

Sent using My COVID-19
 
Hivi Venezuela wameanza lini kuimport mafuta
Baada ya Kuekewa Vikwazo Na US nasikia Makampuni Makubwa Yalokua yanaendesha Uchimbaji wamafuta Na Gas Yalikua yanatokea Magharibi (US na CANADA) yakafungasha virago yakasepa hapa ndipo sekta yamafuta na gesi ya VENEZUELA ikawa mfu mafuta na gesi mnayo ila hamuwezi kuyatumia sababu hamuwezi kuyachimba

Ndio wakaomba Msaada kwa WAAJEMI waajemi Kwauungwana Utu na Ubinadamu wao wakapeleka Msaada kuwasaidia RAIA wa VENEZUELA wanaoteseka Naukandamizaji wa US navibaraka wao

Sent using My COVID-19
 
ndio upeo wako wakufikiria kukoment nakuandika ndio ulipomaliza hapa MKUU inasikitisha sana Asee kama kunawatu mnamawazo yakitumwa bado kama haya

Tunayaheshimu mawazo maoni namichango yako ila pole sana kwamawazo yasiokua yanaangalia hali halisi yamambo yanavyoenda ulimwenguni

US niwauaji kabisa na kitendo cha IRAN kupeleka MELI zaidi yatano VENEZUELA sio kumsapoti RAIS sababu kipindi hiki ambacho VENEZUELA inapitia halingumu Bado MADURO nawatu wake hawateseki ila wanaoteseka niraia wakawaida Ambao Mkombozi wawanyonge IRAN kajitolea Kuwapiga tafu RAIA wa VENEZUELA wanaoteseka nahila za US wauaji

VENEZUELA watakipita kipindi hiki kigumu kinachowakabili kwasasa nandio watakuja kua tishio kabisa kwamaslahi ya US nandio watawapa akili watawala wengine wa AMERKA YAKASKAZINI yakwamba wanaweza kuishi bila yakupelekeshwa na US

US anajichimbia kaburi lake mwenyewe nisuala lawakati tu namuda.

Sent using My COVID-19
 
Hakuna trillionyeyote iliotafunwa ni propaganda tu ya upinzani ila kwa watu wenye uelewa mdogo ndio watakaoamini Ila kwa mtu Kama Mimi unipati unazani 1.5 trillion unazani pesa ndogo hivi ,bajeti ya wizara nzima hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa makampuni kuondoka nchini kwao ndo kuwakandamiza raia??kwani lazima makampuni ya magharibi yawepo kuwachimbia mafuta yao??kama iran ni muungwana asipeleke mafuta bali apeleke makampuni ya kuchimba mafuta..
Iran hafanyi msaada anafanya biashara
Dont get it twisted
 
Kuondoka kwamakampuni yao US sio ukandamizaji nihaki yao ila kutaka kuwazuia watu wengine wasifanye biashara na VENEZUELA ndio Unyama wahali yajuu

Suala lakupeleka Hao wataalam ama makampuni yakuchimba mafuta pia nisuala lamuda tu nahata hio kupeleka makampuni pia ujue nibiashara nayo




Sent using My COVID-19
 
Umepotea njia asee

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
Onyesha Marekani iliposema itakamata hizo meli za iran, blah! blah! hazina nafasi.
Hapa hoja tu.

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
Onyesha Marekani iliposema itakamata hizo meli za iran, blah! blah! hazina nafasi.
Hapa hoja tu.

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Halafu ukiletewa ushahidi utakua namaneno gani juu ya US ?!

Sent using My COVID-19
 
Halafu ukiletewa ushahidi utakua namaneno gani juu ya US ?!

Sent using My COVID-19
Nitajua kweli US kashindwa kuzikamata hizo meli. Na nitaunga mkono hoja ya mtoa mada.
Nawe vipi ukishindwa kuonyesha? Utakuwa na maneno gani?

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
Dah!...huu uzi umesheheni Pro-Iran wakutosha..[emoji2][emoji2][emoji2]
Wameamua kujipa zawadi ya Eid kwa uzushi, [emoji38][emoji38][emoji38]. Hawa jamaa wanapenda sana faraja hewa.

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
Kila nchi iko huru kuchagua, halazimishwi mtu. Sasa story zenu meli za ilani kufika Venezuela bila kukamatwa na US mlitaka zikamatwe kwa lipi? Na lini US alisema atazikamata? Onyesheni basi tuendelee na mjadala mbona rahisi tu!.
Kwi..kwi..kwii..

Kwani huo uhuru wa kila mtu kuuza au kununua bidhaa atakavyo hapo mwanzo mlikuwa hamuufahamu?

Mfano mzuru huu hapa: Uingereza ilikamata meli ya Iran iliyokuwa ikipeleka mafuta kuuza Syria kwa kudai kuwa Iran anakiuka vikwazo.

Kilichofuata Iran akamuahidi atamuadhibu (uzuri wa Iran hutoa taarifa kabla ili ujilinde na hapo hapo anakufanyia ubabe ukiwa na ulinzi wako pia). Akakamata meli ya kwanza (tena kwa kijispidiboti kikaichezea meli kwa kuizunguka zunguka kama mdoli vile). Uingereza kabla hajaacha kulalamika kuwa Iran ameanza tabia mbaya ya kukamata meli, meli yake ya pili ikakamatwa tena na Iran.

Uingereza ikasema inapatwa na uoga kuwa Iran sasa imeamua kwenda na utaratibu mpya mbaya wa kamata kamata. US pia akalalamika. Halafu Iran alivyomshenzi akasema hii ya pili tuliizuia kwa muda tu, tumeipa onyo ifuate kanuni za mazingira na tayari tumeiachia iendelee safari na safari yake (Uingereza yaani imejurumiwa na Irani!)










 
Bado tu hujapata hiyo kauli ya Marekani ya kusema itakamata meli za Iran?! Ndo kusema umeleta uzushi hapa jukwaani?.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…