Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwako wewe rais anayesikiliza kila linalosemwa na US ndio rais mzuri na mwenye akili. hata akiambiwa aruhusu ushoga akikataa basi pia anakuwa mbayaKinachofanyika Venezuela kinaonyesha wazi jinsi gani watu ni wakatili.
US inahisi inamkomoa rais wa venezuela ila yeye ataendelea kuishi kwenye mansion zake anakula bata wanaoumia na hizi sanctions ni wananchi wa kawaida. Rais wa venezuela ana vijitabia vinaendana na jiwe, Iran nao kuingilia kati hawasaidii wananchi, yote wanazidi kumsupport rais kilaza ambaye nchi imemshinda amebaki kutumia nguvu kwenye kila kitu.
Hali ya Venezuela ni mbaya mno, na asilimia kubwa imesababishwa na kichwa kimoja tu kinachojifanya kinajua kila kitu. Such a waste
Hakuna hoja zaidi ya mahaba Kama alivyotoa amri kwamahkama ya Gibralter kukamata meli ya IRAN kwakuona haipitii ukanda wake wakati wakupeleka Mafuta SYRIA ndio alivypiga mkwara kama huo kwakuona Meli za IRAN zinaelekea Kwa MADURO ila wanaume washoka wamefika mpaka VENEZULA PAPER Tiger US anahangaika TuNa atakayefanya biashara na Iran amechagua tutofanya biashara na US. Chagua moja, ufanye biashara na Iran ili uwekewe vikwazo vya kutofanya biashara na US ama usifanye biashara na Iran ili uendelee kufanya deal na US. Kila nchi iko huru kuchagua, halazimishwi mtu. Sasa story zenu meli za ilani kufika Venezuela bila kukamatwa na US mlitaka zikamatwe kwa lipi? Na lini US alisema atazikamata? Onyesheni basi tuendelee na mjadala mbona rahisi tu!.
Hata sisi TZ tunaweza kuagiza mafuta kutoka Iran lakin matokeo yake ni kupoteza kufanya deal na US.
Hapa hoja tu.
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Baada ya Kuekewa Vikwazo Na US nasikia Makampuni Makubwa Yalokua yanaendesha Uchimbaji wamafuta Na Gas Yalikua yanatokea Magharibi (US na CANADA) yakafungasha virago yakasepa hapa ndipo sekta yamafuta na gesi ya VENEZUELA ikawa mfu mafuta na gesi mnayo ila hamuwezi kuyatumia sababu hamuwezi kuyachimbaHivi Venezuela wameanza lini kuimport mafuta
ndio upeo wako wakufikiria kukoment nakuandika ndio ulipomaliza hapa MKUU inasikitisha sana Asee kama kunawatu mnamawazo yakitumwa bado kama hayaKinachofanyika Venezuela kinaonyesha wazi jinsi gani watu ni wakatili.
US inahisi inamkomoa rais wa venezuela ila yeye ataendelea kuishi kwenye mansion zake anakula bata wanaoumia na hizi sanctions ni wananchi wa kawaida. Rais wa venezuela ana vijitabia vinaendana na jiwe, Iran nao kuingilia kati hawasaidii wananchi, yote wanazidi kumsupport rais kilaza ambaye nchi imemshinda amebaki kutumia nguvu kwenye kila kitu.
Hali ya Venezuela ni mbaya mno, na asilimia kubwa imesababishwa na kichwa kimoja tu kinachojifanya kinajua kila kitu. Such a waste
Hakuna trillionyeyote iliotafunwa ni propaganda tu ya upinzani ila kwa watu wenye uelewa mdogo ndio watakaoamini Ila kwa mtu Kama Mimi unipati unazani 1.5 trillion unazani pesa ndogo hivi ,bajeti ya wizara nzima hiyoNa atakayefanya biashara na Iran amechagua tutofanya biashara na US. Chagua moja, ufanye biashara na Iran ili uwekewe vikwazo vya kutofanya biashara na US ama usifanye biashara na Iran ili uendelee kufanya deal na US. Kila nchi iko huru kuchagua, halazimishwi mtu. Sasa story zenu meli za ilani kufika Venezuela bila kukamatwa na US mlitaka zikamatwe kwa lipi? Na lini US alisema atazikamata? Onyesheni basi tuendelee na mjadala mbona rahisi tu!.
Hata sisi TZ tunaweza kuagiza mafuta kutoka Iran lakin matokeo yake ni kupoteza kufanya deal na US.
Hapa hoja tu.
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Sasa makampuni kuondoka nchini kwao ndo kuwakandamiza raia??kwani lazima makampuni ya magharibi yawepo kuwachimbia mafuta yao??kama iran ni muungwana asipeleke mafuta bali apeleke makampuni ya kuchimba mafuta..Baada ya Kuekewa Vikwazo Na US nasikia Makampuni Makubwa Yalokua yanaendesha Uchimbaji wamafuta Na Gas Yalikua yanatokea Magharibi (US na CANADA) yakafungasha virago yakasepa hapa ndipo sekta yamafuta na gesi ya VENEZUELA ikawa mfu mafuta na gesi mnayo ila hamuwezi kuyatumia sababu hamuwezi kuyachimba
Ndio wakaomba Msaada kwa WAAJEMI waajemi Kwauungwana Utu na Ubinadamu wao wakapeleka Msaada kuwasaidia RAIA wa VENEZUELA wanaoteseka Naukandamizaji wa US navibaraka wao
Sent using My COVID-19
Kuondoka kwamakampuni yao US sio ukandamizaji nihaki yao ila kutaka kuwazuia watu wengine wasifanye biashara na VENEZUELA ndio Unyama wahali yajuuSasa makampuni kuondoka nchini kwao ndo kuwakandamiza raia??kwani lazima makampuni ya magharibi yawepo kuwachimbia mafuta yao??kama iran ni muungwana asipeleke mafuta bali apeleke makampuni ya kuchimba mafuta..
Iran hafanyi msaada anafanya biashara
Dont get it twisted
Umepotea njia aseeHakuna trillionyeyote iliotafunwa ni propaganda tu ya upinzani ila kwa watu wenye uelewa mdogo ndio watakaoamini Ila kwa mtu Kama Mimi unipati unazani 1.5 trillion unazani pesa ndogo hivi ,bajeti ya wizara nzima hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Onyesha Marekani iliposema itakamata hizo meli za iran, blah! blah! hazina nafasi.Hakuna hoja zaidi ya mahaba Kama alivyotoa amri kwamahkama ya Gibralter kukamata meli ya IRAN kwakuona haipitii ukanda wake wakati wakupeleka Mafuta SYRIA ndio alivypiga mkwara kama huo kwakuona Meli za IRAN zinaelekea Kwa MADURO ila wanaume washoka wamefika mpaka VENEZULA PAPER Tiger US anahangaika Tu
Kukamata Amakuitishia Meli ya IRAN nikujitishia Mwenyewe Maana Hatishiki
Kuhusiana Kufanya Biashara Na US tayari VENEZUELA alishakataa Huo Upuuzi Baafa Yakuona Beberu Anajifanya ndio kila kitu
IRAN IRAN IRAN Kiboko Yamabeberu.
Sent using My COVID-19
Halafu ukiletewa ushahidi utakua namaneno gani juu ya US ?!Onyesha Marekani iliposema itakamata hizo meli za iran, blah! blah! hazina nafasi.
Hapa hoja tu.
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Nitajua kweli US kashindwa kuzikamata hizo meli. Na nitaunga mkono hoja ya mtoa mada.Halafu ukiletewa ushahidi utakua namaneno gani juu ya US ?!
Sent using My COVID-19
Mkumbuke b.8 na papuchi za dada zenu wanaoteseka kwa ubunge viti maalumuUmepotea njia asee
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Wameamua kujipa zawadi ya Eid kwa uzushi, [emoji38][emoji38][emoji38]. Hawa jamaa wanapenda sana faraja hewa.Dah!...huu uzi umesheheni Pro-Iran wakutosha..[emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unateseka kwani?!Mkumbuke b.8 na papuchi za dada zenu wanaoteseka kwa ubunge viti maalumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwi..kwi..kwii..Kila nchi iko huru kuchagua, halazimishwi mtu. Sasa story zenu meli za ilani kufika Venezuela bila kukamatwa na US mlitaka zikamatwe kwa lipi? Na lini US alisema atazikamata? Onyesheni basi tuendelee na mjadala mbona rahisi tu!.
Bado tu hujapata hiyo kauli ya Marekani ya kusema itakamata meli za Iran?! Ndo kusema umeleta uzushi hapa jukwaani?.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwi kwi kwi..
Kwani huo uhuru wa kila mtu kuuza au kununua bidhaa atakavyo hapo mwanzo mlikuwa hamuufahamu?
Mfano mzuru huu hapa: Uingereza ilikamata meli ya Iran iliyokuwa ikipeleka mafuta kuuza Syria kwa kudai kuwa Iran anakiuka vikwazo.
Kilichofuata Iran akamuahidi atamuadhibu (uzuri wa Iran hutoa taarifa kabla ili ujilinde na hapo hapo anakufanyia ubabe ukiwa na ulinzi wako pia). Akakamata meli ya kwanza (tena kwa kijispidiboti kikaichezea meli kwa kuizunguka zunguka kama mdoli vile). Uingereza kabla hajaacha kulalamika kuwa Iran ameanza tabia mbaya ya kukamata meli, meli yake ya pili ikakamatwa tena na Iran.
Uingereza ikasema inapatwa na uoga kuwa Iran sasa imeamua kwenda na utaratibu mpya mbaya wa kamata kamata. US pia akalalamika. Halafu Iran alivyomshenzi akasema hii ya pili tuliizuia kwa muda tu, tumeipa onyo ifuate kanuni za mazingira na tayari tumeiachia iendelee safari na safari yake (Uingereza yaani imejurumiwa na Irani!)
View attachment 1459128
View attachment 1459131
View attachment 1459132
View attachment 1459133
View attachment 1459134