Shikamoo Iran: Licha ya mikwara ya Trump juu ya Iran kusafirisha mafuta kwenda Venezuela, mzigo wa kwanza umeshafika Venezuela

Kwenye kuzama baharini unasaidiwa na yeyote, ana mafuta mengi lakin anaagiza, fikiria hapo, na pia fikiria US ameondoa vikwazo kwa Venezuela, bila shaka umepata jibu.

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Mbna unaongea kwakujitafuna kijana [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using My COVID-19
 
Fikiria Venezuela kuagiza mafuta huku akiwa na oil reserves kuliko nchi yoyote duniani, jikite kwenye mjadala.
Au unataka ujadili kwa taarab zako nami nilete hip hop zangu?! Lakin kumbuka taarab huwa haifui dafu kwa hip hop[emoji12][emoji12]

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
Fikiria Venezuela kuagiza mafuta huku akiwa na oil reserves kuliko nchi yoyote duniani, jikite kwenye mjadala.
Au unataka ujadili kwa taarab zako nami nilete hip hop zangu?! Lakin kumbuka taarab huwa haifui dafu kwa hip hop[emoji12][emoji12]

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
ss hapo juu uliongea nn MKUU ?

Maana naona ulijitafuna tafuna tuu. ?!
 
Iran wanapoahidi kitu, lazima watekeleze. Sio kama Marekani na mikwara yake.

Yaani ikitokea hitajio la kubeti kati ya pande mbili US na Iran, pesa yangu nitaitia kwa Iran...hawawezi kuniangusha...lazima niondoke na ushindi.
wale si wana asili ya uarabu flani!
Warabu=Jihadi ✅✅✅
 
Kuna mtu ilikuwa apewe kichapo cha mbwa koko...sema tu aliusoma mchezo akatia mpira kwapani.
SmartSelect_20200527-040723_Chrome.jpg
 
Irudie tena zaidi yamara moja halaf uuone usahihi wake.....
Kwenye kuzama baharini unasaidiwa na yeyote, ana mafuta mengi lakin anaagiza, fikiria hapo, na pia fikiria US ameondoa vikwazo kwa Venezuela, bila shaka umepata jibu

Kwenye kuzama baharini unasaidiwa na yeyote= mtu anapokuwa kwenye shida (mfano anazama maji, au katikati ya Moto) hukubali kusaidiwa na yeyote anakayemrushia mkono wa msaada.

Ana mafuta mengi lakin anaagiza, fikiria hapo= Akiba ya mafuta anayo nyingi sana lakini anaagiza kutoka Asia, nilikuambia ufikiri lakin umeshindwa aya ngoja nikusaidie kufikiri, anaagiza kwa sababu ya shida tu ya vikwazo vya US, vikwazo vikiwa suspended hata leo haagizi tena.

Na pia fikiria US ameondoa vikwazo kwa Venezuela= maisha venezuela bila vikwazo vya US, Sasa hapa na wewe tumia akili yako buana, usitegemee sana kutafuniwa afu wewe umeze tu.

Ukizama baharini unasaidiwa nayeyote hata US ikibidi ila VENEZUELA kaamua kusaidiwa na IRAN sababu US ndio alosababisha madhila wanayoyapitia kwasasa yaani jambo alolifanya IRAN lina maana kubwa sana katika uga wasisa zakimataifa sidhanii kama unaelewa hili

Mafuta anayoyaagiza kutoka nje kwasasa hajaagiza kwamakusudi ila baada yakufanyiwa hujma zawatu ambao wanataka jamaa awe kibaraka wao naakagoma hataki kua kibaraka wawapuuzi

Kwasasa wala usitegemee kuviondoa vikwazo vyake kwa VENEZUELA sababu kuna jambo lake ambalo analitaka hata vikwazo vyamafuta aliviweka kwamalengo maana yake kama sio msaada wa IRAN lazima hali ambayo ilikuepo VENEZUELA ingepelekea Regime Change sababu raia wangeona bora kumtumikia shetani US kuliko kubakia namisimamo yao thabit

IRAN kaidhihirishia dunia yakwamba anaweza kufanya mambo ambayo watu ama mataifa yakawaida hayawezi kuyafanya IRAN limeshakua taifa ambalo linaweza kuamua kufanya jambo nalikafanya licha yavitisho na kelele za umbwa koko kama US navibaraka wake IRAN ametoa somo kubwa sana kwamataifa yanayodhalilishwa nakupelekeshwa nawamagharibi hasa US kwakukiuka vikwazo aloekewa na US nawashirika wake IRAN anaenda Kujiimarisha kiuchumi Kwadhahabu atakazopewa pale CARACAS .....

Waajemi wameamua kuongea lugha ambayo wanasema hupendi kuisikia ila huna namna lazma uisikilize tu ama uisikie hatakama utaziba maskio.

AJEMI[emoji123][emoji621][emoji91]
 
Point yako ni Venezuela anasaidiwa na iran sababu ya shida ya vikwazo, bila vikwazo isingekuwa hivyo, na point yangu ni hiyo hiyo, Point kuu fikiria Venezuela bila vikwazo vya US, majibu yote utapata hapo. Check Colombia, Brazil, Chile, Argentina, Costa Rica, nk utapata majibu zaidi.
 
MKUU sio point yangu tu hata point ya mleta madaa ilikua ndio hio hio yakwamba IRAN anamsaidia VENEZUELA sababu yakusaidiwa VENEZUELA ipo wazi mbona

Haipendezi ila inatakiwa uelewe kwamaisha yadunia jinsi ilivyo na inavyoenda watu wanayatumia matatizo yako kama fursa kuna watu wanaomba upate Coronya-19(MUNGU AKUEPUSHIE) ili wapate kupiga pesa kwanamna moja ama mbili

Ndio ilotokea kwa VENEZUELA.....
 
Huu uzi una mengi ya kuvutia, ikiwa ni pamoja na namna watu wanaamini paka anaweza kumshinda Tiger.
We endelea kuishi kwa kukariri. Uzuri wa bahati wewe si threat kwa Iran.

Hata Uingereza ilikuwa ikiishi kwa kukariri, ikajitia kukamata meli ya paka kwa kuhisi yenyewe ni Tiger kilichoipata hatokuja kukisahau maishani.

Marekani ilikuwa akiishi kwa kukariri, ikajitia kumuua kamanda wa Paka ugenini kwa kuhisi yenyewe ni Tiger. Paka akatoa onyo kuwa atamuadhibu Tiger, Tiger akajibu vitisho kuwa ataharibu kila kona ya nchi ya Paka....Loo salalee kilichompata Tiger hadi kesho kutwa hatojaribu kuishi kwa kukariri tena.
 
MKUU sio point yangu tu hata point ya mleta madaa ilikua ndio hio hio yakwamba IRAN anamsaidia VENEZUELA sababu yakusaidiwa VENEZUELA ipo wazi mbona

Haipendezi ila inatakiwa uelewe kwamaisha yadunia jinsi ilivyo na inavyoenda watu wanayatumia matatizo yako kama fursa kuna watu wanaomba upate Coronya-19(MUNGU AKUEPUSHIE) ili wapate kupiga pesa kwanamna moja ama mbili

Ndio ilotokea kwa VENEZUELA.....
Point ya mtoa mada ni kusherehekea mafanikio ya Iran kufikisha meli Venezuela bila kukamatwa. Na hadi sasa hajasema nani alisema atazikamata.
 
Ulitaka uambiwe marangapi ?!

Yah sababu IRAN anavikwazo ambavyo havimruhusu kuuza mafuta yake kwanjia yoyote ile lakini hakujali hilo akasema ntatoa mafuta na ntapeleka CARACAS nayatapita Mitachache kabisa tokea DC nakweli alifanya kama alivyo ahidi bila kutisha licha yavitisho vyote alivyopewa navikwazo vinavyomuandama

IRAN kaongea lugha ambayo kila kiumbe dhaifu na ambalo sio dhaifu(TAIFA) lime elewa

Geopolitics IRAN kapiga bongemoja lagoal tena lakubebea ndoo

US(TURAMPET)alisema yakwamba atahakikisha uuzwaji wamafuta ya IRAN nje ya IRAN unafikia 0 yaani hawezi kuuza hata katika kizibo hatimae anakula matapishi yake

IRAN[emoji91][emoji91][emoji91][emoji123][emoji123][emoji123][emoji621][emoji621][emoji621]
 
Hicho ulichoandika maana yake ndo Trump kukamata meli za Iran?! Kilichopo ni kufanya biashara na Iran ni kukataa kufanya biashara na Marekani muwe mnaelewa basi! Ebo!. Msilazimishe vitu visivyokuwepo ili tu kufurahisha nyoyo zenu. Ingekuwa Trump katangaza kuzikama au kafanya jaribio la kuzikamata afu akazishindwa hapo tungeongea lugha moja kwa Trump kachemka kukamata hizo meli. Hata Canada leo akiagiza mafuta kutoka Iran hazitakatwa meli bali italeta tu mgogoro katika biashara zake na Marekani na ndo kitu ambacho nchi nyingi hazitaki kitokee, make wanayaona yanayowakumba Venezuela, Yeye Venezuela kafanya kwa kuwa hana Cha kupoteza make tayari anahemea kwenye vikwazo.
 
Back
Top Bottom