Kwenye kuzama baharini unasaidiwa na yeyote, ana mafuta mengi lakin anaagiza, fikiria hapo, na pia fikiria US ameondoa vikwazo kwa Venezuela, bila shaka umepata jibu
Kwenye kuzama baharini unasaidiwa na yeyote= mtu anapokuwa kwenye shida (mfano anazama maji, au katikati ya Moto) hukubali kusaidiwa na yeyote anakayemrushia mkono wa msaada.
Ana mafuta mengi lakin anaagiza, fikiria hapo= Akiba ya mafuta anayo nyingi sana lakini anaagiza kutoka Asia, nilikuambia ufikiri lakin umeshindwa aya ngoja nikusaidie kufikiri, anaagiza kwa sababu ya shida tu ya vikwazo vya US, vikwazo vikiwa suspended hata leo haagizi tena.
Na pia fikiria US ameondoa vikwazo kwa Venezuela= maisha venezuela bila vikwazo vya US, Sasa hapa na wewe tumia akili yako buana, usitegemee sana kutafuniwa afu wewe umeze tu.
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM