Shikamoo "Muajemi"; Umeguswa, Umenuka!

Umemsikiliza waziri wa Vita wa Israel?
 
Israel saivi kapata saizi yake... Iran wapo vizuri tofauti na Hamas au Hezbollah...Ndo mana Marekani wamemshauri atulie kwanza isije ikawa noma hapo Mashariki ya Kati...Ila nae Israel hataki kuonekana dhaifu sababu ana maadui wengi hapo Mash ya Kati...pia kumbuka Israel imeshauwa waarabu wengi tu na waarabu si watu wa kusahau, wanamlia timing tu
 
Ila kwa kweli Irani jana kaonesha kitu amaizing, hajaomba kutumia nchi za jirani kufanya kazi yake, hizo nchi zilishuhudia tu anga inapitishwa silaha kuelekea nchi nyingine. Package ya kitu 300 sio mchezo
utafananisha mtu anaye jitegemea na mtu abaye anasaidiwa.

Israel hana ubavu wa kupigana na Iran hata siku moja.
 
Amepigwa wapi wewe? Apigwe halafu ligi ya soka ya Israel iendelee leo kama kawaida?

Wakijibu usije kulia lia hapa. Iran mwenyewe kashasema hatashambulia tena labda achokozwe. Wanasema hivyo kwa kuwa wanajua shambulizi walilolifanya limezimwa kirahisi sana, na kwamba wamefeli.

Israel wanaendelea maisha kana kwamba hakuna kilichotokea.
 
Radio Magomeni Mwembechai
 
Israel kapigika hasaa na wayahudi wengi sana wamekufa na bado wairan wanaendelea na mazoez makali ya kuifuta israel kama picha inavyojieleza

 
Iran haijafeli acha uzwazwa.
Iran target yake ilikua ni millitary/airbase za Israel,viwanja ni sehemu ya raia na sio sehemu za kijeshi.
Yani kisa kambi ya gongo la mboto ishambuliwe ndio ligi ya NBC uwanja wa taifa na Chamazi isimame??
Mbona poor reasoning hii!?
Lengo la Iran limefanikiwa na kama sio Jordan,USA kudunguwa zile drone Israel ilikua inapata damage kubwa sana.
Iran imeonesha kuwa ina uwezo wa kuishambulia Israel kutoka kwake Tehran.
Na ndio maana kalenga millitary base ya Israel.
Teyari amesha impose threat kwa Israel,na silaha alizotumia zote za ujazo wa kati na masafa ya kati.
Sasa jiulize angetumia masafa marefu tena guided missiles hivi ingekuaje!?
 
Iran kafeli vibaya sana.

Yaani urushe mamia ya makombora na yasifike kwenye kwenye target halafu useme hajafeli? Iran ina jeshi kama la Mfalme Huihui wa nchi ya Wagagagigikoko siyo? That's total failure.

Kingine, nchi kuvamiwa na bado ikaendelea na ligi hiyo ni kumdharau aliyerusha kombola. Sudan tu hapo ligi imesimamishwa itakuwa hiyo ya kurushiwa makombora zaidi ya 200? Wewe ndo una the poorest reasoning kabisa.
 
Jordan atakuja kua wa kwanza kutiwa kijiti aki endeleza u pimbi
Hayupo wa kumfanya lolote. Amekuwa anawasnitch mara kadhaa na hukuna nchi kwenye Arab League aliyewahi kuizingua.

Misri yenyewe ni snitch, mmeshaifanya nini? Bado Saudia (japo iko mbali) nalo ni lisnitch la kutupwa, mlishalifanya nini? Na ndo kitovu cha dini ya Allah kilipo.
 
Ila kwa kweli Irani jana kaonesha kitu amaizing, hajaomba kutumia nchi za jirani kufanya kazi yake, hizo nchi zilishuhudia tu anga inapitishwa silaha kuelekea nchi nyingine. Package ya kitu 300 sio mchezo
lakini msimpatie kichwa Iran wanamvutia pumuzi angalia iraq ailivyofanywa. yetu macho.
 
UNaonesha kuwa fala tena fala haswa.
Sudan kuna civil war kila eneo kinanuka miji inabomoka risasi zinapigwa mtaani.
Unataka ligi zisisimame!??
Unajionesha kuwa fala.
Iran amelenga Negev tuuuu eneo la airbase hakulenga maeneo ya raia,narudia tena hakulenga maeneo ya raia.
Sudani risasi zinapigwa mitaani maeneo ya raia na risasi zingine zikiwapata raia na kuwaua.
Je uwanja wa mpira ni eneo la jeshi!?
Narudia mfano wangu,Kambi ya Lugalo Kawe ikishambuliwa je ndio ligi ya NBC isimame huko Benjamin Mkapa stadium!?
Iran haijafeli kwasababu imesha impose threat kwa Israel.
Na Israel imekiri na kushukuru kuwa msaada wa Jordan na USA umewaokoa laa sivyo damage ingekua kubwa na yapo makombora yaliyopenya.
KAMA HUWEZI KUTAFAKARI KAA KIMYA KILAZA WEWE.
 
Saudi Arabia anaelewa alichofanywa na Houthi.
Na alionywa kama Jordan ilivyoonywa akaleta ukaidi,Houthi wakawa wanashambulia oil plant zake kila siku na kumtia hasara.
Jordan ajiangalie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…