Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani, Maafisa wa Jeshi la Iran ndo wana misambwanda mikubwa kama ya Bashite? 😅😂🤣View attachment 2963901
Bado iran wanaendelea na mazoezi israel atakiona
Umemsikiliza waziri wa Vita wa Israel?Iran imeandika historia mpya Ulimwenguni kwa kufanya shambulizi la kipekee ambalo halijawahi kushuhudiwa toka dunia iumbwe...
Shambulizi lile litaendelea kutumika ktk mafunzo ya vyuo vya kijeshi vya nchi za Ulimwengu wa kwanza.
Kwa hakika safari hii Iran imetoa salamu za kipekee si kwa Israel tu bali kwa Marekani, Uingereza, Ufaransa na vifaranga vyao vyotee....
Salamu hizo zimezifika vema nchi zote za mashariki ya kati ambazo kamwe hakuna atakaejaribu kufanya ujinga wowote (kutoa anga au ardhi kwa adui) wa kuomba kupelekewa bando la moto wa droni na makombora 300 kwa mpigo.
Pamoja na mkwara mzito wa Biden kuwa Iran akiishambulia Israel, Biden nae atajibu mashambulizi...lakini wanaume wametimiza ahadi ya kushambulia tena shambulio la kihistoria ambalo halijawahi shuhudiwa popote kwenye Ulimwengu huu. Biden kausoma mchezo, kamkanya kijana wake BN kuwa asijibu chochote, kama haikutosha nae Biden katia mpira kwapani!
Btw: Usitegemee kusikia tena Israel karusha jiwe kwenye ardhi (ubalozi) ya Muajemi...hata kwa bahati mbaya
utafananisha mtu anaye jitegemea na mtu abaye anasaidiwa.Ila kwa kweli Irani jana kaonesha kitu amaizing, hajaomba kutumia nchi za jirani kufanya kazi yake, hizo nchi zilishuhudia tu anga inapitishwa silaha kuelekea nchi nyingine. Package ya kitu 300 sio mchezo
Amepigwa wapi wewe? Apigwe halafu ligi ya soka ya Israel iendelee leo kama kawaida?Israel alikuwa anajitapa sana kuwa Iran si chochote na yeye ndio supepawa hapo Middle East akitamba Iran ajaribu aone. Iran kafanya kweli mbona sasa wameufyata?
Sasa hivi Israel inasema oooh hizo drone hazijafanya uharibifu na blaa blaa nyingi.
Cha muhimu kupigwa kapigwa. Kama yeye mwanamke kweli aingie vitani sasa na Iran si alikuwa anaitafuta hiyo opportunities? Mbona keshaipata halafu anapotezea
Alizoea kuwaonea Hamas aende Tehran sasa tuone..
Aibu iliyoje nchi kamili inaombaomba misaada kwa wazungu asaidiwe kila kitu. Na bado kasaidiwa na bado kapigwa dadeki
utafananisha mtu anaye jitegemea na mtu abaye anasaidiwa.
Israel hana ubavu wa kupigana na Iran hata siku moja.
Kiongozi, umejiuliza matokeo yake kama zote 300 zingefanikiwa kuhit target..??Hizo drones zimepotea bure tu
Radio Magomeni MwembechaiIran imeandika historia mpya Ulimwenguni kwa kufanya shambulizi la kipekee ambalo halijawahi kushuhudiwa toka dunia iumbwe...
Shambulizi lile litaendelea kutumika ktk mafunzo ya vyuo vya kijeshi vya nchi za Ulimwengu wa kwanza.
Kwa hakika safari hii Iran imetoa salamu za kipekee si kwa Israel tu bali kwa Marekani, Uingereza, Ufaransa na vifaranga vyao vyotee....
Salamu hizo zimezifika vema nchi zote za mashariki ya kati ambazo kamwe hakuna atakaejaribu kufanya ujinga wowote (kutoa anga au ardhi kwa adui) wa kuomba kupelekewa bando la moto wa droni na makombora 300 kwa mpigo.
Pamoja na mkwara mzito wa Biden kuwa Iran akiishambulia Israel, Biden nae atajibu mashambulizi...lakini wanaume wametimiza ahadi ya kushambulia tena shambulio la kihistoria ambalo halijawahi shuhudiwa popote kwenye Ulimwengu huu. Biden kausoma mchezo, kamkanya kijana wake BN kuwa asijibu chochote, kama haikutosha nae Biden katia mpira kwapani!
Btw: Usitegemee kusikia tena Israel karusha jiwe kwenye ardhi (ubalozi) ya Muajemi...hata kwa bahati mbaya
Israel kapigika hasaa na wayahudi wengi sana wamekufa na bado wairan wanaendelea na mazoez makali ya kuifuta israel kama picha inavyojielezaIsrael alikuwa anajitapa sana kuwa Iran si chochote na yeye ndio supepawa hapo Middle East akitamba Iran ajaribu aone. Iran kafanya kweli mbona sasa wameufyata?
Sasa hivi Israel inasema oooh hizo drone hazijafanya uharibifu na blaa blaa nyingi.
Cha muhimu kupigwa kapigwa. Kama yeye mwanamke kweli aingie vitani sasa na Iran si alikuwa anaitafuta hiyo opportunities? Mbona keshaipata halafu anapotezea
Alizoea kuwaonea Hamas aende Tehran sasa tuone..
Aibu iliyoje nchi kamili inaombaomba misaada kwa wazungu asaidiwe kila kitu. Na bado kasaidiwa na bado kapigwa dadeki
Iran haijafeli acha uzwazwa.Amepigwa wapi wewe? Apigwe halafu ligi ya soka ya Israel iendelee leo kama kawaida?
Wakijibu usije kulia lia hapa. Iran mwenyewe kashasema hatashambulia tena labda achokozwe. Wanasema hivyo kwa kuwa wanajua shambulizi walilolifanya limezimwa kirahisi sana, na kwamba wamefeli.
Israel wanaendelea maisha kana kwamba hakuna kilichotokea.
Ofisa wa Jeshi mwenye cheo cha juu wa Iran akicheza kigodoro! Na hivi ana msambwanda kama wa RC wa mikoa fulani. 😆🤣 Hili jeshi lina vituko.Israel kapigika hasaa na wayahudi wengi sana wamekufa na bado wairan wanaendelea na mazoez makali ya kuifuta israel kama picha inavyojieleza
View attachment 2963934View attachment 2963934View attachment 2963934
Iran kafeli vibaya sana.Iran haijafeli acha uzwazwa.
Iran target yake ilikua ni millitary/airbase za Israel,viwanja ni sehemu ya raia na sio sehemu za kijeshi.
Yani kisa kambi ya gongo la mboto ishambuliwe ndio ligi ya NBC uwanja wa taifa na Chamazi isimame??
Mbona poor reasoning hii!?
Lengo la Iran limefanikiwa na kama sio Jordan,USA kudunguwa zile drone Israel ilikua inapata damage kubwa sana.
Iran imeonesha kuwa ina uwezo wa kuishambulia Israel kutoka kwake Tehran.
Na ndio maana kalenga millitary base ya Israel.
Teyari amesha impose threat kwa Israel,na silaha alizotumia zote za ujazo wa kati na masafa ya kati.
Sasa jiulize angetumia masafa marefu tena guided missiles hivi ingekuaje!?
Saddam hakuwa na kinu Cha nyuklia,acha uwongoMbona hata Saddamu hussen alifanya mashambulizi kama haya alirusha scud za kutosha hata hazikumuua inzi ndani israel baada ya israel kushambulia kinu cha nuklia cha saddamu hussen
Hayupo wa kumfanya lolote. Amekuwa anawasnitch mara kadhaa na hukuna nchi kwenye Arab League aliyewahi kuizingua.Jordan atakuja kua wa kwanza kutiwa kijiti aki endeleza u pimbi
lakini msimpatie kichwa Iran wanamvutia pumuzi angalia iraq ailivyofanywa. yetu macho.Ila kwa kweli Irani jana kaonesha kitu amaizing, hajaomba kutumia nchi za jirani kufanya kazi yake, hizo nchi zilishuhudia tu anga inapitishwa silaha kuelekea nchi nyingine. Package ya kitu 300 sio mchezo
UNaonesha kuwa fala tena fala haswa.Iran kafeli vibaya sana.
Yaani urushe mamia ya makombora na yasifike kwenye kwenye target halafu useme hajafeli? Iran ina jeshi kama la Mfalme Huihui wa nchi ya Wagagagigikoko siyo? That's total failure.
Kingine, nchi kuvamiwa na bado ikaendelea na ligi hiyo ni kumdharau aliyerusha kombola. Sudan tu hapo ligi imesimamishwa itakuwa hiyo ya kurushiwa makombora zaidi ya 200? Wewe ndo una the poorest reasoning kabisa.
Saudi Arabia anaelewa alichofanywa na Houthi.Hayupo wa kumfanya lolote. Amekuwa anawasnitch mara kadhaa na hukuna nchi kwenye Arab League aliyewahi kuizingua.
Misri yenyewe ni snitch, mmeshaifanya nini? Bado Saudia (japo iko mbali) nalo ni lisnitch la kutupwa, mlishalifanya nini? Na ndo kitovu cha dini ya Allah kilipo.