Shikamoo "Muajemi"; Umeguswa, Umenuka!

Shikamoo "Muajemi"; Umeguswa, Umenuka!

Wameondoka kwenda wapi? 😄😄😄..

Wewe hujui Palestine ni Israel na Israel ni Palestine.?

Kifupi Palestine ni mchungwa wa uani wake Israel, muda wowote chungwa linapodondoka anaokota au anaacha.😄😄😄😄
Hahaha mfupa mgumu ule miezi 6 na mbwembwe zimeisha alaf ndio akutane na iran bado sana
 
Hahaha mfupa mgumu ule miezi 6 na mbwembwe zimeisha alaf ndio akutane na iran bado sana
Vita haipo kama mipasho kwamba ukibishiwa na wewe unabisha.....ila uzuri ata wewe unafahamu wakina nani wanalia kunaposikika puuuuh.....

Kama vipi Iran nao waue jeneral wa kiisrael la sivyo hadi sasa ni (Tatu bila).
 
Vita haipo kama mipasho kwamba ukibishiwa na wewe unabisha.....ila uzuri ata wewe unafahamu wakina nani wanalia kunaposikika puuuuh.....

Kama vipi Iran nao waue jeneral wa kiisrael la sivyo hadi sasa ni (Tatu bila).
Umekua jeneral wa iran unawapangia pa kupiga na vya kupiga hongera kijana
 
Umekua jeneral wa iran unawapangia pa kupiga na vya kupiga hongera kijana
Kazi yangu ni kukaa nyuma ya keyboard na kuhesabu Israel katoa roho za wairan wangapi na Iran karusha makombora hewa mangapi kwenda Israel. 😄😄😄😄
 
wayahudi walikua na masaa zaidi ya 6 ya tabu sanaa kuwakuta tangu wavamie palestina mwaka 1948. Unakaa kwenye TV unaoneshwa Live mizinga ipo njiani kutoka Iran unaambiwa inakuja kukuangukia unadhani utakua na amani? Juzi na jana nimeona maelfu ya walowezi wa kiyahudi wakikata ticket Airport kurudi huko walipotoka.
 
Acheni uongo bhana hapo wanajipa moyo tu. Kama isingekuwa hao US UK na France na Jordan kusaidia kutungua hizo drones unafikiri wangekuwa wapi.

Huyo Netanyahu mwenyewe aliingia shimoni katoka mchana
Drones ni danganya toto, drones zimesaidia ku confuse mifumo ya kiulinzi, lengo kuu ni kupiga kambi ya IDF na wamefanikiwa.
 
Israel inasema hasara iliyotumika ni kubwa ku intercept ayo makombora ya Ilani...

Hasara iliyopatikana

Iran = $60 Mil
Israel = $ 1.0 Bil
Apo wanasema hawajaweka cost za washira wake US,UK,France na Jordan....
Google uone in intercoptor moja ya Arrow 2&3 ina cost sh ngap??
Ndo maana US hataki hujinga maana anajua Israel hana uwezo wa kuzuia makombora ya Iran na American taxpayers ndo watakao umia... Iran mjanja sana hizi kamikaze zake (drone) ni very cheap $120,000 lakin kombora la kuzuia hizi linaenda mara kumi na zaidi itategemea wapi wametengeneza...So hivi vitakataka anavitumie ili vikuchoshe utumie interceptor missile zako umalize stock yako alafu nyuma anatuma madude cruise missile,Ballistic and hypersonic.....Russia walianza kuishiwa makombora wakawapigia goti wa Iran vikatumwa ivi vidubwasha easy to construct vya Iran ni long range yan kanatoka Dar mpaka Kampala usipokatungua kanakugonga ukikatungua kanakumalizoa makombola yako jiulize kwann Ukraine alipiga kelele sana baada ya Iran kuanza kuwapa Urusi ivi wakati yeye Ukraine alikua anazo Byaktar za Turkye??? Kwann US na EU waliweka vikwazo kwa Iran baada ya kumpa Mrusi ivi vitoi wakati US na wahairika wake waliwapa Ukraine airdefence zakutungua ndege na missile kwann wapigw kelele....Leo Russia akituma mzigo Ukraine anatanguliza Shaheed kamikaze drone za Iran km 40 ivi alafu yanakuja Iskender utasikia Zelensky kua tumetungua Drone za Iran 38 kati ya 40 mbili zimefikia lengo vipi kuhusu Cruise missile na iskander ballistic missile???
Mlilenga watu wasife viumie vifaa na silaha?
 
Huyu Jamaa kamaliza kila kitu
Screenshot_20240415_225909_X.jpg
Screenshot_20240415_225902_X.jpg
 
Back
Top Bottom