5523
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,275
- 2,410
Kamanda wa Iran amesema waziwazi kwamba Iran haikulenga kuu watu kama wanavyofanya Israel kuua raia wasio na hatia, lengo lao ilikuwa ni kushambulia base ya IDF kambi iliyotumika kushambulia Damascus consulate building kule Syria, na kasema wamefanikiwa asilima 100%, ndio mana Israel ina hofu kwamba Iran aliikusudia ile base yao na kaenda kugonga pale pale.Yaani kashindwa ata kuua panya wa Israel 😄😄😄
wewe huna ujualo, wenzako jana vikao vyao hawakupata suluhusho warudishe mashambulizi Iran au watulie kwanza, nchecheipi nchecheipi, Biden kachomoa anasema hatakuwa kwenye operation ya kulipiza kisasi baina Israel na Iran