Pata taarifa sahihi, shambulizi hilo halijatekelelezwa na Iran peke yake, idadi ya hizo silaha zimechangiwa pia na washirika wake anaowafadhili kama Syria, Yemen na (Iraq?)Ila kwa kweli Irani jana kaonesha kitu amaizing, hajaomba kutumia nchi za jirani kufanya kazi yake, hizo nchi zilishuhudia tu anga inapitishwa silaha kuelekea nchi nyingine. Package ya kitu 300 sio mchezo
Halafu hii siyo mara ya kwanza kwa Israel kushambuliwa na Dola huru katika ardhi yake, Mwaka 1991 alipigwa kama hivi na Iraq lkn Israel haikujibu
Kuhusu urushaji wa hayo makombora, ni kawaida TU kwa sababu umbali kati ya Iran na Israel ni maili 620 sawa na umbali kati ya Tunduma na Dar