Driver proffesional
JF-Expert Member
- Feb 18, 2022
- 372
- 1,042
Mmesahau juzi mlisema iran hawezi rusha hata jiwe moja leo mnahaha na maneno mapya yafuteni kwanza yaleYetu macho na bundle maana yajayo ni lawama kwa u.s.a na IDF dhidi ya waarabu
Hahaha mfupa mgumu ule miezi 6 na mbwembwe zimeisha alaf ndio akutane na iran bado sanaWameondoka kwenda wapi? πππ..
Wewe hujui Palestine ni Israel na Israel ni Palestine.?
Kifupi Palestine ni mchungwa wa uani wake Israel, muda wowote chungwa linapodondoka anaokota au anaacha.ππππ
Vita haipo kama mipasho kwamba ukibishiwa na wewe unabisha.....ila uzuri ata wewe unafahamu wakina nani wanalia kunaposikika puuuuh.....Hahaha mfupa mgumu ule miezi 6 na mbwembwe zimeisha alaf ndio akutane na iran bado sana
Umekua jeneral wa iran unawapangia pa kupiga na vya kupiga hongera kijanaVita haipo kama mipasho kwamba ukibishiwa na wewe unabisha.....ila uzuri ata wewe unafahamu wakina nani wanalia kunaposikika puuuuh.....
Kama vipi Iran nao waue jeneral wa kiisrael la sivyo hadi sasa ni (Tatu bila).
Kazi yangu ni kukaa nyuma ya keyboard na kuhesabu Israel katoa roho za wairan wangapi na Iran karusha makombora hewa mangapi kwenda Israel. ππππUmekua jeneral wa iran unawapangia pa kupiga na vya kupiga hongera kijana
Mda wowote ndugu yanguππKaribu Itewe mkuu
Drones ni danganya toto, drones zimesaidia ku confuse mifumo ya kiulinzi, lengo kuu ni kupiga kambi ya IDF na wamefanikiwa.Acheni uongo bhana hapo wanajipa moyo tu. Kama isingekuwa hao US UK na France na Jordan kusaidia kutungua hizo drones unafikiri wangekuwa wapi.
Huyo Netanyahu mwenyewe aliingia shimoni katoka mchana
Mlilenga watu wasife viumie vifaa na silaha?Israel inasema hasara iliyotumika ni kubwa ku intercept ayo makombora ya Ilani...
Hasara iliyopatikana
Iran = $60 Mil
Israel = $ 1.0 Bil
Apo wanasema hawajaweka cost za washira wake US,UK,France na Jordan....
Google uone in intercoptor moja ya Arrow 2&3 ina cost sh ngap??
Ndo maana US hataki hujinga maana anajua Israel hana uwezo wa kuzuia makombora ya Iran na American taxpayers ndo watakao umia... Iran mjanja sana hizi kamikaze zake (drone) ni very cheap $120,000 lakin kombora la kuzuia hizi linaenda mara kumi na zaidi itategemea wapi wametengeneza...So hivi vitakataka anavitumie ili vikuchoshe utumie interceptor missile zako umalize stock yako alafu nyuma anatuma madude cruise missile,Ballistic and hypersonic.....Russia walianza kuishiwa makombora wakawapigia goti wa Iran vikatumwa ivi vidubwasha easy to construct vya Iran ni long range yan kanatoka Dar mpaka Kampala usipokatungua kanakugonga ukikatungua kanakumalizoa makombola yako jiulize kwann Ukraine alipiga kelele sana baada ya Iran kuanza kuwapa Urusi ivi wakati yeye Ukraine alikua anazo Byaktar za Turkye??? Kwann US na EU waliweka vikwazo kwa Iran baada ya kumpa Mrusi ivi vitoi wakati US na wahairika wake waliwapa Ukraine airdefence zakutungua ndege na missile kwann wapigw kelele....Leo Russia akituma mzigo Ukraine anatanguliza Shaheed kamikaze drone za Iran km 40 ivi alafu yanakuja Iskender utasikia Zelensky kua tumetungua Drone za Iran 38 kati ya 40 mbili zimefikia lengo vipi kuhusu Cruise missile na iskander ballistic missile???