Shikamoo "Muajemi"; Umeguswa, Umenuka!

Shikamoo "Muajemi"; Umeguswa, Umenuka!

Kusema kweli shambulizi hili litakuwa ni moja ya module kwenye course za kijeshi za nchi nyingi tu, na emphasis ya Wakufunzi hao wa kijeshi itakuwa "Ni failure ya hali ya juu kurusha missiles takribani 300 kwa adui yako na zote zikasambaratishwa angani kabla hazijafikia targets, ni ujinga wa hali ya juu, na ni jambo la kuonea aibu badala ya kujisifu".
Ujinga wangeacha,, hio kitu ya kutunguliwa mbona ilijulikana mapema tu , sidhani kama jamaa walihofia hizo drone kutunguliwa , jamaa walitaka tu kupeleka mesej kua tunaweza maana siku zote Iran amekua anatumia proxies hajawahi kushambulia Israel tokea nchini kwake,,,hio ni ishara kwamba kama mnaweza mje tu
 
Screenshot_20240414_220457_AiScore.jpg

Nchi iliyopigwa makombora jana,leo league mbali mbali zinaendelea,tena viwanja vya mji uliovamiwa😅😅
 
Iran imeandika historia mpya Ulimwenguni kwa kufanya shambulizi la kipekee ambalo halijawahi kushuhudiwa toka dunia iumbwe...

Shambulizi lile litaendelea kutumika ktk mafunzo ya vyuo vya kijeshi vya nchi za Ulimwengu wa kwanza.

Kwa hakika safari hii Iran imetoa salamu za kipekee si kwa Israel tu bali kwa Marekani, Uingereza, Ufaransa na vifaranga vyao vyotee....

Salamu hizo zimezifika vema nchi zote za mashariki ya kati ambazo kamwe hakuna atakaejaribu kufanya ujinga wowote (kutoa anga au ardhi kwa adui) wa kuomba kupelekewa bando la moto wa droni na makombora 300 kwa mpigo.

Pamoja na mkwara mzito wa Biden kuwa Iran akiishambulia Israel, Biden nae atajibu mashambulizi...lakini wanaume wametimiza ahadi ya kushambulia tena shambulio la kihistoria ambalo halijawahi shuhudiwa popote kwenye Ulimwengu huu. Biden kausoma mchezo, kamkanya kijana wake BN kuwa asijibu chochote, kama haikutosha nae Biden katia mpira kwapani!

Btw: Usitegemee kusikia tena Israel karusha jiwe kwenye ardhi (ubalozi) ya Muajemi...hata kwa bahati mbaya
Yaan netanyau kile kichwa ni kibovu utashangaa alkhamenei kauwawa
 
.

Ningekuwa mimi ni Waziri mkuu wa Israel, huu ulikuwa ni wakati sahihi wa kurusha kombora juu ya jengo la Al Aqsa na kusingizia Makombora ya 🇮🇷 🇮🇷 yameliharimbu jengo hilo.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-04-14-22-19-36-079_com.facebook.katana.jpg
    Screenshot_2024-04-14-22-19-36-079_com.facebook.katana.jpg
    525.9 KB · Views: 5
Ila kwa kweli Irani jana kaonesha kitu amaizing, hajaomba kutumia nchi za jirani kufanya kazi yake, hizo nchi zilishuhudia tu anga inapitishwa silaha kuelekea nchi nyingine. Package ya kitu 300 sio mchezo
Yaan jambo limetoka moja kwa moja kwake mpaka limefika zile maneno walikuwa wanasema kombora linasafiri masafa marefu sasa tumejionea rasmi
 
Iran imeandika historia mpya Ulimwenguni kwa kufanya shambulizi la kipekee ambalo halijawahi kushuhudiwa toka dunia iumbwe...

Shambulizi lile litaendelea kutumika ktk mafunzo ya vyuo vya kijeshi vya nchi za Ulimwengu wa kwanza.

Kwa hakika safari hii Iran imetoa salamu za kipekee si kwa Israel tu bali kwa Marekani, Uingereza, Ufaransa na vifaranga vyao vyotee....

Salamu hizo zimezifika vema nchi zote za mashariki ya kati ambazo kamwe hakuna atakaejaribu kufanya ujinga wowote (kutoa anga au ardhi kwa adui) wa kuomba kupelekewa bando la moto wa droni na makombora 300 kwa mpigo.

Pamoja na mkwara mzito wa Biden kuwa Iran akiishambulia Israel, Biden nae atajibu mashambulizi...lakini wanaume wametimiza ahadi ya kushambulia tena shambulio la kihistoria ambalo halijawahi shuhudiwa popote kwenye Ulimwengu huu. Biden kausoma mchezo, kamkanya kijana wake BN kuwa asijibu chochote, kama haikutosha nae Biden katia mpira kwapani!

Btw: Usitegemee kusikia tena Israel karusha jiwe kwenye ardhi (ubalozi) ya Muajemi...hata kwa bahati mbaya
The man him self Sikirimimimasikini. Hizi ndio mambo zako.

Kule SMO Umepotea sana. Kazj inaendelea na zelenskyy analia kama mbwa koko.
 
Iran imeandika historia mpya Ulimwenguni kwa kufanya shambulizi la kipekee ambalo halijawahi kushuhudiwa toka dunia iumbwe...

Shambulizi lile litaendelea kutumika ktk mafunzo ya vyuo vya kijeshi vya nchi za Ulimwengu wa kwanza.

Kwa hakika safari hii Iran imetoa salamu za kipekee si kwa Israel tu bali kwa Marekani, Uingereza, Ufaransa na vifaranga vyao vyotee....

Salamu hizo zimezifika vema nchi zote za mashariki ya kati ambazo kamwe hakuna atakaejaribu kufanya ujinga wowote (kutoa anga au ardhi kwa adui) wa kuomba kupelekewa bando la moto wa droni na makombora 300 kwa mpigo.

Pamoja na mkwara mzito wa Biden kuwa Iran akiishambulia Israel, Biden nae atajibu mashambulizi...lakini wanaume wametimiza ahadi ya kushambulia tena shambulio la kihistoria ambalo halijawahi shuhudiwa popote kwenye Ulimwengu huu. Biden kausoma mchezo, kamkanya kijana wake BN kuwa asijibu chochote, kama haikutosha nae Biden katia mpira kwapani!

Btw: Usitegemee kusikia tena Israel karusha jiwe kwenye ardhi (ubalozi) ya Muajemi...hata kwa bahati mbaya
Mbona hata Saddamu hussen alifanya mashambulizi kama haya alirusha scud za kutosha hata hazikumuua inzi ndani israel baada ya israel kushambulia kinu cha nuklia cha saddamu hussen
 
Brigedia Generali Reem Aminoach wa Israel amekujibu hapa chini:

Iran imeandika historia mpya Ulimwenguni kwa kufanya shambulizi la kipekee ambalo halijawahi kushuhudiwa toka dunia iumbwe...

Shambulizi lile litaendelea kutumika ktk mafunzo ya vyuo vya kijeshi vya nchi za Ulimwengu wa kwanza.

Kwa hakika safari hii Iran imetoa salamu za kipekee si kwa Israel tu bali kwa Marekani, Uingereza, Ufaransa na vifaranga vyao vyotee....

Salamu hizo zimezifika vema nchi zote za mashariki ya kati ambazo kamwe hakuna atakaejaribu kufanya ujinga wowote (kutoa anga au ardhi kwa adui) wa kuomba kupelekewa bando la moto wa droni na makombora 300 kwa mpigo.

Pamoja na mkwara mzito wa Biden kuwa Iran akiishambulia Israel, Biden nae atajibu mashambulizi...lakini wanaume wametimiza ahadi ya kushambulia tena shambulio la kihistoria ambalo halijawahi shuhudiwa popote kwenye Ulimwengu huu. Biden kausoma mchezo, kamkanya kijana wake BN kuwa asijibu chochote, kama haikutosha nae Biden katia mpira kwapani!

Btw: Usitegemee kusikia tena Israel karusha jiwe kwenye ardhi (ubalozi) ya Muajemi...hata kwa bahati mbaya
Utakapoanza kulia lia tutaufukua uzi wako huu
 
Israel alikuwa anajitapa sana kuwa Iran si chochote na yeye ndio supepawa hapo Middle East akitamba Iran ajaribu aone. Iran kafanya kweli mbona sasa wameufyata?
Sasa hivi Israel inasema oooh hizo drone hazijafanya uharibifu na blaa blaa nyingi.

Cha muhimu kupigwa kapigwa. Kama yeye mwanamke kweli aingie vitani sasa na Iran si alikuwa anaitafuta hiyo opportunities? Mbona keshaipata halafu anapotezea

Alizoea kuwaonea Hamas aende Tehran sasa tuone..

Aibu iliyoje nchi kamili inaombaomba misaada kwa wazungu asaidiwe kila kitu. Na bado kasaidiwa na bado kapigwa dadeki
 
Back
Top Bottom