Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
There you go.
Asa apo hujaelewa nini wizo, ufukunyuku tuuhh πΉπΉπΉπΉHuu utambulisho wizo sijauelewa vitawi vingi sana π€£π€£π€£π€£
Salamu ya kidwanzi sana hii,,,,siipendi Habari yako,za asubuh ,za saa hizi, imetoka hiyo uwe mkubwa au mdogo ila shkamoo hapana kwa kweliHivi hii salamu ya kifashisti ilitungwa na nani?
Kuna watu wamenizidi umri lakini nikiwaamkia shkamoo hawaitikii. Wanaona soo.
Kesho yake ukijiongeza ukaamua kutokumsalimia ananuna na kufura kama jinamizi. Sijui ni kwanini ati?
Mimi mwenyewe nikiambiwa shkamoo siitikii kabisa. Labda niamkiwe na vitoto vya chekechea.
Dume zima na mandevu ati shkamoo? Kivipi?
Namuagiza samia aifute hii salamu ya shkamoo mara moja katika mipaka yote ya Tanganyika. Salamu ya fedheha sana hii.
Awaelekeze Bakita watunge salamu nyingine itakayoenzi utu wa watu badala ya kusujudiana kwa mashkamoo ya hovyo hovyo.
Hata baadhi ya mababa hawapendi salamu zetu sie mashangaziWahenga wote huchukia Shkamoo inayotoka kwa Wasichana warembo.
Nakubaliana kutokukubaliana πππAsa apo hujaelewa nini wizo, ufukunyuku tuuhh πΉπΉπΉπΉ
Sie tumeolewa kwa akina Dokta, mdogo wangu mzaa shangazi yangu kaolewa na mwanae wa tatu πΉ
Endelea kubisha tu uniamshe komwe ππ
Salamu mbaya sana. Mimi sisaliamiagi kabisa, bora tupishane kama masanamu kuliko kutoa shkamOoSalamu ya kidwanzi sana hii,,,,siipendi Habari yako,za asubuh ,za saa hizi, imetoka hiyo uwe mkubwa au mdogo ila shkamoo hapana kwa kweli
Usingekubaliana ungenitambua mimi ni nani πΉπΉπΉπΉNakubaliana kutokukubaliana πππ
Unanitisha wizo π€£π€£π€£Usingekubaliana ungenitambua mimi ni nani πΉπΉπΉπΉ
πΉπΉπΉπΉπΉNmeshajibiwa hivyo na wazee wawili huku kijijini , eti unataka kujinyima nini madam, mhh. nljiskia vbaya, ila nkaja kuzoea,basi siku hizi nkiwaona sitoi shikamoo tena
Huyu anapigwa hogo la kinyeo πΉπΉπΉMpige hogo la papuchi π€£π€£π€£
Mimi ni shangazi jamanii πΉπΉAlafu wewe ndo ulikua unasema nikuite shangazi..
BICHWA KOMWE - haupo serious mkuu
ππππππ Una mambo ya pi-didy wewe...Mimi ni shangazi jamanii πΉπΉ
Pepo Komwe πΉπΉπΉππππππ Una mambo ya pi-didy wewe...
Pepo wewe
Stakiiiii πΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉShikamoo bichwa
ππππ DaahPepo Komwe πΉπΉπΉ