Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
There you go.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
There you go.
Asa apo hujaelewa nini wizo, ufukunyuku tuuhh ๐น๐น๐น๐นHuu utambulisho wizo sijauelewa vitawi vingi sana ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Salamu ya kidwanzi sana hii,,,,siipendi Habari yako,za asubuh ,za saa hizi, imetoka hiyo uwe mkubwa au mdogo ila shkamoo hapana kwa kweliHivi hii salamu ya kifashisti ilitungwa na nani?
Kuna watu wamenizidi umri lakini nikiwaamkia shkamoo hawaitikii. Wanaona soo.
Kesho yake ukijiongeza ukaamua kutokumsalimia ananuna na kufura kama jinamizi. Sijui ni kwanini ati?
Mimi mwenyewe nikiambiwa shkamoo siitikii kabisa. Labda niamkiwe na vitoto vya chekechea.
Dume zima na mandevu ati shkamoo? Kivipi?
Namuagiza samia aifute hii salamu ya shkamoo mara moja katika mipaka yote ya Tanganyika. Salamu ya fedheha sana hii.
Awaelekeze Bakita watunge salamu nyingine itakayoenzi utu wa watu badala ya kusujudiana kwa mashkamoo ya hovyo hovyo.
Hata baadhi ya mababa hawapendi salamu zetu sie mashangaziWahenga wote huchukia Shkamoo inayotoka kwa Wasichana warembo.
Nakubaliana kutokukubaliana ๐๐๐Asa apo hujaelewa nini wizo, ufukunyuku tuuhh ๐น๐น๐น๐น
Sie tumeolewa kwa akina Dokta, mdogo wangu mzaa shangazi yangu kaolewa na mwanae wa tatu ๐น
Endelea kubisha tu uniamshe komwe ๐๐
Salamu mbaya sana. Mimi sisaliamiagi kabisa, bora tupishane kama masanamu kuliko kutoa shkamOoSalamu ya kidwanzi sana hii,,,,siipendi Habari yako,za asubuh ,za saa hizi, imetoka hiyo uwe mkubwa au mdogo ila shkamoo hapana kwa kweli
Usingekubaliana ungenitambua mimi ni nani ๐น๐น๐น๐นNakubaliana kutokukubaliana ๐๐๐
Unanitisha wizo ๐คฃ๐คฃ๐คฃUsingekubaliana ungenitambua mimi ni nani ๐น๐น๐น๐น
๐น๐น๐น๐น๐นNmeshajibiwa hivyo na wazee wawili huku kijijini , eti unataka kujinyima nini madam, mhh. nljiskia vbaya, ila nkaja kuzoea,basi siku hizi nkiwaona sitoi shikamoo tena
Huyu anapigwa hogo la kinyeo ๐น๐น๐นMpige hogo la papuchi ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mimi ni shangazi jamanii ๐น๐นAlafu wewe ndo ulikua unasema nikuite shangazi..
BICHWA KOMWE - haupo serious mkuu
๐๐๐๐๐๐ Una mambo ya pi-didy wewe...Mimi ni shangazi jamanii ๐น๐น
Pepo Komwe ๐น๐น๐น๐๐๐๐๐๐ Una mambo ya pi-didy wewe...
Pepo wewe
Stakiiiii ๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐นShikamoo bichwa
๐๐๐๐ DaahPepo Komwe ๐น๐น๐น