Shikamoo ni lazima? Unaninyima nini?

Shikamoo ni lazima? Unaninyima nini?

Huu utambulisho wizo sijauelewa vitawi vingi sana ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Asa apo hujaelewa nini wizo, ufukunyuku tuuhh ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Sie tumeolewa kwa akina Dokta, mdogo wangu mzaa shangazi yangu kaolewa na mwanae wa tatu ๐Ÿ˜น

Endelea kubisha tu uniamshe komwe ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
 
Hivi hii salamu ya kifashisti ilitungwa na nani?

Kuna watu wamenizidi umri lakini nikiwaamkia shkamoo hawaitikii. Wanaona soo.

Kesho yake ukijiongeza ukaamua kutokumsalimia ananuna na kufura kama jinamizi. Sijui ni kwanini ati?

Mimi mwenyewe nikiambiwa shkamoo siitikii kabisa. Labda niamkiwe na vitoto vya chekechea.

Dume zima na mandevu ati shkamoo? Kivipi?

Namuagiza samia aifute hii salamu ya shkamoo mara moja katika mipaka yote ya Tanganyika. Salamu ya fedheha sana hii.

Awaelekeze Bakita watunge salamu nyingine itakayoenzi utu wa watu badala ya kusujudiana kwa mashkamoo ya hovyo hovyo.
Salamu ya kidwanzi sana hii,,,,siipendi Habari yako,za asubuh ,za saa hizi, imetoka hiyo uwe mkubwa au mdogo ila shkamoo hapana kwa kweli
 
Asa apo hujaelewa nini wizo, ufukunyuku tuuhh ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Sie tumeolewa kwa akina Dokta, mdogo wangu mzaa shangazi yangu kaolewa na mwanae wa tatu ๐Ÿ˜น

Endelea kubisha tu uniamshe komwe ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
Nakubaliana kutokukubaliana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
sala
Salamu ya kidwanzi sana hii,,,,siipendi Habari yako,za asubuh ,za saa hizi, imetoka hiyo uwe mkubwa au mdogo ila shkamoo hapana kwa kweli
Salamu mbaya sana. Mimi sisaliamiagi kabisa, bora tupishane kama masanamu kuliko kutoa shkamOo
 
Nmeshajibiwa hivyo na wazee wawili huku kijijini , eti unataka kujinyima nini madam, mhh. nljiskia vbaya, ila nkaja kuzoea,basi siku hizi nkiwaona sitoi shikamoo tena
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Back
Top Bottom