Au msiba!Tuna wachumi, tunaelezwa uchumi kwa Mama umepaa na mbona sisi wananchi hatuoni badiliko lolote. Huku kijijini kuna umaskini wa kutisha. Mtu kujaliwa kula balanced diet labda kuwe na harusi au sherehe fulani.
Je, 'factor' ya dollar moja ya kimarekani kuwa sawa na madafu yetu zaidi ya 2,000/ haionyeshi kushuka kwa thamani ya madafu? Nakumbuka tuliwahi kuwa na $1 sawa na madafu 7 enzi fulani. Nini kilitokea tukafika hapa tulipo leo?Sarafu iko sawa haishuki kwa kazi kiivyo. Bei za bedhaa zimepanda dunia nzima, watu tnaongezeka, na mahitaji yanaongezeka. Malighafi zinapanda bei, gharama za uzalishaji zinaongezeka hivyo bei ya mlaji itaongezeka tu.
Tunaagiza kutoka nje kwa wingi kuliko tunavyouza nje, hivyo tunatumia pesa za kigeni nyingi kununua nje kuliko kiasi tunachoingiza kwa kuuza nje. Haya sasa kuna vita, na wahusika wakuu ni wale wanao tusaidia kila siku, hivyo na misaada inapungua, yani hatupati subsidies kutoka serikalini au donor countries hivyo tuna ona kila kitu kiko juu.
Thamani ya pesa ina factor nyingi sana.
Sisi tuna export malighafi tena kidogo, wao wana export finished product kwa wingi. Import/Export ratio. Wao wanatechnologia wanazalisha ndani zaidi, na ziada wanagawa nje, sisis technologia hatuna, tunazalisha kidogo, ili kukidhi mahitaji yetu ya ndani tunaagiza kutoka nje. Tunaponunua kutoka nje tunatumia pesa za kigeni.Je, 'factor' ya dollar moja ya kimarekani kuwa sawa na madafu yetu zaidi ya 2,000/ haionyeshi kushuka kwa thamani ya madafu? Nakumbuka tuliwahi kuwa na $1 sawa na madafu 7 enzi fulani. Nini kilitokea tukafika hapa tulipo leo?
Siamini kuwa ni hayo uliyoeleza hapo wewe.
Nakubaliana nawe, 'factor' ni nyingi; lakini hao wataalam unaowaita hapa msaada wao ni kidogo sana. Hawa ndio kila mwaka, kwa miaka zaidi ya 60 wanaopanga maswala ya uchumi wetu; angalia tulikofikia sasa!Factor ni nyingi wataalamu wasomi wa uchumi watasaidia mengine.
Mbeya ilikiwa 1200 mpaka mwaka juziSukari gani ambayo kilo ilikua 1300? Hata wakati wa Kikwete ilikua 1800, tatizo lenu wengi humu hamna majukumu ngumu hata kujua bidhaa zilikuwa zinauzwaje miaka kadhaa iliopita.
Sidhani kama mimi ni mtu sahihi lakini nadhani hili ni somo pana sana, Technological development, kama automation, digitazation, Global Finance, Global economics, geo politics, governmental policies, Structural transformation na mengine mengi ni mambo yana hitaji mchumi msomi. Mimi sina uwezo mzuri sana ingawa naweza kujaribu nikaeleza kwa ufasaha kila sababu nikiwa na muda.Nakubaliana nawe, 'factor' ni nyingi; lakini hao wataalam unaowaita hapa msaada wao ni kidogo sana. Hawa ndio kila mwaka, kwa miaka zaidi ya 60 wanaopanga maswala ya uchumi wetu; angalia tulikofikia sasa!
Tuwaache hao wamarekani , wajapan na wengineo. Zungumzia madafu yetu na yale makopo ya Kenya, hapo utakuwa mlinganisho mzuri.
Haya tupe sababu za madafu kuwa 2,000 kwa dola; yale ya wenzetu ni takribani 130 hivi kwa dola..
Hapana, usifikiri nakudadisi, maelezo yako ni mazuri tu toka huko juu.
Unapinga hoja ya mwandishi au unasapot, kwa akili yako ya kawaida unahisi kuna tofauti kati ya 1500 na 1800?Sukari gani ambayo kilo ilikua 1300? Hata wakati wa Kikwete ilikua 1800, tatizo lenu wengi humu hamna majukumu ngumu hata kujua bidhaa zilikuwa zinauzwaje miaka kadhaa iliopita.
Tuachane hapa. Ila haya mambo ya 'economics' kwangu huwa si tofauti sana na utabiri wa hali ya hewa, ingawaje kidogo siku hizi 'technology' imeufanya utabiri wa hali ya hewa kuwa nafuu zaidi ya hiyo 'economics'.Sidhani kama mimi ni mtu sahihi lakini nadhani hili ni somo pana sana, Technological development, kama automation, digitazation, Global Finance, Global economics, geo politics, governmental policies, Structural transformation na mengine mengi ni mambo yana hitaji mchumi msomi. Mimi sina uwezo mzuri sana ingawa naweza kujaribu nikaeleza kwa ufasaha kila sababu nikiwa na muda.
Ila baadhi ya sababu ni hizo hapo juu, ila ukilinganisha na majirani wetu napo kuna sababu za kiuchumi, kisiasa, kimfumo, na mabadiliko ya mifumo na policies zetu kiuchumi na fedha, ndio maana nikasema factors ni nyingi, hakuna sababu moja ni nyingi na zinahitaji wabobevu wa eneo hilo kuzichambua kwa ufasaha.
Tuwaachie hayo ni yao, kama ulivyosema uchumi unaboreka kwa wananchi lakini Serikali zetu uchumi unaboreka midomoni, hasa nyakati hizi miaka ya uchaguzi.Tuachane hapa. Ila haya mambo ya 'economics' kwangu huwa si tofauti sana na utabiri wa hali ya hewa, ingawaje kidogo siku hizi 'technology' imeufanya utabiri wa hali ya hewa kuwa nafuu zaidi ya hiyo 'economics'.
Yaani, maelezo ya uchumi hayakosi visingizio uchumi unapodorora. Biden akipata mafua, utasikia uchumi wetu umeathiriwa na hali hiyo. Hivyo hivyo, uchumi ukiwa mzuri kidogo (sijui kuwa mzuri ni kufanyaje, labda matarakimu yakionyesha kwenye karatasi, huku hali za wananchi hazina nafuu yoyote), utasikia Biden alikuwa na furaha sana siku chache zilizopita, ndiyo maana na sisi tukapata nafuu.
All in all, uchumi pekee unaotakiwa kuwekewa mkazo, ni hali za wananchi zinavyoonekana kushamiri, na siyo matarakimu kwenye karatasi.
Nimeona nimalizie hivyo, ingawaje siwadharau wenye fani yao ya uchumi, kama akina Lipumba.
Mwaka gani huo ilikuwa 1,800?Sukari gani ambayo kilo ilikua 1300? Hata wakati wa Kikwete ilikua 1800, tatizo lenu wengi humu hamna majukumu ngumu hata kujua bidhaa zilikuwa zinauzwaje miaka kadhaa iliopita.
Leo $1 ilikuwa 2,730Kwa kweli shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi ya kutisha dhidi ya sarafu nyingine. Ukitaka kujua kuwa shillingi yetu inaporomoka kwa kasi linganisha bei ya bidhaa kwa leo na ulinganishe na miaka mitatu, miwili na hata mwaka mmoja.
Chukua mfano wa nishati ya mafuta. Miaka mitatu iliyopita bei ya dizeli kwa lita moja ilikuwa wastani wa Tshs.1,500 leo hii lita moja ya dizeli ni wastani wa Tshs.3,300. Mfano mwingine chukua sukari. Miaka mitatu iliyopita sukari kilo moja ilikuwa Tshs. 1,300 leo hii kilo moja ya sukari ni Tshs.3,500.
Sasa tuje kwenye kichekesho. Jana nilikuwa kwenye mwalo moja hapo Ziwa Victoria na sikuamini macho yangu nilipoambiwa kuwa samaki moja aina ya sato ni Tshs. 30,000 karibia bei ya mbuzi wakati miaka mitatu iliyopita samaki wa uzito huo alikuwa akiuzwa kwa Tshs.8,000.
Tuna wachumi, tunaelezwa uchumi kwa Mama umepaa na mbona sisi wananchi hatuoni badiliko lolote. Huku kijijini kuna umaskini wa kutisha. Mtu kujaliwa kula balanced diet labda kuwe na harusi au sherehe fulani.
Tuwaulize wachumi wetu, Je uchumi umepaa kwa vigezo gani?.
Wachumi wa mchongo akina Mwigulu Nchemba!!Kwa kweli shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi ya kutisha dhidi ya sarafu nyingine. Ukitaka kujua kuwa shillingi yetu inaporomoka kwa kasi linganisha bei ya bidhaa kwa leo na ulinganishe na miaka mitatu, miwili na hata mwaka mmoja.
Chukua mfano wa nishati ya mafuta. Miaka mitatu iliyopita bei ya dizeli kwa lita moja ilikuwa wastani wa Tshs.1,500 leo hii lita moja ya dizeli ni wastani wa Tshs.3,300. Mfano mwingine chukua sukari. Miaka mitatu iliyopita sukari kilo moja ilikuwa Tshs. 1,300 leo hii kilo moja ya sukari ni Tshs.3,500.
Sasa tuje kwenye kichekesho. Jana nilikuwa kwenye mwalo moja hapo Ziwa Victoria na sikuamini macho yangu nilipoambiwa kuwa samaki moja aina ya sato ni Tshs. 30,000 karibia bei ya mbuzi wakati miaka mitatu iliyopita samaki wa uzito huo alikuwa akiuzwa kwa Tshs.8,000.
Tuna wachumi, tunaelezwa uchumi kwa Mama umepaa na mbona sisi wananchi hatuoni badiliko lolote. Huku kijijini kuna umaskini wa kutisha. Mtu kujaliwa kula balanced diet labda kuwe na harusi au sherehe fulani.
Tuwaulize wachumi wetu, Je uchumi umepaa kwa vigezo gani?.
Serikali ya machawaSerikali ya awamu hii ina mapungufu makubwa.
Wapi huko, na mie nikauze dola zangu kwa bei hio, usiniambie hawa wabadilishaji wa barabarani ukapata hela feki.Leo $1 ilikuwa 2,730