Sisi tuna export malighafi tena kidogo, wao wana export finished product kwa wingi. Import/Export ratio. Wao wanatechnologia wanazalisha ndani zaidi, na ziada wanagawa nje, sisis technologia hatuna, tunazalisha kidogo, ili kukidhi mahitaji yetu ya ndani tunaagiza kutoka nje. Tunaponunua kutoka nje tunatumia pesa za kigeni.
Kumbuka Dollar ni moja ya sarafu zinazutumika kama sarafu za biashara kimataifa, bila kusahau Swiss Franc, Japaneese YEN, British Pound, pesa ya kijerumani, kifaransa na Italiano.
Madafu yetu hayawezi kupanda thamani wakati hatuzalishi bidhaa zinazouzika kimataifa.
Factor ni nyingi wataalamu wasomi wa uchumi watasaidia mengine.