baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Around 2013 mwishoni mwa Awamu ya kikwete.Mwaka gani huo ilikuwa 1,800?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Around 2013 mwishoni mwa Awamu ya kikwete.Mwaka gani huo ilikuwa 1,800?
Unapo piga hayo mahesabu kumbuka idadi ya watu wanao ongezaka na gharama za kuwajengea muindo mbinu ya kisasa km itahitajika. Sema utakavyo lakini tatizo la kuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia namaanisha hayo unayo jaribu kuyapigia kelele na mengine tunayo yajua wengine yamekuwa hivyo kwasababu ya jamii kuto kuhoji pia la msingi la kuongezea acheni kuagiza kila kitu toka china na kwingineko thamani ya shilingi itapanda kwamaana wao Ndiyo watazinunua bidhaa zetuKwa kweli shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi ya kutisha dhidi ya sarafu nyingine. Ukitaka kujua kuwa shillingi yetu inaporomoka kwa kasi linganisha bei ya bidhaa kwa leo na ulinganishe na miaka mitatu, miwili na hata mwaka mmoja.
Chukua mfano wa nishati ya mafuta. Miaka mitatu iliyopita bei ya dizeli kwa lita moja ilikuwa wastani wa Tshs.1,500 leo hii lita moja ya dizeli ni wastani wa Tshs.3,300. Mfano mwingine chukua sukari. Miaka mitatu iliyopita sukari kilo moja ilikuwa Tshs. 1,300 leo hii kilo moja ya sukari ni Tshs.3,500.
Sasa tuje kwenye kichekesho. Jana nilikuwa kwenye mwalo moja hapo Ziwa Victoria na sikuamini macho yangu nilipoambiwa kuwa samaki moja aina ya sato ni Tshs. 30,000 karibia bei ya mbuzi wakati miaka mitatu iliyopita samaki wa uzito huo alikuwa akiuzwa kwa Tshs.8,000.
Tuna wachumi, tunaelezwa uchumi kwa Mama umepaa na mbona sisi wananchi hatuoni badiliko lolote. Huku kijijini kuna umaskini wa kutisha. Mtu kujaliwa kula balanced diet labda kuwe na harusi au sherehe fulani.
Tuwaulize wachumi wetu, Je uchumi umepaa kwa vigezo gani?.
1. Kasema 1300 sukari na sio 1500Unapinga hoja ya mwandishi au unasapot, kwa akili yako ya kawaida unahisi kuna tofauti kati ya 1500 na 1800?
We muongo sana, mbona wanaweza mambo mengi tu mfano kuchora mawe, kurudia madarasa baada ya kufeli, kuchunga ng'ombe kwa uhakika na kuwaambia raia wenzao wahamie Burundi japo wao hawako tayari kwenda!!Zamani huku Kasensero (Ziwa Victoria) ukitoa laki ya Tsh unapewa Laki mbili za Uganda [emoji1254] .
Sasa hivi laki kwa laki na ishirini.
Tatizo ni wanyiramba. Wanyiramba hawajawahi kuweza kitu chochote Tanzania hii
Mkuu 'halongbay', umetiririka hasa kwenye bandiko lako lote nililolisoma kwa makini sana.Ulipaji wa madeni makubwa ya Serikali nje ya nchi, Dola kutumika kununua mitambo na chuma kwa ajiri ya Miradi ya Nyerere Dam, SGR na Madaraja makubwa, na kudumaa kwa sekta za Utalii, Madini na Kilimo (wanasema zinakuwa lakini ukweli ni kuwa zimedumaaa ikilinganishwa potential yake).
Duh!Uchumi ni sayansi
Hatari sana hii...Leo $1 ilikuwa 2,730
Mambo ya "speculations"...Duh!
Sayansi? Hakuna utabiri ndani ya sayansi.
Labda kwenye sayansi hizo 'speculations' ndizo tuziite 'hypothesis', ambazo ni lazima zifuatiwe na utafiti kuzi'prove' kama ndivyo au sivyo.Mambo ya "speculations"...
Kwenye uchumi ni kazi sana...Labda kwenye sayansi hizo 'speculations' ndizo tuziite 'hypothesis', ambazo ni lazima zifuatiwe na utafiti kuzi'prove' kama ndivyo au sivyo.
Kwa huyu Mama 1$ itafuka 4000 ni suala la muda, huwezi ukawa na Mchumi Mwigulu mkafika popote, huwezi ukategemea kuandaa mazingira ya wawekezaji ukajidanya na wewe unakuza uchumi, totally wrong!!!Leo $1 ilikuwa 2,730
Watakwambia mama anaupiga mwingi.Kwa kweli shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi ya kutisha dhidi ya sarafu nyingine. Ukitaka kujua kuwa shillingi yetu inaporomoka kwa kasi linganisha bei ya bidhaa kwa leo na ulinganishe na miaka mitatu, miwili na hata mwaka mmoja.
Chukua mfano wa nishati ya mafuta. Miaka mitatu iliyopita bei ya dizeli kwa lita moja ilikuwa wastani wa Tshs.1,500 leo hii lita moja ya dizeli ni wastani wa Tshs.3,300. Mfano mwingine chukua sukari. Miaka mitatu iliyopita sukari kilo moja ilikuwa Tshs. 1,300 leo hii kilo moja ya sukari ni Tshs.3,500.
Sasa tuje kwenye kichekesho. Jana nilikuwa kwenye mwalo moja hapo Ziwa Victoria na sikuamini macho yangu nilipoambiwa kuwa samaki moja aina ya sato ni Tshs. 30,000 karibia bei ya mbuzi wakati miaka mitatu iliyopita samaki wa uzito huo alikuwa akiuzwa kwa Tshs.8,000.
Tuna wachumi, tunaelezwa uchumi kwa Mama umepaa na mbona sisi wananchi hatuoni badiliko lolote. Huku kijijini kuna umaskini wa kutisha. Mtu kujaliwa kula balanced diet labda kuwe na harusi au sherehe fulani.
Tuwaulize wachumi wetu, Je uchumi umepaa kwa vigezo gani?.
Import inflation imeshuka sana duniani bei ya mafuta na gęsi leo sio sawa na hizo sababu unazotaja.
Matter of fact nchi zilizoendelea ambazo inflation zilifika over 11% percent kwa sababu ya vita ya Ukraine Russia (mind you) wengi walikuwa wananunua gas Russia na mafuta. Sasa hivi inflation imeshuka mpaka 3-4% interest set by central banks nazo zinashuka.
Na huko kwao interest rates za central bank zikipanda ni shida kwa sababu watu wengi wana mortgages ambayo ni over 90% of household debt, rates ikipanda na mortgage rates zinapanda, so is credit card rates and consumer credit.
Factors nchi zilizoendelea ambazo kwa uchumi wa Tanzania ni minimal.
Sasa jiulize iwaje huko kwa wazungu central banks za zishushe interests, bei ya nishati ishuke, na inflation ishuke kwa sababu ulizotaja. Wakati sisi wenye minimal impact kwenye global events mwezi uliopita BoT imepandisha rates na inflation ni shida.
Matatizo yetu yana uhusiano mdogo sana na global invents, shida ni ufisadi (which makes hard to control inflation with monetary policies), unqualified people in economic posts, uncontrolled demand of foreign currency kupitia criminal activities.
Kwa kifupi nchi inahitaji kutafuta watu wenye uwezo wa kuongoza kuanzia usalama wa taifa. I have met a couple of Tanzania intelligent officers hawana uwezo.
2025 apumzike tu.Kwa kweli shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi ya kutisha dhidi ya sarafu nyingine. Ukitaka kujua kuwa shillingi yetu inaporomoka kwa kasi linganisha bei ya bidhaa kwa leo na ulinganishe na miaka mitatu, miwili na hata mwaka mmoja.
Chukua mfano wa nishati ya mafuta. Miaka mitatu iliyopita bei ya dizeli kwa lita moja ilikuwa wastani wa Tshs.1,500 leo hii lita moja ya dizeli ni wastani wa Tshs.3,300. Mfano mwingine chukua sukari. Miaka mitatu iliyopita sukari kilo moja ilikuwa Tshs. 1,300 leo hii kilo moja ya sukari ni Tshs.3,500.
Sasa tuje kwenye kichekesho. Jana nilikuwa kwenye mwalo moja hapo Ziwa Victoria na sikuamini macho yangu nilipoambiwa kuwa samaki moja aina ya sato ni Tshs. 30,000 karibia bei ya mbuzi wakati miaka mitatu iliyopita samaki wa uzito huo alikuwa akiuzwa kwa Tshs.8,000.
Tuna wachumi, tunaelezwa uchumi kwa Mama umepaa na mbona sisi wananchi hatuoni badiliko lolote. Huku kijijini kuna umaskini wa kutisha. Mtu kujaliwa kula balanced diet labda kuwe na harusi au sherehe fulani.
Tuwaulize wachumi wetu, Je uchumi umepaa kwa vigezo gani?.
Kuna vitu vingi vinahusika pamoja maamuzi ya kisiasa, na jamii ya yes bwana yaani kuto kuhojiKwanini wasimrudishe Dr Mpango, alidhibiti inflation, mikopo ya hovyo, kwa kiasi kikubwa ufisadi na rushwa ilipungua tukafika uchumi wa kati hata Dunia ikiwa katikati ya janga la Covid biashara duniani ikiwa imesimama kwa kiasi kikubwa.
uongozi ni pesa,lkn zamani ug sh 200000 zilikuwa sawa na Tsh100000 utetezi wa export na import hapo ukoje Hilo ni tatizo la akina madelu & co.Sisi tuna export malighafi tena kidogo, wao wana export finished product kwa wingi. Import/Export ratio. Wao wanatechnologia wanazalisha ndani zaidi, na ziada wanagawa nje, sisis technologia hatuna, tunazalisha kidogo, ili kukidhi mahitaji yetu ya ndani tunaagiza kutoka nje. Tunaponunua kutoka nje tunatumia pesa za kigeni.
Kumbuka Dollar ni moja ya sarafu zinazutumika kama sarafu za biashara kimataifa, bila kusahau Swiss Franc, Japaneese YEN, British Pound, pesa ya kijerumani, kifaransa na Italiano.
Madafu yetu hayawezi kupanda thamani wakati hatuzalishi bidhaa zinazouzika kimataifa.
Factor ni nyingi wataalamu wasomi wa uchumi watasaidia mengine.