Shilingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi kubwa

Unapo piga hayo mahesabu kumbuka idadi ya watu wanao ongezaka na gharama za kuwajengea muindo mbinu ya kisasa km itahitajika. Sema utakavyo lakini tatizo la kuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia namaanisha hayo unayo jaribu kuyapigia kelele na mengine tunayo yajua wengine yamekuwa hivyo kwasababu ya jamii kuto kuhoji pia la msingi la kuongezea acheni kuagiza kila kitu toka china na kwingineko thamani ya shilingi itapanda kwamaana wao Ndiyo watazinunua bidhaa zetu
 
Unapinga hoja ya mwandishi au unasapot, kwa akili yako ya kawaida unahisi kuna tofauti kati ya 1500 na 1800?
1. Kasema 1300 sukari na sio 1500
2. Kasema hio 1300 ilikua ni miaka 3 iliopita, wakati miaka 10 iliopita sukari ilikua 1800 na haijawahi kushuka, Alivyoingia Magu ika shoot hadi 4000 then ikashuka tena hadi elfu 2 na kitu ikakaa hapo muda mrefu then ikaja kupanda tena karibuni hadi 5000 na sasa imeshuka around hio 3000.

Sio hivyo tu hata mafuta data zake zipo off, in short hizo data ni matamanio yake hazina uhalisia wala source yoyote ya kuzi backup.
 
Zamani huku Kasensero (Ziwa Victoria) ukitoa laki ya Tsh unapewa Laki mbili za Uganda [emoji1254] .


Sasa hivi laki kwa laki na ishirini.


Tatizo ni wanyiramba. Wanyiramba hawajawahi kuweza kitu chochote Tanzania hii
We muongo sana, mbona wanaweza mambo mengi tu mfano kuchora mawe, kurudia madarasa baada ya kufeli, kuchunga ng'ombe kwa uhakika na kuwaambia raia wenzao wahamie Burundi japo wao hawako tayari kwenda!!
 
Mkuu 'halongbay', umetiririka hasa kwenye bandiko lako lote nililolisoma kwa makini sana.

Hicho kipande nilichokinyanyua hapo juu, mi nadhani ndipo viongozi wetu wanapopotezea umakini wao, na badala yake wanahangaika na maswala yasiyokuwa na umuhimu mkubwa kwa maendeleo ya nchi yetu. Hizi 'potential' unazozizungumzia hapa ndizo zingetuinua zaidi na kwa haraka kama mkazo ungewekwa huko. Kilimo, kwa mfano, asili mia zaidi ya 60 ya wananchi wetu wapo kwenye shughuli hiyo. Kuinukakwa hali ya maisha ya watu hawa, ndiko kuleta maendeleo ndani ya nchi haraka zaidi.
 
Leo $1 ilikuwa 2,730
Kwa huyu Mama 1$ itafuka 4000 ni suala la muda, huwezi ukawa na Mchumi Mwigulu mkafika popote, huwezi ukategemea kuandaa mazingira ya wawekezaji ukajidanya na wewe unakuza uchumi, totally wrong!!!

Uchumi wa kweli ni kuuza zaidi nje katika soko la dunia ,je mtauza nini? Viwanda mtatoa wapi? , Mama yuko busy na kufanya basic things, teua tongue, panda ndege, hudhuria mikutano, blablabla nyingi.
 
Watakwambia mama anaupiga mwingi.
 
Na bado. Ukileta wageni waendeshe uchumi wako haya ndiyo matokeo yake. Unaleta wachina waweke mabonanza ya kamari nchi nzima. Matokeo yake hizo chelechele wanazokusanya wanaenda kuzibadili kuwa dola na kupeleka kwao. Shilingi inazidi kushuka, dola inazidi kuahitajika na kupanda bei. Huko tuendako hali itazidi kuwa mbaya hata zaidi.

Tudhibiti uwekezaji wa kigeni usio na tija na tudhibiti uagizaji wa baadhi ya "Takataka" kutoka nje. Tukizubaa tutaangamia.
 

Kwanini wasimrudishe Dr Mpango, alidhibiti inflation, mikopo ya hovyo, kwa kiasi kikubwa ufisadi na rushwa ilipungua tukafika uchumi wa kati hata Dunia ikiwa katikati ya janga la Covid biashara duniani ikiwa imesimama kwa kiasi kikubwa.
 
2025 apumzike tu.
 
Kwanini wasimrudishe Dr Mpango, alidhibiti inflation, mikopo ya hovyo, kwa kiasi kikubwa ufisadi na rushwa ilipungua tukafika uchumi wa kati hata Dunia ikiwa katikati ya janga la Covid biashara duniani ikiwa imesimama kwa kiasi kikubwa.
Kuna vitu vingi vinahusika pamoja maamuzi ya kisiasa, na jamii ya yes bwana yaani kuto kuhoji
 
uongozi ni pesa,lkn zamani ug sh 200000 zilikuwa sawa na Tsh100000 utetezi wa export na import hapo ukoje Hilo ni tatizo la akina madelu & co.
 
Malalamiko yako ni sahihi lakini usiongeze na uongo ili kunogesha hoja yako,hiyo miaka 3 iliyopita ulikuwa una duka lako maalum ndiyo walikuwa wanakuuzia sukari kg 1 kwa 1,300? Kuwa mkweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…