Shilingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi kubwa

Sukari gani ambayo kilo ilikua 1300? Hata wakati wa Kikwete ilikua 1800, tatizo lenu wengi humu hamna majukumu ngumu hata kujua bidhaa zilikuwa zinauzwaje miaka kadhaa iliopita.
2005 nimenunua sukari kilo Tshs 500, debe la mahindi sh 3000
 
kwa upepo huu wa umasikini ndani ya miaka mitano ijayo 1usd itakuwa zaidi 3000tsh
 
Hivi, waziri wa fedha si mchumi namba moja Tena dakitari? Makamu wa rais naye si mchumi Tena dakitari? Wanashindwane kuunganisha bongo zao wakatoka na suluhu la anguko la shilingi? Au hawana group discussion huko juu ni kila mtu na karai lake la maji ya baridi ya kuloweka miguu ili asisinzie?
Hebu wawaitishe kina Lipumba na wachumi wengine wafanye group discussion huenda wakapata suluhu waache ubinafsi.
 
Kwanini thamani ya Tsh ishuke thamani kwa kasi ivi dhidi ya Shilingi ya Uganda na Kenya.? Je wao hawajaathirika na vita?
 
Harafu kuna kenge wao hasira zao, badala wazielekeze kwa samia na ccm yake, wao wanawashwa wakiona Lisu, anamwaga madini kuhusu ma ccm
 
Mkuu Kalama nakuunga mkono
Tanzania ina potential ya kufanya mapinduzi makubwa ya kiuchumi katika muda mfupi ila hatuna know how. Tunachezea fursa katika utalii, kilimo, energy security n.k
Shida kubwa tuliyonayo ni maamuzi mabovu, poor political will, upeo mdogo wa watendaji, rushwa iliyokithiri na total failure ya oversight and accountability machinery.

Unakuta 80 % ya Mawaziro ni zero brain, 90% Makatibuu wakuuu vilaza wa kufa mtu, wakurugenzo ndio uozo kabisa, madiwani darasa la saba, wakuu wa wilaya na mikoa ni wale ambao zamani walikuwa matapeli town na wengine machangudoa kabisa town, wabunge ndio kina Dr msukumaa na Lusindeee, Ma DEED wanaokotwa tu vichochoroni. Ilibaki kidogo mkwere awape ubunge na uwaziri steeev, uwoya na sepengaa. Huyu aliyepo kagawa uongozi kwa mamis kama hana akili nzuri. Kwa mwelekeo wetu usishangae mwinjakooo au gigy money wakawa maDEED au DC. Katika mazingira haya tutaweza kweli kutengeneza sera au mipango stahili? tutawezaje kufanya maamuzi sahihi na kwa wakati stahili? tutawezaje kusimamia accountability? tuwezaje kubuni na kusimamia miradi ipasavyo. Yaani katibu Mkuuu hawezi kusoma wala kutafsiri ripoti hali inatisha.... tunaelekea gizani kwa kasi ya ajabu.
 
Papuchi uwanja wa fisi ilikuwa 3k saiv bila 5k ujalamba bado, chumba chake ndom yake
 
Mnapokuwa na Waziri wa Fedha anapozungumza hata humfahamu, unatarajia nini?
 
Sio kweli mkuu unaendelea kujenga sababu hela umekopa na ukizembea bei inapanda juu zaidi ya hapo ilipo
Kuishi Tz ni Kama drama hivi yaani sisi wananchi ndio mtaji wa serikali kwa sehemu fulani hivi yaani pamoja na kuwa na
Mbuga
Migodi
Bahari/Bandari
Lakini bado wananchi ndio pato lenyewe. Wananchi wanahela.
Mtumishi wa umma Tz analipa kodi kubwa wakati mwingine Sawa na wafanyabiashara wakubwa wakubwa. Hii yote ni katika kuimarisha uchumi wa nchi
 
Halafu wanaumbuku walipata kichaka cha kuficha madhaifu yao kwa kisingizio vita ya Urusi, kipo wapi?
 
Shida kubwa tuliyonayo ni maamuzi mabovu, poor political will, upeo mdogo wa watendaji, rushwa iliyokithiri na total failure ya oversight and accountability machinery.
Nakusoma vizuri sana mkuu.
Miaka kadhaa tulikuwa na lengo la 2025 kuwa tumefikia mahali fulani katika malengo ya maendeleo tuliyokuwa tumejiwekea. Hili lilikuwa linatajwa sana kila sehemu. Sasa 2025 ndiyo hiyo imeingia, na husikii mtu akitaja tumefikia wapi katika malengo yetu. Lugha imebadilika, malengo hayo hayo tunayahamishia 2050.
Najuwa kwa mwendo huu tunaokwenda, hasa na huyu mwana mama asiyejuwa kitu kabisa, sishangai kama wakati huo tutakuwa tumerudi kinyumenyume zaidi ya hapa tulipo.

'Oversight and accountabilit'y ni maneno yasiyokuwa na maana yoyote kwa huyu kiongozi; lakini hapo hapo anakimbilia kutafuta matapeli kwa jina la wawekezaji toka nje waje hapa wavune bila kubughudhiwa! Yeye uamini wake ni kuwa hawa ndio watakaoleta maendeleo Tanzania, badala ya waTanzania wenyewe kufanya hivyo.
Hata kupanda misitu, wananchi wetu wafaidike na 'Carbon Credits', yeye anakwenda kutafuta waarabu wa UAE, wanashikilia ardhi yetu na kuwanufaisha wao kuliko sisi wenyewe. Viongozi wa aina hii inafaa kuwajibishwa kwa sababu wanaihujumu nchi.
 
Haa hiyo awamu ya 5 inaonyesha ulikuwa umeipania kweli ya 6..naona umeitetea kweli kwa external factor. Lakini amna awam ya hivyo kama hii 6
 
Hakuna uhalisia hapo...kwani Rwanda na Kenya wana siri gani inayotuzidi mpaka currency yao ni stable?
 
Achana wasomi wa ki-Tanzania akiwa Hana kazi anadadavua taaluma yake vizuri
Akipata ajira Serikalini anaongea Yale Tu ya kumpendeza Boss wake Anaachana na Taaluma yake
 
Wew umeongea ukweli ..blaa blaa za export ni kwa watu waliokosa hoja ..huweiz kuwaambia watu wale kwa urefu wa kamba zao halafu utegemee moujiza ufisadi ni wa kiwango cha juu sana
 
Kwanini wasimrudishe Dr Mpango, alidhibiti inflation, mikopo ya hovyo, kwa kiasi kikubwa ufisadi na rushwa ilipungua tukafika uchumi wa kati hata Dunia ikiwa katikati ya janga la Covid biashara duniani ikiwa imesimama kwa kiasi kikubwa.
Mpango alikuwa chini ya kiongozi imara ..sasa wa kwetu anarembu na kusema mkalitizama ..basi unategemea miujiza gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…