Shilole aamua kuonyesha minyonyo Ubelgiji

Usishangae na mwezi wa Ramadhan wanaalikwa kwenda kufuturu kuleee....pembezon wa Bahar
 
Dah hizi show za kujidhalilisha wanazoenda kupiga bar! Eti ulaya! Dada kajidhalilisha sana
 
Ni mji maarufu kwa bandari lakini siku hiyo mabaharia wote walielekea sehemu moja tu...na hata wachezaji wa Royal antwerpen wakiongozwa na mkenya Johanna Omolo nao walielekea sehemu hiyohiyo
Ni wapi hapo sasa?Yees,ilikuwa kwenye bonge la ukumbi ambalo linachukua watu 15,000 na mwanadada wa kitanzania aitwaye Shilole au shishi babe ndiy​e alikuwa stejini akionyesha kile kilichomfanya awe ndiye mwanmuziki bora wa kike bongo.
Alisindikizwa na toyboy wake mr Nuhu na walikamua kweli kweli,kesho yake gazeti maarufu nchini Belgium liitwalo Le Soir lilitoka na heading kuubwa iliyompa maujiko Shilole(shilole tué dans antwerpen)yaani Shilole atikisa Antwerpen
Habari zaidi zitakujia ikiwepo ile ya JenniferLopez kumkumbushia Shishi babe kuhusu ile collabo yao baada yakusikia makamuzi katika sold out concert ndani ya belgium

Adios
 
Mods wa jamii forums ni wanafik sana MTU anatukana dini na mtume wa waislam wao wanachekelea hii forums haina haki
 
ZS mpambe wewe .teh teh teh teh
 

inawezekana anaitwa shilole MOHAMED ila wewe umetafsiri vibaya, tofauti na alivyomaanisha hapo juu.

mimi na wewe tunatofautishwa na kabila, dini ni kitu kidogo ndomana mtu anaweza badili.
 
Huyu apigwa ban ya ku perform ndani ya nchi popote miaka mitano iwe fundisho. Huu ni udhalilishaji , wa wanawake wa tanzania
 
Hii tabia ni ya kukemea. Anadhalilisha wanawake, nguo yenyewe haina maadili. Kwan angeimba amejistiri asingeeleweka.
 
Ok!
-sorry kwa wote mlio kwazika!
*uungwana ni vitendo*
-one blood ,one god for peace love en' harmony*
 
jinga hilo jimama yani lipo lipo tu sijui halijielewi sijui kichwani kumejaa nini... aaaaaaaahhhh
hebu ngoja niishie hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…