Shilole akamilisha usajili mpya. Ajitokeza na mpenzi wake

Sema dogo naona kama muoga muoga, sidhani kama atamaliza msimu huyu😂 lazma abebeshwe virago mapema.
Sidhani kama ni uoga, ni aibu, kuwa na mwanamke aina ya huyo mama ni unadhalilika mbele ya kamera za waandishi maana watu wanajua upo hapo kufanya kazi moja tu na huna mamlaka zaidi ya kufanya anachohitaji huyo aliyekuletea waandishi.
 
Msanii Nguli na Mfanyabiashara mkubwa duniani wa vyakula. Shishi beibi amekamilisha usajili mpya kuelekea mwisho wa mwaka.

NB: Vijana! Uvumilivu ndio silaha kuelekea kufaidi matunda. Usikate tamaa zamu yako bado.

View attachment 3081534
Mjusi yupo juu ya gogo la mbuyu.Tufumbe macho tumuombee kijana dua njema!🙏😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…