Shilole amchana Alikiba

Kwenye page ya michuzi naona ameweka audio ya nyimbo mpya ya Shilole, isijekuwa wanatuachezea akili zetu?

Maana hawa Bongo Mavi na Bongo fleva ni kusanyika la majitu majinga mengi.
Wanakuchezea wewe mjinga mjinga unaetetea ujinga
 
Muandiko huu si wa Shilole, ni kama mwanaume ndio kaandika kutokana na mpangilio wa mawazo na mtiririko wa maudhui yaliyomo.

Hata kama alichoandika ni sahihi ama sio, bado andiko hili limekqa vizuri. Bila shaka ni Mwanasheria wake ama chawa wake Msomi ndio kaandika na Shihibebi kabandika tu.

Shilole hana "akili" za andiko hili!
 
Hivi umeisikiliza vizuri hiyo interview unayoisema?

Yaani interview karibu yote, Shilole kamzungumzia Esha Busheti na malalamiko yake kwa Kiba, malalamiko ambayo kwangu naona ni ya kijinga! Sekunde chache za mwisho ndipo Shilole akazungumzia suala la Followers, tena akimlenga zaidi Esha; na wala sio Kiba!!

I doubt kama kweli umesikiliza hiyo interview, au umesikiliza kipande tu!!
 
Hii comment ni kutoka kwalo matola? miaka ya nyuma umetuhenyesha sana kuhusu kiba. cc. Evelyn Salt
Mimi siyo chawa, kama mtu anafanya mambo ya kipuuzi lazima aambiwe na akemewe.

Unajuwa huyu dogo ukimfuatilia utagunduwa ana matatizo ndio maana mpinzani wa Diamond sasa hivi siyo Kiba ni Konde boy.

Kwa kipaji alichonacho Kiba isingekuwa rahisi kuchukuwa nafasi yake, lakini kwa tabia zake za kidemu sasa hivi battle ni Diamond vs Harmonizer.
 
Kweli akuanzae mmalize. Bibie kapanik hatari, kasahau shombo na nyodo zake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umeongeza chumvi...

Kilichotokea mwanzo wake ni Esha Busheti kumlalamikia Kiba kwamba hakumpa attention kwenye listening party!! Ikaonekana Kiba hakumpa attention Esha kwa sababu ya Shilole!!

99% ya interview unayoisema, Shilole alimlenga Esha, na mwishoni kabisa mwa interview, ndipo Shilole akasema "...yaani yeye... yeye mwenyewe nimemzidi followers. Anayemzungumzia, nimemzidi followers"!

Huyo "yeye" ni Esha!!

Na kimsingi, hoja ya Shilole ilikuwa kumshangaa Esha kwanini ka-mind alichodai hakupewa attention!
 
Ona huyu mjinga
 
KIBURI NA MAJIVUNO NI MOJA YA VITU VINAVYOMPOTEZA KIBA

Jamaa hana washauri wazuri
It's either hana washauri wazuri au huwa hataki timu yenye strong personalities ambao akiekosea watamkemea na kumrekebisha.
 
What is this?!! Don't you young men and women have something better to do!?insteady of westing time on this personal none monetary issues.
 
Nope, Shilole alisema anamzidi Kiba 'followers' na hilo likaibua mipasho baina yao kwani Kiba akaenda Clouds kumkana Shilole kwamba hakutambua uwepo wake and so on and so forth na Shilole akeanda Wasafi media ndipo akajibu vichambo kwa jinsi yake.
All in all mtu akisema amekuzi followers(and in this case Shilole wasn't lying), is it an issue to a man?
Matokeo yake wanachambana mpaka kuhusu nani ana mafanikio kimaisha zaidi ya mwenzie. Aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…