Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Linaalikwa linaenda kuleta shobo na ujuaji mwingiKwa Sadala alienda akaharibu mama Sadala akamchamba hadharani, akadhani angepata kiki kwa Kiba katolewa baru, safiiiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Linaalikwa linaenda kuleta shobo na ujuaji mwingiKwa Sadala alienda akaharibu mama Sadala akamchamba hadharani, akadhani angepata kiki kwa Kiba katolewa baru, safiiiiiii
Bila Shaka ulipiga chabo.Kinachomuuma Shilole alimtombea chooni walivokuwa kwenye Fiesta Mwanza kipindi hicho.Sasa kila akikumbuka roho inamuuma sana.
Wanakuchezea wewe mjinga mjinga unaetetea ujingaKwenye page ya michuzi naona ameweka audio ya nyimbo mpya ya Shilole, isijekuwa wanatuachezea akili zetu?
Maana hawa Bongo Mavi na Bongo fleva ni kusanyika la majitu majinga mengi.
Muandiko huu si wa Shilole, ni kama mwanaume ndio kaandika kutokana na mpangilio wa mawazo na mtiririko wa maudhui yaliyomo.NUKUU YA SHILOLE:
Anandika shilole katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram.
“Hapana kila siku nakosewa nitaka kuongea washauri wangu wanasema nikae kimya.
Hili nimekosewa siwezi kukaa kimya mnanionea
officialikiba nakushukuru sana leo umeuthibitishia ulimwengu mambo yafuatayo :
Una kiburi cha kishamba, unavimba na kupandisha mabega katika namna isiyostahili.
Huna utu ambao watu wako wanakupamba kwamba uko nao. Sawa mimi na wewe hatuna mazoea (Hilo ni kweli kabisa), lakini mimi na wewe tupo katika field moja. Ningeweza kuja kwenye shughuli yako kuonesha upendo tu hata kama sijaalikwa, ungekuwa na utu, haikuwa na haja kwenda redio na kusema “SIJAMUALIKA” : ili mimi nionekane nilivamia tu shughuli tu.
Shame on you Ali. (ila kwa tabia zile za kwenda Marekani kuomba dada zako naniliu hushangazi)
Umethibitisha kwamba wewe hauko ‘organized’. Kwa sababu, utasema nilipostiwa kwenye page yako na kutafutwa na watu wako wakati hawajakutaarifu. Kwa hiyo kwa ukubwa tunaotangaziwa unao Bwana Ali, unataka kusema hujui hata kilichopostiwa kwenye page yako rasmi katika siku yako muhimu.
Kwa hiyo hata Nasibu uliyeshindana naye miaka mingi akakugaragaza angeweza kualikwa bila wewe kujua? (Nasibu humuwezi tusikudanganye).
Wewe ndo msanii wetu wa kimataifa, SIJAPENDA.
Kwa ufupi, sikuenda kwenye shughuli kama mvamizi. Nilialikwa, nimescreenshot post yake na kupost hapo juu.
Shughuli ile ya hovyo hovyo na kupoa kama uji wa mgonjwa, ilihitaji uwepo wangu. YEEES, Niliwasaidia kuchangamsha.
Katika mazingira ya sasa mimi hakuna lolote ninalofaidika kwa kwenda kwenye shughuli ya Ali, sana sana nilienda kumuongezea followers.
Kama nahukumiwa, nihukumuni kwa kupenda shughuli za wenzangu. Kila nikialikwa Zuwena mimi nakweenda kuonesha upendo.
Sitaacha kufanya hivyo kwasababu ya watu waliokosa utu na shukrani kama Ali.
Aah hasira zimeisha, njooni Shishi Food tule ubwabwa”
View attachment 1990886
Hahahahha umenikumbusha mbali....Hii comment ni kutoka kwalo matola? miaka ya nyuma umetuhenyesha sana kuhusu kiba. cc. Evelyn Salt
Ahaaa mwenye shughuli yake, kaka uwanja wako Shilole kamgusa kaka yako.Malaya haeshimiki,.
Hivi umeisikiliza vizuri hiyo interview unayoisema?Sema kumbe hata humu kuna watu wana akili ka za Youtube tu za Tazama hapa Magufuli afufuka.
Kwa heshima ambayo shilole alipewa siku ya listening party na inavyojulikana shilole alishawahi kukiri kua yeye si shabiki wa Ali ila Ali hakuona vibaya akamualika Bidada na kuna watu wengi ambao si kampani ya Ali walialikwa kama Jux pia..Lakini alichokuja kukifanya Huyu Bidada kwenye Re-Fresh kusema anamzid Ali na yeye ni Brand ilihali mtu alikua amekualika hadu kwenye shughuli yake ilikua ni dharau kwa Ali,So alichofanya Ali nae ni kujifanya hamjui kua Alivizia kwenye Shughuli ile na kalikana naona leo lipo lina lialia kwenye vyombo vya habari vyote.
Mimi siyo chawa, kama mtu anafanya mambo ya kipuuzi lazima aambiwe na akemewe.Hii comment ni kutoka kwalo matola? miaka ya nyuma umetuhenyesha sana kuhusu kiba. cc. Evelyn Salt
Umeongeza chumvi...Nadhani wengi wameona upande mmoja wa stori baada ya shilole kupost lile gazeti lakini ukifuatilia shilole ndio aliyeanza dharau akiwa anahojiwa katika kipindi refresh cha wasafi akawa amemdiss Ali na Esha kwamba yeye ni mkubwa kuliko wao na hata listening part ya Ali yeye ndio kafanya imechangamka so alichofanya Ali ni ku backfire tu na obviously anayeanza haonekani ila anaonekana anayemaliza
Ona huyu mjingaMimi siyo chawa, kama mtu anafanya mambo ya kipuuzi lazima aambiwe na akemewe.
Unajuwa huyu dogo ukimfuatilia utagunduwa ana matatizo ndio maana mpinzani wa Diamond sasa hivi siyo Kiba ni Konde boy.
Kwa kipaji alichonacho Kiba isingekuwa rahisi kuchukuwa nafasi yake, lakini kwa tabia zake za kidemu sasa hivi battle ni Diamond vs Harmonizer.
[emoji23][emoji23][emoji23]Uchebe. Pole tunajionea wenyewe .....tulikulaumu bure
Unaleta mwenyewe wowowo lako, nikikutia madole usiruke fala wewe.Ona huyu mjinga
Labda hakumfikisha, otherwise wasingeingia kwenye mipasho ya kurushiana vijembe.Kama ulichoandika ni kweli unashindwa vipi kumuheshimu mwanamke uliyesex naye?
Huyu mtoto mshamba sana tena sana.
It's either hana washauri wazuri au huwa hataki timu yenye strong personalities ambao akiekosea watamkemea na kumrekebisha.KIBURI NA MAJIVUNO NI MOJA YA VITU VINAVYOMPOTEZA KIBA
Jamaa hana washauri wazuri
Mmoja Kutoka Kigoma Buzebazeba,Mwingine IgungaHao kina shilole na Ali kiba ndo kina Nani hapa mjini?
Umeandika kana kwamba kila mtu humu anawafahamu
What is this?!! Don't you young men and women have something better to do!?insteady of westing time on this personal none monetary issues.NUKUU YA SHILOLE:
Anandika shilole katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram.
“Hapana kila siku nakosewa nitaka kuongea washauri wangu wanasema nikae kimya.
Hili nimekosewa siwezi kukaa kimya mnanionea
officialikiba nakushukuru sana leo umeuthibitishia ulimwengu mambo yafuatayo :
Una kiburi cha kishamba, unavimba na kupandisha mabega katika namna isiyostahili.
Huna utu ambao watu wako wanakupamba kwamba uko nao. Sawa mimi na wewe hatuna mazoea (Hilo ni kweli kabisa), lakini mimi na wewe tupo katika field moja. Ningeweza kuja kwenye shughuli yako kuonesha upendo tu hata kama sijaalikwa, ungekuwa na utu, haikuwa na haja kwenda redio na kusema “SIJAMUALIKA” : ili mimi nionekane nilivamia tu shughuli tu.
Shame on you Ali. (ila kwa tabia zile za kwenda Marekani kuomba dada zako naniliu hushangazi)
Umethibitisha kwamba wewe hauko ‘organized’. Kwa sababu, utasema nilipostiwa kwenye page yako na kutafutwa na watu wako wakati hawajakutaarifu. Kwa hiyo kwa ukubwa tunaotangaziwa unao Bwana Ali, unataka kusema hujui hata kilichopostiwa kwenye page yako rasmi katika siku yako muhimu.
Kwa hiyo hata Nasibu uliyeshindana naye miaka mingi akakugaragaza angeweza kualikwa bila wewe kujua? (Nasibu humuwezi tusikudanganye).
Wewe ndo msanii wetu wa kimataifa, SIJAPENDA.
Kwa ufupi, sikuenda kwenye shughuli kama mvamizi. Nilialikwa, nimescreenshot post yake na kupost hapo juu.
Shughuli ile ya hovyo hovyo na kupoa kama uji wa mgonjwa, ilihitaji uwepo wangu. YEEES, Niliwasaidia kuchangamsha.
Katika mazingira ya sasa mimi hakuna lolote ninalofaidika kwa kwenda kwenye shughuli ya Ali, sana sana nilienda kumuongezea followers.
Kama nahukumiwa, nihukumuni kwa kupenda shughuli za wenzangu. Kila nikialikwa Zuwena mimi nakweenda kuonesha upendo.
Sitaacha kufanya hivyo kwasababu ya watu waliokosa utu na shukrani kama Ali.
Aah hasira zimeisha, njooni Shishi Food tule ubwabwa”
View attachment 1990886
Jibu lako zuri Sana nazani utakuwa umesomea cubaMaisha yake akijifungia ndani !!akiyaleta mtandaoni yanatuhusu wote...upo
Nope, Shilole alisema anamzidi Kiba 'followers' na hilo likaibua mipasho baina yao kwani Kiba akaenda Clouds kumkana Shilole kwamba hakutambua uwepo wake and so on and so forth na Shilole akeanda Wasafi media ndipo akajibu vichambo kwa jinsi yake.Nadhani wengi wameona upande mmoja wa stori baada ya shilole kupost lile gazeti lakini ukifuatilia shilole ndio aliyeanza dharau akiwa anahojiwa katika kipindi refresh cha wasafi akawa amemdiss Ali na Esha kwamba yeye ni mkubwa kuliko wao na hata listening part ya Ali yeye ndio kafanya imechangamka so alichofanya Ali ni ku backfire tu na obviously anayeanza haonekani ila anaonekana anayemaliza