Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Wenzio watakuita mtetezi wa wanawake..shauri yako.
Potelea pwetee.. Ila kwenye ukweli tuseme.. Unawezaje kumpiga mwanamke kiasi hicho, shida moja hapo jamaa kaona ana nguvu kuliko Shilole that why,, haya alivyompiga kapata faida gani, kwani matatizo yake ndio yameisha, hata kama makofi mawili matatu kwenye ndoa hayakosekani ila sio kwa kipigo hicho, utasema Shilole kapata ajali kumbe kipigo.
 
Uchebe hajui kupiga ilitakiwa ale kipigo mpaka atambae na aandikie ulimi,

Keshapata danga jipya huyo limemwambia aachane na uchebe
 
Mwanamke hapigwi....
Huyu sijui uchebe sjui ubeche Vp....

Ova
 
Ukiua utaishia jela

Ova
 
Kwa hio wife ulisha achana nae au?
 
Criss Brown alimpiga kichapo Cha mbwa Koko Rihana.
 
Teh hivi kati ya jinsia ya kiume na ya kike ni ipi inayoongoza kwa kuchepuka kwenye ndoa
 
Halafu kuna watu wazima na akili zao hapa wanashangilia sijui wanaona raha gani mtu kuumizwa hivyo.
Umeona eeh ,, unajua hii scenario watu wengi wanaamini Shilole ana makosa kisa ni famous na ana circle kubwa ya watu.. Na ndio hao wanaoshangilia kwa ku mhukumu kwa muonekane wake wa nje (celebrity) kitu ambacho si sahihi na hata kama ana makosa kweli bado hastahili kutendewa hivyo.
 
Domo zege kwenye ubora wako unatafuta sympathy ya wanawake wazame PM kwako.
 
Mwanaume kuandika "umeona eeeeeh" huo ni upuuzi na ni dalili za awali za kuelekea kuwa shoga wa kiwango kikubwa mno.


Sisi wanaume tunakushauri ujirudi acha uzwazwa.
 
Hawakumbukagi jema

Ova
 
Domo zege kwenye ubora wako unatafuta sympathy ya wanawake wazame PM kwako.
Jiheshimu wewe uheshimiwe, kwa hiyo wewe unaona Shilole alivyopigwa hivyo ni sawa? What if angekua dada yako kaolewa sehemu na kapigwa hivyo ungechukuliaje, acheni roho zenu mbaya .. Aliyekwambia kumpiga mwanamke ndio ushujaa nani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…