Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Nimesikitika sana ..Kuna wanaume hawana shukrani mwanamke akustiri uonekane mtu mbele za watu na bado wamfanyia Mambo meusi..Hana haya na sura lake baya Kama sokwe.
Fafanua, anamsitiri vipi!!?
Unakumbuka aliyokuwa anamfanyia Nuhu Mziwanda?
 
Acha mkuu yani Mwanaume akipigwa na mdada jamii inashabikiaa sanaa ona leo shilole kanyooshwa yeye ba Kidume uchebe watu wotee wanamind...!! Alidhani uchebe ni nuhu mziwandaa
True sana mkuu
 
Kwa kutundika mtandaoni tayari umeonyesha wewe ni tatizo.
Wenzako huwa wanaenda kuonana na washenga . kazi zote humalizwa na hao.
Kazi ya kuamua kuachana hufanywa siri na kwa heshima kubwa ili watoto na jamii isiugulie umevunja haki ya watoto. Haki ya Baba
Paza sauti ni ujinga na ushamba , hufai kuolewa labda kwa jigijigi. Mwombe msamaha mume wako.
 
kwanini apigwe watu wanashindwa kujiuliza
 


Watu wanalalamika tu kiukweli wanawake some times wanakera na kuudhi sana, kuna muda mtu unavumilia mpaka unashindwa wanamaneno ya hovyo hovyo sana hawa msiwatetee atafutwe mwamba na yeye aseme shida ni nini kisa shilole watu ndo kelele nyingi hapana me ntakuwa wa mwisho kuamini kama kaonewa
 
Safi mkuu, mwanamke muonye mara ya kwanza, ya pili ya 3 kama aelewi na una ona hakuna mabadiliko yoyote una achana nae, kwa sababu unaweza kuua mtoto wa watu bure ukapata matatizo wakati kuna watu kibao wanakutegemea, wazazi, wadogo zako n.k

Mfano yule jamaa Mtanzania aliyemchoma dada wa watu visu akamuua kule Uingereza kipinde kile, sasa hivi si anaozea jela tu na majuto kibao.
 
Mm nimethibitisha tu kua kumbe hata mchepuko eti unaweza kumkataza mwanamme asichepuke na mwanamke mwengine anapinga upigaji na kuwaambia wapaze sauti kumbe yy anakula vitasa daily na kimya Ama kweli kumpeleka biharusi kwa kungwi mjane ni kumvunjia ndoa kabla hajaingia.
 



Twende na hii pia ⬇️⬇️⬇️

Shilole amchapa makofi mpenzi wake Uchebe mbele za watu
 


Hapa vipi


Msanii Shilole ampiga makofi Nuhu Mziwanda ambaye ni mchumba wake
 
Mpaka hapa tushajua tatizo liko wapi
KARMA
 
Mm nimethibitisha tu kua kumbe hata mchepuko eti unaweza kumkataza mwanamme asichepuke na mwanamke mwengine anapinga upigaji na kuwaambia wapaze sauti kumbe yy anakula vitasa daily na kimya Ama kweli kumpeleka biharusi kwa kungwi mjane ni kumvunjia ndoa kabla hajaingia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…