Na uchebe angekuwa kaka yako?
Watu wanamkandamiza Uchebe bila kumsikiliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na uchebe angekuwa kaka yako?
Ananunuliwa mpaka nguo ya ndani nshawaona kwa jicho langu,mkali Shilole "hiyo sijaipenda rangi yake mpe ile pale" kiruuu!Umarioo wa Uchebe ukoje!? Si ana ofisi yake (garage)? Unataka kusema haingizagi pesa!!??
This coming from you is more than a blessing..You're right on point son, and i like the way you think.
MKUU UISHI MILELE, NTAKUWA NAKUFUATILIA KWA KARIBU ZAIDI.
Keep your energy up bravCOVID-19 leave.
Ukipigana na mwanmke ukapigwa unachekwa, ukishinda unasemwa. Wanawake wanajua watafanya nn lawama zirudi kwa mwanaume.Watu wanamkandamiza Uchebe bila kumsikiliza
Fafanua, anamsitiri vipi!!?Nimesikitika sana ..Kuna wanaume hawana shukrani mwanamke akustiri uonekane mtu mbele za watu na bado wamfanyia Mambo meusi..Hana haya na sura lake baya Kama sokwe.
Hata mi nashangaa mkuu.. labda jamaa alishikwa sehemu nyeti..😂😅Aisee! Hivi mwanaume uliyekamilika unapataje nguvu za kumpiga mtoto wa kike namna hii???
True sana mkuuAcha mkuu yani Mwanaume akipigwa na mdada jamii inashabikiaa sanaa ona leo shilole kanyooshwa yeye ba Kidume uchebe watu wotee wanamind...!! Alidhani uchebe ni nuhu mziwandaa
Hivi na kwetu sisi wanaume tunapata wapi ujasiri wa kuoa mwanamke ambaye kachora tatoo kwenye kifua na maziwa! Wanawake wana namna hii hawafai kuolewa kabisa.
Tena uchebe naona kamgusa tu, kwangu angechezea vitasa zaidi muda huu angekuwa katundukiwa drip.
Officialshilole Naandika haya, nikiwa na akili timamu na utulivu, La kwanza kabisa nataka KUOMBA RADHI JAMII YANGU. Naomba radhi kwa sababu niliwaaminisha ndoa yangu haina tatizo, huku ukweli ukiwa hauko hivyo, nimekuwa mtu wa kuambulia vipigo na MENGINE yasiyozungumzika, Naomba radhi kwa sababu niliposikia wanawake wenzangu wakipigwa niliwaambia PAZENI SAUTI, niliposikia mwanamke kule Kigamboni ameuwawa na kuchomwa moto niliomboleza na jamii na kusema Bora angesema".. huku mimi nikijikausha na kujitoa kwenye kundi lao wakati ukweli wangu MIMI NI MWENZAO, Naomba radhi.
Mimi ni kioo cha jamii, tena sura kubwa ya wanawake. Leo numeona nivunje ukimya kwa kuweka wazi kwamba MUME WANGU ASHRAFU SADIKI, maarufu kama UCHEBE AMEKUWA ANANIPIGA SAAANA, na tena hata baada ya kunipiga hajali kupiga simu wala kujua naendeleaje, nauguzwa na watu baki hospitali, na bado manyanyaso mengine yanayoikosesha hii ninayoiita Ndoa uhai na furaha
na zaidi nina WATOTO, watoto wanaoniangalia kama Baba na Mama, leo nikubali kufa na kuacha wanangu barabarani, SITAWEZA
'Uchebe' ni mwanaume niliyempenda, nilimvumilia kwa madhaifu yote, nikampa kila kitu, (Utu wangu, Mali Zangu na hata palipotakiwa kumuendeleza asimame mwenyewe nilifanya kwakuwa nilijua tuko pamoja), lakini HILO HALIKUWAHI KUZUIA VIPIGO, DHARAU NA USALITI.
Siku 2 zilizopita baada ya kutoka SABASABA KUTAFUTIA WATOTO WANGU NA KUMTAFUTIA YEYE NILIPIGWA SANA. SABABU ZA KUPIGWA NI MIGOGORO MIDOGO YA KAWAIDA AMBAYO IPO KWENYE KILA NDOA, sio kwamba amenifumania au mambo yanayoshindwa kuzungumzika, hapana, Tena Namuheshimu sana, lakini solution aliyoiona ni kunipiga kinyama bila huruma, tena kwa kunishtua na ngumi nikiwa usingizini, Kama mnavyoona picha hapo ni matukio ya siku tofauti tofauti.
Najua nitalaumiwa kwa kuweka hili mtandaoni, ILA SINA NAMNA, MAISHA YANGU NI MAISHA YA WATU KWA KIASI KIKUBWA, JAMII INANITAZAMA KAMA MFANO.. Nimefika mwisho, na kuanzia sasa naomba nisitambulike kama Mke wa Uchebe, ila Mama alieamua kuweka maslahi ya watoto wake mbele na kuamua kuwa mwenyewe kwa usalama na furaha yake
Wakati nahangaikia mambo yangu ya ndoa, post hii itumike kuwakumbusha wanawake TUVUNJE UKIMYA, TUPINGE UKATILI, TUTAKUJA KUULIWA SABABU
Pia soma > Shilole amchapa makofi mpenzi wake Uchebe mbele za watu
Ndio hapo..Unakuta mke anarudi asubuhi kumekucha na pia ukimchunguza unakuta hajavaa nguo ya ndani katika kumhoji anakujibu vitu vya ajabu lazma apate kipigo kidogo.kwanini apigwe watu wanashindwa kujiuliza
Safi mkuu, mwanamke muonye mara ya kwanza, ya pili ya 3 kama aelewi na una ona hakuna mabadiliko yoyote una achana nae, kwa sababu unaweza kuua mtoto wa watu bure ukapata matatizo wakati kuna watu kibao wanakutegemea, wazazi, wadogo zako n.kSipo huko Instagram, ila hiyo retweet yake labda kaifuta...
Nilishaapa sitakaa nimpige mwanamke wangu, na hii ilitokea baada ya kuwa na misunderstanding na mdogo wangu wa kike, nikampiga vibao vya kutosha tu.. ila baada ya hasira kuisha nilimwomba dogo msamaha eventhough yeye ndiye alikuwa na makosa. Dogo alinijibu tu "don't ever fight or beat any other woman in your life".. Since then niliapa sitakuja kumpiga either mpenzi au mke wangu, na naomba Mungu tu ndio aniongoze..