Hahaha ni sawa na kusubiri azam marine ubungoNimekuelewa mzee[emoji1306][emoji1306], hapa aliebugi ni bwana Uchebe, alijua itakuwa rahisi kumtuliza shishi, wakati mgahawa unaendeshwa na masponsor ule.
Hahaha jamaa mtata sanaTena amekutwa amelala akaamshwa kwa ngumi ya kwenye jicho [emoji1787]
Nimesikitika sana ..Kuna wanaume hawana shukrani mwanamke akustiri uonekane mtu mbele za watu na bado wamfanyia Mambo meusi..Hana haya na sura lake baya Kama sokwe.
Hata angekua anafanyia ndani kwake hana sababu ya kumpiga. umemshindwa mtu achaneni kwa amani, kwanza mwanaume alikua analelewaalitegemea anakula vya nani kama sio wanaume wenzie? Shilole kakosea angempiga hata chupa wawe even
We Jamaa lazima umtetee Shilole. Si ulisema unashinda kwenye mgahawa wa Shishi unakula na kunywa bure[emoji23]Na mm namshangaa, mm uchebe namjua vzr na ukwl ni kwamb shishi anaumaarufu tuu hela hana uchebe ndio anavisenti kdgo. Ukitaka kumpata uyu jamaa jioni kwenye maduka ya simu apa Makumbusho bus stand anakuwepo sana.
Hahah Uchebe aliona akumbushie Mambo ya dojo kidogo,ngumi ya kushtuliwa usingizini sio ya mchezo mchezo ujue.Hahah ndo umenikumbusha sasa.
Au itakuwa alijaribu na huo mchezo kwa mcheza karate uchebe akapewa kipigo heavy.
Afu utakuta huyo anaesema hawezi kumpiga mwanamke hajaoa!!Hayajakukuta mzee usiseme hvyo hujui alichokifanya huyo na huenda ukikifahamu unaweza kusema kwann asingemvunja ata mkono. Hawa wanawake hawa nadhan waliooa au wanaoishi na wanawake kwa mda mrefu watakuwa wananielewa
AiseeUsiache mbachao kwa mswala upitao
HahahaNa wanawake bila kushtuliwa na ngumi usingizini hua hamuelewi kabisa
Alitakiwa kuwa mpole tu, nuhu kavumilia mengi sana ujue.Hahaha ni sawa na kusubiri azam marine ubungo
Na wanawake bila kushtuliwa na ngumi usingizini hua hamuelewi kabisa
Inakupata barabara maana huwezi ikwepa na mausingizi yako๐๐๐๐๐Hahah Uchebe aliona akumbushie Mambo ya dojo kidogo,ngumi ya kushtuliwa usingizini sio ya mchezo mchezo ujue.
Umeshindwa kuweka hata picha kweli?
Mwanadada ana nido za ukweli yaani naona jamaa alikuwa anamwagia wadhugu hapo hapo kifuaniOfficialshilole Naandika haya, nikiwa na akili timamu na utulivu, La kwanza kabisa nataka KUOMBA RADHI JAMII YANGU. Naomba radhi kwa sababu niliwaaminisha ndoa yangu haina tatizo, huku ukweli ukiwa hauko hivyo, nimekuwa mtu wa kuambulia vipigo na MENGINE yasiyozungumzika, Naomba radhi kwa sababu niliposikia wanawake wenzangu wakipigwa niliwaambia PAZENI SAUTI, niliposikia mwanamke kule Kigamboni ameuwawa na kuchomwa moto niliomboleza na jamii na kusema Bora angesema".. huku mimi nikijikausha na kujitoa kwenye kundi lao wakati ukweli wangu MIMI NI MWENZAO, Naomba radhi.
Mimi ni kioo cha jamii, tena sura kubwa ya wanawake. Leo numeona nivunje ukimya kwa kuweka wazi kwamba MUME WANGU ASHRAFU SADIKI, maarufu kama UCHEBE AMEKUWA ANANIPIGA SAAANA, na tena hata baada ya kunipiga hajali kupiga simu wala kujua naendeleaje, nauguzwa na watu baki hospitali, na bado manyanyaso mengine yanayoikosesha hii ninayoiita Ndoa uhai na furaha
na zaidi nina WATOTO, watoto wanaoniangalia kama Baba na Mama, leo nikubali kufa na kuacha wanangu barabarani, SITAWEZA
'Uchebe' ni mwanaume niliyempenda, nilimvumilia kwa madhaifu yote, nikampa kila kitu, (Utu wangu, Mali Zangu na hata palipotakiwa kumuendeleza asimame mwenyewe nilifanya kwakuwa nilijua tuko pamoja), lakini HILO HALIKUWAHI KUZUIA VIPIGO, DHARAU NA USALITI.
Siku 2 zilizopita baada ya kutoka SABASABA KUTAFUTIA WATOTO WANGU NA KUMTAFUTIA YEYE NILIPIGWA SANA. SABABU ZA KUPIGWA NI MIGOGORO MIDOGO YA KAWAIDA AMBAYO IPO KWENYE KILA NDOA, sio kwamba amenifumania au mambo yanayoshindwa kuzungumzika, hapana, Tena Namuheshimu sana, lakini solution aliyoiona ni kunipiga kinyama bila huruma, tena kwa kunishtua na ngumi nikiwa usingizini, Kama mnavyoona picha hapo ni matukio ya siku tofauti tofauti.
Najua nitalaumiwa kwa kuweka hili mtandaoni, ILA SINA NAMNA, MAISHA YANGU NI MAISHA YA WATU KWA KIASI KIKUBWA, JAMII INANITAZAMA KAMA MFANO.. Nimefika mwisho, na kuanzia sasa naomba nisitambulike kama Mke wa Uchebe, ila Mama alieamua kuweka maslahi ya watoto wake mbele na kuamua kuwa mwenyewe kwa usalama na furaha yake
Wakati nahangaikia mambo yangu ya ndoa, post hii itumike kuwakumbusha wanawake TUVUNJE UKIMYA, TUPINGE UKATILI, TUTAKUJA KUULIWA SABABU
Akusitiri mbele za watu alafu mkiwa ndani analeta dharau????Nimesikitika sana ..Kuna wanaume hawana shukrani mwanamke akustiri uonekane mtu mbele za watu na bado wamfanyia Mambo meusi..Hana haya na sura lake baya Kama sokwe.
๐๐All in all kupigwa jaman na utu uzima huu,hapana kwakweli.umenishindwa tabia nipige chini tu.