Mmh kama vile neno la kitigo tigo
teh hebu wagombane tujue zaidi kwa kinagaubaga huu ubuyu, ha ha ha watu na roho mbaya zetu
cc Ms.Lincoln
Pale analelewa kama mtoto kwa mama yani raha tu
Huu utakuwa wimbo hawa lazima wana tafuta kick..
Insta leo patamuuu...embu kalete mscreenshot shoga shishi kashusha nyingine
Teh TehShishi anajiandaa kufanya colabo na J Lo
Aiseeee...ngoja tuone...Kidume unataka raha tu 'pesa hauna 'na bado siunaleta ujanja kwa mtoto wa igunga 'mjini hapa 'halafu sina habari 'wacha niwe busy na kazi zangu tu'mapenzi yashanishinda mie.nawapenda sana mashabiki wangu! Manopenda mitelemko kazi mnayo kupandisha vitonga hamtaki mtanyoookaa na kama ulikuwa unatembelea Kik yangu basi katafute snare @shilolekiuno
ha ha ha haya shilole huyo, tusubiri na jibu la nuhu sijui atatuambia kuwa shishi ana rambooo
Ms.Lincoln hii sio Kiki naona things are gering serious
am so wandazzz
Reply kwenye post ake,nae atakujuza..🙄Ganda la ndizi kamaanisha nini?
Kidume unataka raha tu 'pesa hauna 'na bado siunaleta ujanja kwa mtoto wa igunga 'mjini hapa 'halafu sina habari 'wacha niwe busy na kazi zangu tu'mapenzi yashanishinda mie.nawapenda sana mashabiki wangu! Manopenda mitelemko kazi mnayo kupandisha vitonga hamtaki mtanyoookaa na kama ulikuwa unatembelea Kik yangu basi katafute snare @shilolekiuno
ha ha ha haya shilole huyo, tusubiri na jibu la nuhu sijui atatuambia kuwa shishi ana rambooo
Ms.Lincoln hii sio Kiki naona things are gering serious
am so wandazzz
Nakaaya alichora jina la M1 ila baada ya penzi kuvunjika akatafutwa mtaalamu wa tatoo akapimp mchoro wa jina na kuufanya kuonekana kama flower flani na sio jina tena.
Hii sio kik kwakweli, na yupo kwenye kipindi cha rusha roho cha geah kasema mipasho inaendeleaHaya ni makavu aisee, sidhani kama ni kiki.
Mwili unaeza kua kama album ya picha vile teh make ni kuweka sura za mabebs tuKama Amber Rose alivyoifuta ile sura ya Wiz
Mwili unaeza kua kama album ya picha vile teh make ni kuweka sura za mabebs tu
Unajua Nuhu na Shilole wako radhi wapigane hadharani kutafuta kick..Hahaha hata kama ni Kiki jamani, me hayo majina waloitana sasa ganda la ndizi vs Asha ngedere. Ningenuna kwa kweli teh, ngoja tusubirie collabo yao
Ndio maana najua Nuhu sidhani kama anaweza kumuacha Shilole..Pale analelewa kama mtoto kwa mama yani raha tu