Shindano kwa wapishi wa JF

KWA HESHIMA YA JF na wapenzi waJF, fani yangu ya mapishi ni hii, na wote tuburudike kwa maakulati:-
1. hii yaitwa kifurushi cha kuku*
yaani vipande vya kadari za kuku,kaanga kwa dakika 7~10 na vitungu na nyanya,weka chumvi kidogo tu na pilipili manga, Waweza chukua chapati kwa kuzungushia au mkate/boflo ukanyofoa ule wandani na ukajalizia hiyo kuku. halafu unakata vipand viwili na mnashare na partner wako!!!!!

2. Supu (soup) ya vinumbu(viazi vitamu)
yaani unachemsa vinumbu (viazi), unachemsa carroti kwa maji baada ya kupoa unamenya maganda..kata vipande vidogo vingi weka kitungu thomu,na tangawizi.. kama una blender piga na kunyunyulizia maji kama glass 5, au ponda ponda hadi viyayuke na maji alafu rudishia kwenye moto mdogo dakika 10. Poa weka giligilani vipande3. tayari kunywa na partner wako supu bomba!!!!
 
Mmh, hii diet ya familia ya paw ni bussiness formulae. Namhisi snowhite anammendea baby wangu, akijua si nimekwisha?
I am disqualifying myself

ahahahahahahahhahahhahha mi nshatupia hapo sasa ole wako akikute ambacho we huweki
cc Paw kwa taarifa in case of anything!
 
Last edited by a moderator:
Hiyo zawadi kweli au fix;
Ngoja niingie jikoni nitakuja na menu ya kule kwetu milimani.
 

Mbona ushashinda sasa mwalimu mwenzangu
 
DAY I
1. Chai ya iliki na karafuu kidogo na kitafunwa cha magimbi ya nazi
2. Ndizi za mchemsho na samaki wa bichi, sato, mboga ya mabogana juice ya tikiti maji
3. Mkate wa muhogo na maharage ya nazi.

DAY TWO
1. Maziwa fresh(boiled) vipande vya viazi vitamu vya kukanga
2. Salad ya matunda (nanasi, embe, ndizi, parachichi)
3. Mchemsho wa viazi ulaya, mchicha na chai ya rangi na embe bivu

DAY III
1. Uji wa ulezi
2. Toke na utumbo uliochemshwa na samli, na spinach na juice ya ukwaju
3. Kuku wa kukaanga na viazi ulaya vilivyokaangwa na juice ya passion na embe.

DAY IV
1. Ndizi mshale ya kukaanga na chai ya mdalasini
2. Kande za nyama na rojo ya mchuzi wa nazi na cabichi
3. Ndizi samaki wa kukaanga aliye ungwa mchuzi wa nazina natembele

DAY V
1. Maboga na uji wa mtama
2. Mchemsho wa ndizi viazi ulaya na nyaya chungu na nyama.
3. Yai la kukaanga na salad ya mboga mboga iliyopikwa kwa mvuke

DAY VI
1. Supu ya pweza na vipand vya ndizi za kuchemsha na juice ya ubuyu
2. Bata wa kuroast na mseto wa denguna mbaazi na chinese
3. Foil ya ng'ombe na ndizi za kuchoma na juice ya carrots

DAY VII
1. Viazi vitamu na chai ya maziwa
2. Mchensho wa samaki, njegele na mbaazi na vipande ya ndizi
3. Salad ya matunda creamed
@The Boss pamoja na menu hii nilikuwa na ombi moja, umetulimit ugali, lakini bado kuna ugali kama wa mtama au wa mhogo ni mzuri tu kwa afya za walaji, at least ungeruhusu aina hizi mbili kwenye uandaaaji wa menu.
Nawakilisha
 

safiiiiiiiiii!!
naona ukaamua kuudamkia umenu!!
yani dah!nzuri mpk bas!

nafkr ugali aliomaanisha kaka mkubwa ni wa mahindi tungewweza pia kuwekamo ugali wa ndizi,toke likiiva si huwa tunalisonga?
af liliwe na samaki au kambale m
bichi!!!
asee The Boss sijui umewaza nn.mawali ba ugali yankeraaaaaa!!! af sikuwa naamini wiki yeza isha bila kuyala bana!!
 
Last edited by a moderator:
Day 1
Chai ya rangi au maziwa ukiweza kupata low fat milk powa mayai 2 yakuchemsha
.Viazi vya kuchemsha na karot hoho na nyanya kitunguu unaweza kutupia nazi kidogo usiweke mafuta
.saladi ya mbogamboga na glass ya mtindi

Day2
.chai ya rangi na sosej ya kuchemsha bakuli la fruit salad
.ndizi nyama mchemsho weka nazo tu
.salady ya mbogamboga na stake ya kitimoto ya kuchoma

.

Day3
.glass ya maziwa fresh na viazi vitamu
.ndizi za maharage wale wa klm wanajua hii na natural juice
.supu ya samaki nyingi uwezavyo

Day 4
.supu ya kuku wa kienyeji hakikisha unatoa ngozi
.viazi mchemsho na choroko juice isikosekane
.saladi ya mbogamboga na mtindi

Day 5
.chai ya rangi na mihigo yakuchemsha
.mashed potatoes na njegere za nazi na vegies
.mbogamboga na nyama ya ngombe yakuchoma,juice

Day 5
.srumbled egg na glass ya juice
.kuku wa kuchoma na baked potatoes na veggies
.bakuli ya mbogambogana juice

Day 6
.magimbi na glass ya mtindi
.ndizi nyama
.supu ya samaki na ndizi nchamsho mbili

Day7
.tengeneza kabbabs au catless na chai hapa najipongeza na ka brown break natengeneza veggie sandwich
.kitimoto yakuchoma nandizi rosti kchumbari kidogo
.veggie soup au potato soup
 

We acha tu, nimekumbuka kipindi kiel tunakua, full magimbi, mihogo na magimbi. Yaani full fresh food, siku hizi ma junk food hadi kichefu chefu.
Usinikumbushe kambale, nimemmisijee kumlaa.

Huyou The Boss ana akili sana, ugali wali siyo ishu kabisa. Kama ataruhusu ugali wa mtama na muhogo tutaedit menu. The Boss pleasee
 
Last edited by a moderator:
He he he, nyie hangaikeni na kuwapa majani, afu akistopisha ninght food uanza tafuta mchawi?!. There is no way zombie anaweza kuishi bila ugali na wali kwa wiki nzima, at least 5 times per week.

ahahahahahahahhahahhahha mi nshatupia hapo sasa ole wako akikute ambacho we huweki
cc Paw kwa taarifa in case of anything!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…