Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
day 1
1.mashed potato na chai ya rangi yeny hiliki
2.maziwa ya mtindi na viazi ya kuchemsha
3.samaki na ndizi bukoba vitakuw vyakcemsha,na juice y ukwaju
day 2
1.mtori
2.viazi mviringo nitachemsha hn vikaange na kitunguu
3.futari ya magimbi n chai ya maziwa yenye karafuu na zaatar (@farkihna ole wako usinipe ushindi)
day 3
1.supu ya mboga mboga(karoti cabbage tangawizi kidogo ,vitunguu w )na viazi vitamu hapa Kaunga atakatika vidole
2.chips na nyama ya mbuzi foiled.
3.maboga ya Nazi,na chai ya rangi this time itakuwa na tangawizi tu
day 4
1.smoothie ya embe,tikiiti maji na maziwa fresh ya baridi
2.mihogo ya kuchemsha ,dagaa za nyasa zenye karanga na juice ya nanasi
3.supu ya kambale mkavu na ndizi (just tossed)
day5
1.mahindi ya kuchemsha(ahahaaha au na huu ni ugali eti The Boss) na chai ya mchaichai
2.magimbi ya karanga na mboga za majani(kisamvu kitatulia hapa nafkiri)
3.ndizi mzuzu za kuchoma na samaki wa kuchoma pia ,plus salad ya nyanya na parachichi ,juice yoyote poa
day 6
1.uji wa mashed boga mixed na sauce ya karanga
2.mashalali (ndizi mshale laini) ya nyama y mbuzi,bila nyanya kitunguu,nazi,wala mafuta just chumvi !
3.mixer ya prawns,ngisi, pweza na salad ya colflower,karoti na zabibu kavu
day 7
1.supu ya ulimi
2.viazi vikuuu na sauce ya karanga yenye nyanya chungu wapi KOKUTONA
3.mixer ya kuku (nyamaa kuku vipande vidogo vidogo,pilipili kwa wingi wa kweli!,viazi ya kutupia,coliflower ikatwekwenye vishina vile)
uuuh kichwa kimeumaje sasa!
DAY I
1. Chai ya iliki na karafuu kidogo na kitafunwa cha magimbi ya nazi
2. Ndizi za mchemsho na samaki wa bichi, ysato, mboga ya mabogana juice ya tikiti maji
3. Mkate wa muhogo na maharage ya nazi.
DAY TWO
1. Maziwa fresh(boiled) vipande vya viazi vitamu vya kukanga
2. Salad ya matunda (nanasi, embe, ndizi, parachichi)
3. Mchemsho wa viazi ulaya, mchicha na chai ya rangi na embe bivu
DAY III
1. Uji wa ulezi
2. Toke na utumbo uliochemshwa na samli, na spinach na juice ya ukwaju
3. Kuku wa kukaanga na viazi ulaya vilivyokaangwa na juice ya passion na embe.
DAY IV
1. Ndizi mshale ya kukaanga na chai ya mdalasini
2. Kande za nyama na rojo ya mchuzi wa nazi na cabichi
3. Ndizi samaki wa kukaanga aliye ungwa mchuzi wa nazina natembele
DAY V
1. Maboga na uji wa mtama
2. Mchemsho wa ndizi viazi ulaya na nyaya chungu na nyama.
3. Yai la kukaanga na salad ya mboga mboga iliyopikwa kwa mvuke
DAY VI
1. Supu ya pweza na vipand vya ndizi za kuchemsha na juice ya ubuyu
2. Bata wa kuroast na mseto wa denguna mbaazi na chinese
3. Foil ya ng'ombe na ndizi za kuchoma na juice ya carrots
DAY VII
1. Viazi vitamu na chai ya maziwa
2. Mchensho wa samaki, njegele na mbaazi na vipande ya ndizi
3. Salad ya matunda creamed
[B The Boss [/B]pamoja na menu hii nilikuwa na ombi moja, umetulimit ugali, lakini bado kuna ugali kama wa mtama au wa mhogo ni mzuri tu kwa afya za walaji, at least ungeruhusu aina hizi mbili kwenye uandaaaji wa menu.
Nawakilisha
safiiiiiiiiii!!
naona ukaamua kuudamkia umenu!!
yani dah!nzuri mpk bas!
nafkr ugali aliomaanisha kaka mkubwa ni wa mahindi tungewweza pia kuwekamo ugali wa ndizi,toke likiiva si huwa tunalisonga?
af liliwe na samaki au kambale m
bichi!!!
asee The Boss sijui umewaza nn.mawali ba ugali yankeraaaaaa!!! af sikuwa naamini wiki yeza isha bila kuyala bana!!
ahahahahahahahhahahhahha mi nshatupia hapo sasa ole wako akikute ambacho we huweki
cc Paw kwa taarifa in case of anything!
yani ni vere simpo sikuwahi kuwaza asee!
siju aliwaza nini hyu mbaba(lol)
Honestly speaking sikujua kama kuna maisha bila wali, ugali na ngano.