Shindano la big brother lina maudhui gani?

sure upo sahihi naona vipindi kama hivi vinatumiwa kuwafanya vijana waone dhambi sio dhambi
 
Maisha Plus ilikuwa nzuri sana hasa ile ya kwanza na ya pili... Kipanya sijui alikwama wapi ni kwamba amekosa wadhamini kabisa akarudisha lile shindano au?

Mimi BB sijawahi kuilewa kwa kweli...
 
Kuna mambo ya kishetani yanakuwa promoted kwenye jamii zetu yaonekane kuwa ni ya kawaida.

Kama hatutaweza kushtuka mapema tutakuja kuwa na kizazi cha hovyo sana miaka 50 ijayo
Sure....naona hata ushoga siku hizi unakuwa promoted waziwazi hasa huko tiktok
Niliitoa hii app kwenye simu yangu maana ni ushetani mtupu
 
Umesema vyema
 
Mwisho Mwambapa,
Richard
hao ni wa Tanzania waliwahi kushiriki big brother huko kwa mzee Mandela, wakasinda, japo nasikia hela hiyo nayo ni kama ina mapepo hivyo ikaishia kwa mrembo mmoja hapa bongo.

Pengine ni kuonesha maisha yako halisi, japo ya huko sometimes ni aibu kutazama
 
Na Idris naye naona Ile hela Kuna namna inakuwa inaisha bila muhusika kujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…