TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
Sorry, hivi izo point 3 mnazosema hua duka gani wanazipokea ukitaka kuzitumia kununulia vitu..?Amna man, wao nao wanaangalia kama ni mnyonge wanakuchukulia point tatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sorry, hivi izo point 3 mnazosema hua duka gani wanazipokea ukitaka kuzitumia kununulia vitu..?Amna man, wao nao wanaangalia kama ni mnyonge wanakuchukulia point tatu
Huyu bloo si ndio amegoma kwenda UKMwembe chai
Sijagoma, nimekatazwaHuyu bloo si ndio amegoma kwenda UK
Kuna maduka special wanapokea. Moja lipo Mlimani city, lingine Makumbusho na lingine lipo PostaSorry, hivi izo point 3 mnazosema hua duka gani wanazipokea ukitaka kuzitumia kununulia vitu..?
We unamiliki ipi kati ya hizo?Shindwa aisee nunua hata kastalet au passo uache dhambi
Namiliki passoWe unamiliki ipi kati ya hizo?
Sio chai, ungekuepo Mwenge mida ya saa10 leo ungeshuhudia mtanangeIsiwe chai tu
Huyo jamaa alokuunganisha kazi angejua ni kiazi kiasi hiki angekutema...japo sijui kazi unayofanya lakini umeonesha personality ya aina ya kazi inayokustahiliWataalam,
Leo nmepanda daladala hapa Dar, Yani saivi tu kama nusu saa ilopita nilikuwa natoka job nmeachana na yule broo aliyeniunganisha na hyo kazi(nmemuachia 30k)....
, Sasa nauli nakoenda ni 800, mi konda nikampa buku ila hakunrudishia chenji.
Ile nashuka nkadai chenji akasema eti ameshanipa halafu anakaza kichizi.
Nikamwambia "acha uxenge we kima, em tapika hyo 200"
Kumbe jamaa naye anataka anioneshe umwamba. Yeye anadai ashanipa chenji...nikimcheki juu ana rasta halafu macho mekundu. Mimi apo nmechomekea shati jeupe viatu vinang'aa kiwi.
Kujisächi mfukoni sioni hyo 200.
Nkaona huyu boya anataka anizoee,
Nikamshika shati Nikamwambia "we kima huondoki apa mpaka uniachie iyo 200"
Akasema '' nshakupa, kwahyo unataka nkurudishie chenji mara mbili upate na faida? "
Nkwambia "boya we hunijui"
Nkamkamata shingo apo nikashuka chinj huku namvuta kwa nje ya gari. Mda huo abiria wanalalamika wanawahi na dereva anamwambia anipe halo ka 200 waondoke.
ila jamaa akawa anaona kama zarau kuaibishwa vile, kwahyo tukawa tunadindiana kama majogoo wawili pale stendi.
Afu jamaa akiona nmechomekea anachukulia mim mchumba.
Stendi Zima ikasimama watu wote wameacha shughuli zao wanashangaa Hilo tukio la bro mtanashati aliyechomekea anadindiana na konda mvuta bangi kisa 200.
Nikamwambia "Oya, leo umeyakanyaga kmmk, Yani huondoki apa. hao abiria waambie watafute gesti maana watalala hapa, huondoki apa bila kuachia iyo 200"
Dah! Jamaa alivoona nmekaza sana na Niko serious halafu yeye ndo anapata hasara ikabidi aiteme hyo 200 na kuniachia.
Funzo: Sio Kila aliyechomekea ni don, mtumishi, wakuja au boya. Kuna wengine sisi ni maninja ila tunajidisguise kwenye mavazi tu. Msituchukulie simpo.
Kazi aina gani inanistahili?Huyo jamaa alokuunganisha kazi angejua ni kiazi kiasi hiki angekutema...japo sijui kazi unayofanya lakini umeonesha personality ya aina ya kazi inayokustahili
Kwa kugombania 200 stendi tena kwenye kadamnasi ya watu usiowajua kisa tu kupata sifa umejitia doa. Kuna watu wamekuona na ipo siku watakumbuka ulichofanya ila wewe hutowakumbuka. Na utanyimwa fursa kirahisi tu hivyo kwa aina ya personality uloionesha. Anyway nadhani umeelewa nachomaanisha sbabu title ya uzi wako tu ishajielezaKazi aina gani inanistahili?
Hahahah umenikumbusha kipindi nasoma chuo, ndo zilikuwa Zangu hizo. Sikuwahi kulipa nauli.Nina sura moja ya kikomando nikikaaga kwenye dalalada kaz yangu ni kununa na kumkata jicho konda akija kudai nauli basi konda huniruka mwenyewe
Aaah usiiishi kwa uoga ivo. Amna aliyenijua pale. Hamna atakayenikumbuka.Kwa kugombania 200 stendi tena kwenye kadamnasi ya watu usiowajua kisa tu kupata sifa umejitia doa. Kuna watu wamekuona na ipo siku watakumbuka ulichofanya ila wewe hutowakumbuka. Na utanyimwa fursa kirahisi tu hivyo kwa aina ya personality uloionesha
Na hii ndio maana halisi ya BUSARAWatu wanatembea na magonjwa yao siku hizi unmgusa mtu kidogo anaanguka unapata
Kesi ya kuua.
Mi hata unikanyage kwa makusudi nitakuomba mie msamaha.
Bora yeshe
Sawa mkuuNamiliki passo
Nikupe uendesheSawa mkuu
Hapana mkuu nikiendesha ya kwako ya kwangu ataendesha nani eti?.Nikupe uendeshe
Sio kinyonge sasa! Nakumbuka siku nimeenda kumpokea wife mbezi hapo konda anadai hela ya mizigo nikamtoa aftatu (in wavaadela'svoice)anakaza nimuongeze nikaona isiwe shida. Nipe tiketi uliyokatia mzigo, anamuambia utingo rudisha mzigo kwenye butiUtakuja kupata madhara usipende kugombana na WATU .
Hiyo miambili ungrmuachia tu.
Nipo radhi nimpe mhitaji yeyote sh 10,000 ya bure tu,hata akiniambia anaenda kunywea pombe poa tu,ila sikuachii 100 yangu kwa ubabe wako,nipo radhi nipoteze nyingi zaidi ili ku set precedence,nikikuachia leo utaona kumbe inawezekana,utatudharau watanzania wote, kataa ujinga kwa gharama yoyoteUtakuja kupata madhara usipende kugombana na WATU .
Hiyo miambili ungrmuachia tu.