Shinyanga:mme amtoboa macho yote mkewe

Umeiona sentensi ya mwisho kwenye uzi?
 
Nimeona hiyo habari nikiwa hapa karatu.
Huku nyagi ikiwa kichwani had hadi pombe yote imeisha
 
Mkuu kama ulichagua Tako kazana tu kwani limeisha?
Bro nilichagua weupe si unajua sisi wa kanda ya ziwa aloo unafikili huo weupe wenyewe nauona basi humu kwenye ndoa? Huo weupe ndo unaonifarakanisha sasa
 
Kama umeandika utani,ni sahihi.Kununua mtu?Biashara ya kununua wanawake ?Duh!

Hakuna utani Hapo.

Zamani Wanawake waliuzwa Kwa ûkoo Mwingine Kwa kile kiitwacho mahari.

Yàani ukitoa Pesa au Mali àmbayo imepewa jina mahari unapewa Mwanamke alafu huyo Mwanamke anakuwa wako na anakuwa ûkoo wenu na unammiliki.
 
Mahari ni biashara ya Wazazi kuuza mabinti zào.
Maelezo nje ya Hapo ni porojo zisizo na mantiki
Hakuna utani Hapo.

Zamani Wanawake waliuzwa Kwa ûkoo Mwingine Kwa kile kiitwacho mahari.

Yàani ukitoa Pesa au Mali àmbayo imepewa jina mahari unapewa Mwanamke alafu huyo Mwanamke anakuwa wako na anakuwa ûkoo wenu na unammiliki.
Basi,safari ni ndefu hadi tufike pagak.
 
Ukiwa sio mtulivu unaweza fanya haya mambo, hawa wanawake ni changamoto sana, kwa niliyopitia, naelewa, ukiwa huna utulivu waweza fanya hayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…